CCM msitulazimishe vita mkoani Singida kwa kutumia vijana wenu wa green guard

CCM NA SERIKALI YENU MSITULAZIMISHE VITA SINGIDA.

Na Suphian Juma.

Nipo kwetu mkoani Singida kusalimia kwa takribani wiki sasa. CCM tunajua mna kambi mnayowapa mafunzo ya kijeshi vijana wenu wa GREEN GUARD mliowakusanya kutoka kata takribani zote za mkoa wa Singida. Tunajua kambi ilipo, idadi ya vijana wanaowafundisha, posho mnaowalipa, ukatili mnaowafundisha na tunajua LENGO la mkakati huu unaovunja Sheria za vyama vya Siasa na Katiba yetu

Ni kuwatumia vijana hawa kuunajisi Uchaguzi haramu mlioshupalia kuitishwa na Tume ya Uchaguzi Jimbo la Singida Mashariki (Jimbo halali la Mbunge Tundu Lissu) unaotarajia kufanyika tarehe 31 July 2019, na pia Kuuvuruga Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Kuu ujao ili mshinde kiharamu.

Na mbaya na kusikitisha zaidi katika kuonesha madhara ya kuanzishwa kwa Kambi hii ya kishenzi inayooana na vikundi vya kigaidi duniani kama AlShabab, IS na kadhalika Leo 6, July 2019, bila kuogopa imevamia Mkutano halali wa ndani wa chama cha CHADEMA na kuwapiga viongozi na wanachama wa Kikao hicho na kuamua kujichukulia na kutokomea pasipojulikana na viongozi wa Chama hicho akiwemo Mwenyekiti wa Chama Jimbo la Singida Mashariki huku Jeshi la Polisi hadi naandika taarifa hii fupi jioni hii halijafika eneo la tukio licha la kujulishwa mapema mchana kwa kigezo eti "HAWANA MAFUTA YA GARI".

WanaSingida na Watanzania tunasema huu sio Utanzania, Utu wala Ustaarabu waliotuachia waasisi wa Taifa hili, hivyo kwakuwa Katiba yetu inatutambua Wananchi kama wenye mamlaka ya juu zaidi katika nchi kuliko Serikali, Chama wala Rais, hivyo TUNAWATAKA mvunje hiyo Kambi HARAKA, LASIVYO kama Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama vikishindwa kuwadhibiti msije mkatufikisha wananchi katika hatua ya kusababisha TUKAWAUMIZA HAO WADOGO ZETU. MSITULAZIMISHE VITA AMBAYO KIMSINGI ITAWAFUTA KATIKA RAMANI YA TANZANIA.

Suphian Juma
WanaSingida
6th July, 2019View attachment 1148804
Sasa kama mmeshindwa kuanzisha vita dhidi ya Nduli Mbowe ndani ya chadema mtaweza kuiingiza the might Tanzania vitani?
 
Jipangeni na nyinyi mlipize kisasi hiyo ndio solutions,
 
ccm ya awamu ya 5 haijawahi kuwa na aibu mkuu , iko tayari kuuwa yeyote kwa ajili ya madaraka tu , iko tayari kudhalilisha yeyote , angalia RITA , tume ya uchaguzi na Mahakama walivyodhalilishwa kwenye sakata la Lipumba
 
CCM NA SERIKALI YENU MSITULAZIMISHE VITA SINGIDA.

Na Suphian Juma.

Nipo kwetu mkoani Singida kusalimia kwa takribani wiki sasa. CCM tunajua mna kambi mnayowapa mafunzo ya kijeshi vijana wenu wa GREEN GUARD mliowakusanya kutoka kata takribani zote za mkoa wa Singida. Tunajua kambi ilipo, idadi ya vijana wanaowafundisha, posho mnaowalipa, ukatili mnaowafundisha na tunajua LENGO la mkakati huu unaovunja Sheria za vyama vya Siasa na Katiba yetu

Ni kuwatumia vijana hawa kuunajisi Uchaguzi haramu mlioshupalia kuitishwa na Tume ya Uchaguzi Jimbo la Singida Mashariki (Jimbo halali la Mbunge Tundu Lissu) unaotarajia kufanyika tarehe 31 July 2019, na pia Kuuvuruga Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Kuu ujao ili mshinde kiharamu.

Na mbaya na kusikitisha zaidi katika kuonesha madhara ya kuanzishwa kwa Kambi hii ya kishenzi inayooana na vikundi vya kigaidi duniani kama AlShabab, IS na kadhalika Leo 6, July 2019, bila kuogopa imevamia Mkutano halali wa ndani wa chama cha CHADEMA na kuwapiga viongozi na wanachama wa Kikao hicho na kuamua kujichukulia na kutokomea pasipojulikana na viongozi wa Chama hicho akiwemo Mwenyekiti wa Chama Jimbo la Singida Mashariki huku Jeshi la Polisi hadi naandika taarifa hii fupi jioni hii halijafika eneo la tukio licha la kujulishwa mapema mchana kwa kigezo eti "HAWANA MAFUTA YA GARI".

WanaSingida na Watanzania tunasema huu sio Utanzania, Utu wala Ustaarabu waliotuachia waasisi wa Taifa hili, hivyo kwakuwa Katiba yetu inatutambua Wananchi kama wenye mamlaka ya juu zaidi katika nchi kuliko Serikali, Chama wala Rais, hivyo TUNAWATAKA mvunje hiyo Kambi HARAKA, LASIVYO kama Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama vikishindwa kuwadhibiti msije mkatufikisha wananchi katika hatua ya kusababisha TUKAWAUMIZA HAO WADOGO ZETU. MSITULAZIMISHE VITA AMBAYO KIMSINGI ITAWAFUTA KATIKA RAMANI YA TANZANIA.

Suphian Juma
WanaSingida
6th July, 2019View attachment 1148804
Indicator 2020....
 
Uweni ndugu zao mnawajua vema kamata ua
 
Na humo kumejaa Wana St. Peters watupu na hata Wakufunzi wao pia ni Wastaafu kutoka St. Peters.
 
Awamu zilizopita kama kuna mtu mbaya awe beberu au msaliti yeyote katika nchi ikiwa kama alikua anania ya kuvunja amani hapa Tanzania alipata wakati mgumu sana ni wapi aanzie.

Ila hii awamu ina kila njia halali ya mtu mbaya yeyote kuanzisha machafuko na kushuhudia yanayotokea Iraq na hata nchi zetu nyingi za hapa Africa.

Catalyst iliyokosekana hapo ni vijana waliokata tamaa 'nothing to loose' ili kumsaidia huyo mtu mbaya,

Kibaya zaidi catalyst inatengenezwa kwa spidi mbaya, graduates tangu 2015 wapo kitaa, watu kupigwa kwenye mikutano, Jkt 2019 askari 6000 wenye mafunzo ya kijeshi wamerudi mtaani .nk

Siku mbaya inakuja Tanzania, wapo watakaopinga hili ila nakwambia vijana waliokata tamaa wanajaa na watamsaidia huyo mtu.
 
TUNAWATAKA mvunje hiyo Kambi HARAKA, LASIVYO kama Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama vikishindwa kuwadhibiti msije mkatufikisha wananchi katika hatua ya kusababisha TUKAWAUMIZA HAO WADOGO ZETU. MSITULAZIMISHE VITA AMBAYO KIMSINGI ITAWAFUTA KATIKA RAMANI YA TANZANIA.
Rabid dog!
 
Back
Top Bottom