Uchaguzi 2020 CCM na kampeni chafu dhidi ya Mbowe jimboni Hai

Nimefuatilia Kampeni za Rais Magufuli Jimbo la Hai kwa Mhe. Mbowe Hakika ni Propaganda, uongo, Siasa maji taka kumchafua Mhe. Mbowe.

Magufuli amesema kwa miaka yote 5 Mhe. Mbowe hakuna alichochangia katika maendeleo ya wana Hai. Kwamba Mbowe alikuwa akitoka nje wakti wa Bajeti na alikuwa haongei na Mawaziri wa Miundombinu, Afya na Elimu ndiyo maana Hai imechelewa Sana!!! Msikilize Mhe. Mbowe akiwa Bungeni:

Wakti Magufuli anasema maendeleo hayana CHAMA bado ameonekana kujipinga mwenyewe kwa kudai hakuwa na Connection ya kufanya kazi na Halmshauri ya Hai kwa vile Mbunge ni wa CHADEMA!
WHAT A CONTRADICTION?

Rais Magufuli anaonekana ni mwongo, mnafiki na MBAGUZI kwa kuyatenga majimbo yanayoongozwa na ambaye Upinzani waziwazi. Hii nchi Ni ya mfumo wa Vyama vingi hivo Rais anayechaguliwa hawezi kukataa kupeleka maendeleo ya jimbo fulani kwa vile tu wamechagua Wabunge na Madiwani toka
Chama Cha Upinzani!

Umeshaambiwa hakukuwa na connection; hivyo wachague mtu ambaye atakubali kuwa na connection sio waziba midomo.
 
Ni ubaguzi wa wazi kabisa kwa majimbo ya Wapinzani!!Kwanini Watz wenzetu wateseke kwa kukosa Shule, Zahanati, barabara,umeme, etc kisa wamechagua Mbunge wa CHADEMA??Hili kamwe halikubaliki!!!
Katiba iliyopo INARUHUSU mfumo wa VYAMA VINGI! Kwanini CCM wana LAZIMISHA majimbo yote yawe ya CCM ?
 
Kwaheri Chadema

Mtajuta kumsimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Vijihoja vingine vinachekesha.
Ingekuwa huko kwenu kuna busara japo kidogo mngeishajiuliza kunani mbona hayawi ?
Mmejaaliwa sana hasira kama jini la nyati ambao hugomba na kila kitu hata miti inayompa majani ya kula.
Lakini kwa vile hamkujaaliwa SONI wala uwezo wa kujifunza. Mnaendelea tu kuokoteza cha kusema yaleyale vilevile kwa namna ileile.
Huyo Jiwe ndio kabisa anatia huruma kwa kuweweseka hasa anapojaribu bila mafanikio kulazimisha kuabudiwa. '...................kwa kweli hapajawahi kutokea RAIS wa aina hii...........'
Hata hivyo tuonane 28/10 huu ndio utakuwa mwanzo wa UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU. AMEN
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Vijihoja vingine vinachekesha.
Ingekuwa huko kwenu kuna busara japo kidogo mngeishajiuliza kunani mbona hayawi ?
Mmejaaliwa sana hasira kama jini la nyati ambao hugomba na kila kitu hata miti inayompa majani ya kula.
Lakini kwa vile hamkujaaliwa SONI wala uwezo wa kujifunza. Mnaendelea tu kuokoteza cha kusema yaleyale vilevile kwa namna ileile.
Huyo Jiwe ndio kabisa anatia huruma kwa kuweweseka hasa anapojaribu bila mafanikio kulazimisha kuabudiwa. '...................kwa kweli hapajawahi kutokea RAIS wa aina hii...........'
Hata hivyo tuonane 28/10 huu ndio utakuwa mwanzo wa UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU. AMEN
 
Ndio maana alifanya bunge lisiwe LIVE ili aje awaongopee wabunge wa upinzani mambo ya bungeni akizani hawayajui! Nikikumbuka hata maneno hata yale mambo aliyoyaongeda kuhusu Mdee pale Kawe wakati akimuombea Gwajima kura, kwakweli tangu tupate uhuru Tanzania hatujawahi kupata rais mbaguzi na wa ajabu kama Magufuli!
Mitano hii kwakweli inamtosha, ateremkie kituo hikihiki, lazima tuweke dereva mwingine!
 
Nimefuatilia Kampeni za Rais Magufuli Jimbo la Hai kwa Mhe. Mbowe Hakika ni Propaganda, uongo, Siasa maji taka kumchafua Mhe. Mbowe.

Magufuli amesema kwa miaka yote 5 Mhe. Mbowe hakuna alichochangia katika maendeleo ya wana Hai. Kwamba Mbowe alikuwa akitoka nje wakti wa Bajeti na alikuwa haongei na Mawaziri wa Miundombinu, Afya na Elimu ndiyo maana Hai imechelewa Sana!!! Msikilize Mhe. Mbowe akiwa Bungeni:

Wakti Magufuli anasema maendeleo hayana CHAMA bado ameonekana kujipinga mwenyewe kwa kudai hakuwa na Connection ya kufanya kazi na Halmshauri ya Hai kwa vile Mbunge ni wa CHADEMA!
WHAT A CONTRADICTION?

Rais Magufuli anaonekana ni mwongo, mnafiki na MBAGUZI kwa kuyatenga majimbo yanayoongozwa na Upinzani waziwazi. Hii nchi Ni ya mfumo wa Vyama vingi hivo Rais anayechaguliwa hawezi kukataa kupeleka maendeleo ya jimbo fulani kwa vile tu wamechagua Wabunge na Madiwani toka
Chama Cha Upinzani!

Hebu niambie, lini mbowe alishakubali budget ya serikali ya Ccm? Kila mwaka huwa tunamsikia anasema hapana, sasa mnataka ccm watekeleze kwa budget ipi? Mwaka huu hatuchanganyi kura zote kwa ccm!
 
Ndio maana alifanya bunge lisiwe LIVE ili aje awaongopee wabunge wa upinzani mambo ya bungeni akizani hawayajui! Nikikumbuka hata maneno hata yale mambo aliyoyaongeda kuhusu Mdee pale Kawe wakati akimuombea Gwajima kura, kwakweli tangu tupate uhuru Tanzania hatujawahi kupata rais mbaguzi na wa ajabu kama Magufuli!
Mitano hii kwakweli inamtosha, ateremkie kituo hikihiki, lazima tuweke dereva mwingine!
Kila mwaka siku ya kupitisha budget tunaonaga live, mbowe hajawahi kusema ndio
 
Ni ubaguzi wa wazi kabisa kwa majimbo ya Wapinzani!!Kwanini Watz wenzetu wateseke kwa kukosa Shule, Zahanati, barabara,umeme, etc kisa wamechagua Mbunge wa CHADEMA??Hili kamwe halikubaliki!!!
Katiba iliyopo INARUHUSU mfumo wa VYAMA VINGI! Kwanini CCM wana LAZIMISHA majimbo yote yawe ya CCM ?
Wapiga kura wawaeleze wabunge wao kuwa ukishachaguliwa unatakiwa kufanya kazi za wananchi sio kuendekeza siasa za mitaani kwenye hatima ya watu.
 
78 Reactions
Reply
Back
Top Bottom