CCM msirudie haya tena, hayapendezi na hayavumiliki!

Wangefikaje mkutanoni bila usafiri ? ulitaka waje na ungo au ?. Hapa tukionacho ni HUSDA na uwezo wa vyama vingine ikiwamo CDM kuwahudumia wanachama wake, na kuna sehemu zingine matawi na mashina wali arrange usafiri wao na kutoa pesa zao, je kufanya hivyo ni vibaya?. Acheni HUSDA ndugu zangu , jitahidini na nyie mtafikia uwezo kama walio nao CCM

Hoja ya kwanza ni ilikuwa ni kuwasubiria mliuowabeba kuwapeleka mkutanoni ili kuwarudisha majumbani mwao, na pili ni kuweka mwenyekiti wa usafiri-Hata Nape angeweza fanya hilo jukumu. Gamba ni gamba tu, hata mdogoo!
 
Too sad. Jaman halafu mijitu bila hata chembe ya aibu inasifia kutoa rushwa kwa watu ili wajaze mikutano.
Hivi nyie mnamdanganya nani? Hakina dhambi yenu ni kubwa sana.

Nenda kasome sheria vizuri aisee, watu wameji organize pamoja wamekodisha bus kwa pesa yao, hiyo ni rushwa ? Na isitoshe hata km ccm inawarudishia hela ya usafiri hiyo ni rushwa? nipe sasa kipengele cha sheria kinacho sema hiyo ni rushwa. Hapa hakuna lolote zaidi ya uwezo wa chama kuwahudumia wanachama wake, ndio maana nikasema ni husda
 
Ukiisha ona mtu kujibu hoja kumemshinda jua AMEFILISIKA KIMAWAZO NA KIFIKRA

Hivi na nyie mnajiona bado mna hoja za kujibu matatizo ya wananchi? Mkitaka muone taswira halisi ya nyie ni kina nani, itisheni mikutano na bila kutupa hiyo sh 5,000 muone kama mtapata watu.
Huku kwetu jumamosi nusura mtoane macho maana mliahidi sh 10,000 wakapewa sh elf tano.
 
Hoja ya kwanza ni ilikuwa ni kuwasubiria mliuowabeba kuwapeleka mkutanoni ili kuwarudisha majumbani mwao, na pili ni kuweka mwenyekiti wa usafiri-Hata Nape angeweza fanya hilo jukumu. Gamba ni gamba tu, hata mdogoo!

Jamani ndio nasema husda zinawamaliza cdm siku zote, ukiona mwenzako ana muhudumia mwanachama wake vizuri nyie mnaumia na kuleta hoja zisizo na mashiko kabisa. Kwani kwa magari kuwasubiria ni vibaya ? na je una uhakika wote hawakurudi nyumbani ? na mbona siku ile watu wengi tu walienda kupanda usafiri wa kawaida wa ma bus? toeni hoja za mashiko wakuu
 
249193_456476524364431_1422976984_n.jpg
 
Nenda kasome sheria vizuri aisee, watu wameji organize pamoja wamekodisha bus kwa pesa yao, hiyo ni rushwa ? Na isitoshe hata km ccm inawarudishia hela ya usafiri hiyo ni rushwa? nipe sasa kipengele cha sheria kinacho sema hiyo ni rushwa. Hapa hakuna lolote zaidi ya uwezo wa chama kuwahudumia wanachama wake, ndio maana nikasema ni husda

Sheria kawasomeshe hawa hapa chini.

524244_375406335830513_189339031103912_956432_905966374_n.jpg
1._village_children_in_africa.jpg
Copy-2-of-Mr.-Simango-holding-baobab-shell-600x402.jpg

Na vile vile mkumbuke kuwa mnatakiwa kutimiza ahadi zenu siyo porojo za majukwaani maana nyie siyo wapinzani.
 
Jamani ndio nasema husda zinawamaliza cdm siku zote, ukiona mwenzako ana muhudumia mwanachama wake vizuri nyie mnaumia na kuleta hoja zisizo na mashiko kabisa. Kwani kwa magari kuwasubiria ni vibaya ? na je una uhakika wote hawakurudi nyumbani ? na mbona siku ile watu wengi tu walienda kupanda usafiri wa kawaida wa ma bus? toeni hoja za mashiko wakuu

Mkuu hawa hapa chini siyo wanachama wenu?
524244_375406335830513_189339031103912_956432_905966374_n.jpg
1._village_children_in_africa.jpg
Copy-2-of-Mr.-Simango-holding-baobab-shell-600x402.jpg

Mbona hawa hamuwahudumii japo kaptula kufika ubinadamu wao? Nyie kweli mna kansa ya akili!
 
Sheria kawasomeshe hawa hapa chini.

524244_375406335830513_189339031103912_956432_905966374_n.jpg
1._village_children_in_africa.jpg
Copy-2-of-Mr.-Simango-holding-baobab-shell-600x402.jpg

Na vile vile mkumbuke kuwa mnatakiwa kutimiza ahadi zenu siyo porojo za majukwaani maana nyie siyo wapinzani.

Hukusikia utekelezaji wake? Au ndio yale yale mna macho hamuoni na mna masikio hamsikii?
 
Hivi na nyie mnajiona bado mna hoja za kujibu matatizo ya wananchi? Mkitaka muone taswira halisi ya nyie ni kina nani, itisheni mikutano na bila kutupa hiyo sh 5,000 muone kama mtapata watu.
Huku kwetu jumamosi nusura mtoane macho maana mliahidi sh 10,000 wakapewa sh elf tano.

Uwezo chama kinao, sasa kwa nini wasipewe ? CDM uwezo huo hamna na ndio maana mnaishia kupiga kelele kwa funika bovu la juzi, msilie sana na nyie mtafikia huko
 
Jamani ndio nasema husda zinawamaliza cdm siku zote, ukiona mwenzako ana muhudumia mwanachama wake vizuri nyie mnaumia na kuleta hoja zisizo na mashiko kabisa. Kwani kwa magari kuwasubiria ni vibaya ? na je una uhakika wote hawakurudi nyumbani ? na mbona siku ile watu wengi tu walienda kupanda usafiri wa kawaida wa ma bus? toeni hoja za mashiko wakuu
tanzania_materna_460261artw.jpg
Upungufu+wa+vitanda+vya+kulala+hospitali+ya+Mwananyamala+7+Oktoba+2008.JPG
 
Uwezo chama kinao, sasa kwa nini wasipewe ? CDM uwezo huo hamna na ndio maana mnaishia kupiga kelele kwa funika bovu la juzi, msilie sana na nyie mtafikia huko
Mwamwongu village - Tanzania ni hii ya CCM yenye uwezo. Bullshit!!
Tanzania%20water.jpg

This is what CCM is proud of...............manyang'au kabisa!!
BEFORE_THE_IMPROVING_TRADIONAL_WATER_WELL.JPG
 
Chama Cha Mauaji [Bujibuji]
Nimeangalia hizi picha roho inaniuma. Nakumbuka siku mwanangu wa miaka minne aliponiambia, "Baba, nikiwa mkubwa sitaki kuwa CCM." Nilimpuuza kwa kudhani ni maneno ya kitoto, kumbe aliona mbali kuliko mimi.
Yaliyafika wazee wetu ndiyo wanayoishi vijana wetu na ndiyo yanayowasubiri vizazi vyetu.
 
Naomab kuongeza: Pia kuwabeba watu kwenye mabasi ni jambo zuri lakini ni ni vizuri kuwasubiria hadi mkutano ukaisha kwani nilipta taarifa kwamba kuna mabasi yalisomba watu asubuhi kuwapleka CHADEMA SQUARE, baada ya mkutanao wakawa hawayaoni. Wakati mwingine lazima kuwe na Mwenyekiti wa Usafiri.

Dume la mbegu hawezi kuiona hiyo kwa sababu ametumwa kueleza wanayofikiri ni positive tu. CCM kwao wanajua hawakosei. Ndio ugonjwa uliotufikisha hapa tulipo tunaugulia third degree illness.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom