Kimetah
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 1,049
- 188
Nimefuatilia Kampeni za Rais Magufuli Jimbo la Hai kwa Mhe. Mbowe Hakika ni Propaganda, uongo, Siasa maji taka kumchafua Mhe. Mbowe.
Magufuli amesema kwa miaka yote 5 Mhe. Mbowe hakuna alichochangia katika maendeleo ya wana Hai. Kwamba Mbowe alikuwa akitoka nje wakti wa Bajeti na alikuwa haongei na Mawaziri wa Miundombinu, Afya na Elimu ndiyo maana Hai imechelewa Sana!!! Msikilize Mhe. Mbowe akiwa Bungeni:
Wakti Magufuli anasema maendeleo hayana CHAMA bado ameonekana kujipinga mwenyewe kwa kudai hakuwa na Connection ya kufanya kazi na Halmshauri ya Hai kwa vile Mbunge ni wa CHADEMA!
WHAT A CONTRADICTION?
Rais Magufuli anaonekana ni mwongo, mnafiki na MBAGUZI kwa kuyatenga majimbo yanayoongozwa na Upinzani waziwazi. Hii nchi Ni ya mfumo wa Vyama vingi hivo Rais anayechaguliwa hawezi kukataa kupeleka maendeleo ya jimbo fulani kwa vile tu wamechagua Wabunge na Madiwani toka
Chama Cha Upinzani!
Sikiza wew kima,haiwezekani kupeleka maendeleo ya ziada sehem ambayo kiongozi wake hajawai kuona jitihada za serikali iliyopo madarakani. Hizo km5 za lami aliahidi endapo mbunge wa ccm atachaguliwa. Kwa hiyo huyo mbowe ni jambaz la siasa na JPM atamnyoosha kwny uchaguzi huu wa 2020,harudi bungen hata afanyaje. Watu wa hai wanataka connectio sio jambaz la siasa. Ndio maana hata kwny mikutan yake hana sera anataja tu Sabaya Sabaya sanaya.