CCM Mwisho wake kuwepo kama chama tawala ni 2020

Ni siku nyingi CCM ilishaga kubali kupisha, kinachokosekana ni Chama mbarara basi!!! Ni Chama kipi sasa?
 
CCM ILISHAJIFIA SIKU NYINGI, wapo kwa NGUVU ya POLICCM tu.
MACCM yanajua hilo na Magufuli pia anajua chama limemfia,, waone tu wanavyopagawa wakiambiwa
#TUMEHURUYAUCHAGUZI.
 
Sitaki kusema mengi kwanini kinaenda kufa ila hoja kubwa ni toka baba wa taifa afariki CCM kimekuwa kikitawala kwa ujanja ujanja na propaganda

Kikubwa zaidi hawamu ya 5 imekizika kwa kupuuza wananchi wanataka nini kiufupi CCM haifanyii kazi matakwa ya watanzania walio wengi ili swala linaenda kuwaondoa madarakani kimchezo mchezo.

Wale mliokwapua pesa za umma muanze kuzilejesha bila kusahau mliokuwa mnafanya maovu mjindae kweli kweli.

Naapa kwa jina la baba la mwana na roho mtakatifu CCM haitarudi madarakani kwa sababu ya ubishi na mtakuja kukumbuka maneno yangu mlikuwa na muda wa kujirekebisha ila kibri kibri mjiandae kisaikolojia.
Sawa tumekusikia. Sasa chama gani mbadala kitashika dola.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni siku nyingi CCM ilishaga kubali kupisha, kinachokosekana ni Chama mbarara basi!!! Ni Chama kipi sasa?
Siyo kuwa chama mbadala kinakosekana...

Chama mbadala kipo, ambacho ni Chadema....

Angalia namna CCM wanavyotumia vyombo vyake vyote vya dola, masaa 24 kuhakikisha kuwa wanakiua Chama cha Chadema............

Hata hivyo Mungu anaendelea kuilinda Chadema na bado inaendelea kudunda tuu........
 
Nina wasiwasi na CORONA itaisababishia CCM kuanguka Mwaka huu.

Maana Kila nikitupa jicho sioni Muhimili uliosimama imara,

Naona mihimili yote iko mkononi mwa Mzee wa Chato,

Na ki ukweli Vyombo vyote nchini vime tii Mamlaka ya Chato havifanyi kazi kwa 'professional ' bali amri,

Kwa Mwendo huu ,Manunguniko ni makubwa zaidi ndani ya System kupita maelezo.

Wote wanamsubiri Mesia ili awaondeshee Kituko hiki.
 
Ndoto unazoota baada ya kunywa kvant ipo siku utaenda kumshika makalio mamako mkwe, ndugu hizo pombe zimekushinda ziache, ni hivyo tyu. La maaskofu wenu limekuchachia umerukia jengine.

Mama ake mzazi
 
Nina wasiwasi na CORONA itaisababishia CCM kuanguka Mwaka huu.

Maana Kila nikitupa jicho sioni Muhimili uliosimama imara,

Naona mihimili yote iko mkononi mwa Mzee wa Chato,

Na ki ukweli Vyombo vyote nchini vime tii Mamlaka ya Chato havifanyi kazi kwa 'professional ' bali amri,

Kwa Mwendo huu ,Manunguniko ni makubwa zaidi ndani ya System kupita maelezo.

Wote wanamsubiri Mesia ili awaondeshee Kituko hiki.

Kama ni hivyo ccm itaangukaje sasa?
 
Chama kishaparaganyika...kila mtu anasema la kwake!!
CCM asilia wanasema yao, CCM wahamiaji nao wanasema yao.. ingawa hawa ndiyo wanasikilizwa na kupewa positions huku wafia chama wakiachwa midomo wazi

Hilo la kutokuwepo kura za maoni kwenye chaguzi ndogo zote limewauma sana CCM asilia aka wafia chama..!!

Wanasema awamu hii kama uchaguzi upo, mama nibebe haipo...kura za maoni ni lazima ziheshimike sababu ni utaratibu wa kichama enzi na enzi toka Mwalimu.. wanasema hawakubali na kama ni li chama kufa basi wacha lijifilie mbali..wachachoka kuonewa!!

Yetu macho.
 
Nina wasiwasi na CORONA itaisababishia CCM kuanguka Mwaka huu.

Maana Kila nikitupa jicho sioni Muhimili uliosimama imara,

Naona mihimili yote iko mkononi mwa Mzee wa Chato,

Na ki ukweli Vyombo vyote nchini vime tii Mamlaka ya Chato havifanyi kazi kwa 'professional ' bali amri,

Kwa Mwendo huu ,Manunguniko ni makubwa zaidi ndani ya System kupita maelezo.

Wote wanamsubiri Mesia ili awaondeshee Kituko hiki.
Mkuu, tatizo ikiondoka CCM, ni chama gani kina nguvu ya kuchukua madaraka!?

We angalia bila kuegamia upande flani, utagundua kwamba, hata hili swala la vyama vingi nalo linachangia CCM kubaki madarakani!!

Vyama vimekuwa vingi sana kiasi vinagawana wasioitaka CCM! Vyama vingekuwa viwili tu au vitatu, hapo sawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hivyo ccm itaangukaje sasa?
Si unajua kwenye malalamiko watu huwa na vinyongo.!
Idara zote zinafanya kazi kwa 'ilimradi' tu liende, hakuna mwenye amani.!
Hata ndani ya ccm,wazee wameufyata kwa kuona hakuna liwalo,bora tuone mwisho wake.?mzee hahitaji ushauri wa mtu.

Ama corona ina nafasi yake.
hali ya maambukizi itakapotokea ikawa mbaya sana ,na vifo kuwa vingi nchini amani itatoweka,na lazima Mamuzi ya Mzee yalaumiwe na kubebeshwa zigo zito karibu na uchaguzi. (tumia macho vizuri)

lakin kama Mungu akainusuru Tanzania, jambo ambalo tunaomba iwe hivyo, CORONA akatoweka bila maafa makubwa zaidi, kwa mtindo huu wa Magufuli wa kuishi na corona bila ya hofu uso kwa uso wala kuweka LOCK DOWN popote nchini.
hii ndio manusura ya Mkuu wetu kisiasa.
Vyenginevyo ,hali si shwari.Atakwenda na maji october 2020
 
Naapa kwa jina la baba la mwana na roho mtakatifu CCM haitarudi madarakani kwa sababu ya ubishi na mtakuja kukumbuka maneno yangu mlikuwa na muda wa kujirekebisha ila kibri kibri mjiandae kisaikolojia.
Angalia usijkojolee kwa ndoto zako za mchana
Hata sie ccm tuna Mungu wetu,anaetulinda tusitoke madarakani
Mwezi october tutajua Mungu yupi kashinda wa ccm au wa kwako
 
Sitaki kusema mengi kwanini kinaenda kufa ila hoja kubwa ni toka baba wa taifa afariki CCM kimekuwa kikitawala kwa ujanja ujanja na propaganda

Kikubwa zaidi hawamu ya 5 imekizika kwa kupuuza wananchi wanataka nini kiufupi CCM haifanyii kazi matakwa ya watanzania walio wengi ili swala linaenda kuwaondoa madarakani kimchezo mchezo.

Wale mliokwapua pesa za umma muanze kuzilejesha bila kusahau mliokuwa mnafanya maovu mjindae kweli kweli.

Naapa kwa jina la baba la mwana na roho mtakatifu CCM haitarudi madarakani kwa sababu ya ubishi na mtakuja kukumbuka maneno yangu mlikuwa na muda wa kujirekebisha ila kibri kibri mjiandae kisaikolojia.

Hizo ni ndoto za mchana, day dreaming! Upinzani ulishindwa kuchukua madaraka 2015, hii bahati haitarudi tena mpaka vizazi vya sasa upande wa upinzani vipite, yaani mpaka 2090 A.D.!!!! Viongozi wawili walikosesha upinzani ushindi na ndo kwa sasa domo kaya ( talking ill of the current President Dr Magufuli) mmoja alikimbilia nchi jirani kuponda raha na mwenzake alimkandia mteule wa Upinzani na kumuita fisadi!!! Shame on them, though in actual fact it was a blessing in disguise for the Tanzanian nation kwani walimpata Nyerere II Dr Magufuli. Period.
 
Sitaki kusema mengi kwanini kinaenda kufa ila hoja kubwa ni toka baba wa taifa afariki CCM kimekuwa kikitawala kwa ujanja ujanja na propaganda

Kikubwa zaidi hawamu ya 5 imekizika kwa kupuuza wananchi wanataka nini kiufupi CCM haifanyii kazi matakwa ya watanzania walio wengi ili swala linaenda kuwaondoa madarakani kimchezo mchezo.

Wale mliokwapua pesa za umma muanze kuzilejesha bila kusahau mliokuwa mnafanya maovu mjindae kweli kweli.

Naapa kwa jina la baba la mwana na roho mtakatifu CCM haitarudi madarakani kwa sababu ya ubishi na mtakuja kukumbuka maneno yangu mlikuwa na muda wa kujirekebisha ila kibri kibri mjiandae kisaikolojia.
Mwaka huu ndio mwisho
 
Rais anatawala kwa MABAVU, hataki kukosolewa wala kufanyia kazi maoni na mapendekezo ya Wananchi wake. Mbaya zaidi anajigamba hadharani kwamba yeye hashauriki na ukifanya hivyo tu basi ndio umeharibu kabisa, huyu ni Kiongozi wa Wananchi ama ni DIKTETA?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom