technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Ni ajabu sana kuwa washabiki was CCM hamtaki kuamini hivyo lakini walio madarakani wameshaujua ukweli huo ndio maana wanataka kutumia ujio wa ugonjwa wa Corona kama excuse ya kuahirisha uchaguzi wa Octoba.Ndoto unazoota baada ya kunywa kvant ipo siku utaenda kumshika makalio mamako mkwe, ndugu hizo pombe zimekushinda ziache, ni hivyo tyu. La maaskofu wenu limekuchachia umerukia jengine.
Ndoto unazoota baada ya kunywa kvant ipo siku utaenda kumshika makalio mamako mkwe, ndugu hizo pombe zimekushinda ziache, ni hivyo tyu. La maaskofu wenu limekuchachia umerukia jengine.
Ndoto unazoota baada ya kunywa kvant ipo siku utaenda kumshika makalio mamako mkwe, ndugu hizo pombe zimekushinda ziache, ni hivyo tyu. La maaskofu wenu limekuchachia umerukia jengine.
Wanasiasa mna maneno ya kujifariji!!!Sitaki kusema mengi kwanini kinaenda kufa ila hoja kubwa ni toka baba wa taifa afariki CCM kimekuwa kikitawala kwa ujanja ujanja na propaganda
Kikubwa zaidi hawamu ya 5 imekizika kwa kupuuza wananchi wanataka nini kiufupi ccm haifanyii kazi matakwa ya watanzania walio wengi ili swala linaenda kuwaondoa madarakani kimchezo mchezo.
Wale mliokwapua pesa za umma muanze kuzilejesha bila kusahau mliokuwa mnafanya maovu mjindae kweli kweli.
Naapa kwa jina la baba la mwana na roho mtakatifu ccm haitarudi madarakani kwa sababu ya ubishi na mtakuja kukumbuka maneno yangu mlikuwa na muda wa kujirekebisha ila kibri kibri mjiandae kisaikolojia.
Ni ajabu sana kuwa washabiki was CCM hamtaki kuamini hivyo lakini walio madarakani wameshaujua ukweli huo ndio maana wanataka kutumia ujio wa ugonjwa wa Corona kama excuse ya kuahirisha uchaguzi wa Octoba.
CCM wanajua wazi kuwa kiburi cha Magufuli kimewaponza sana na kuwaondolea trust ndani na nje ya nchi na akakosekana wa kumshauri.
Suala la Tumehuru wamegundua wapinzani hawatanii tena, na nchi wahisani wameshika bango. Jee wataponea wapi?View attachment 1395442
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu soma soma kidogo historia.. anza na historia ya Roman Empire. Soma Joseon Empire na tawala zingine zingine ambazo walijua watatawala milele. Soma hata historia za kina Gadaffi akina Mugabe and co.Maneno haya ya Mwalimu Nyerere ni ushahidi wa CCM kutawala milele" Rais bora atatoka CCM". ni ukweli mchungu lakini lazima mkubali Hilo.
Kila nikifikiri ni kwa namna gani CCM itaondoka nakosa majibu ya kuniridhisha hivyo Imani na matumaini yangu ya CCM kutawala milele yakishika kasi.
Ukweli ,CCM haina mpinzani hata tukibeza ukweli huu utatuweka huru tukiweka matumaini ya CCM kutawala milele kuliko kutoka miaka ya karibuni