Chadema kuingia na Bango la Kampeni uwanjani siyo Sawa, kampeni bado. Mabango ya CCM yalikuwa ya Mshikamano tofauti na lile la Mbowe

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,028
142,079
Tunakumbushana tu muda wa kampeni bado ndio sababu tunakemea Bavicha kuingia uwanjani na Bango linalomnadi Mbowe kwa Uchaguzi mkuu wa 2025

Ni hilo tu

Mbarikiwe sana 😂
 
Bango la CHADEMA ndani ya uwanja lilipendeza sana!!

Kwakuwa TFF imeamua kuruhusu Mabango ya Sa100 Viwanjani, ACT na vyama vingine viandae mabango Yao mechi ijayo!!😀😀
 
Tunakumbushana tu muda wa kampeni bado ndio sababu tunakemea Bavicha kuingia uwanjani na Bango linalomnadi Mbowe kwa Uchaguzi mkuu wa 2025

Ni hilo tu

Mbarikiwe sana
Na bado, mtakuwa mkiingia na lenye ushungi na sisi tunaingia na lenye kombati...***** kbs nyie
 
Back
Top Bottom