CCM msirudie haya tena, hayapendezi na hayavumiliki!

michuzir.jpg
Bora maisha kwa kila Mtanzania. Tunakula ili tuishi. Wenye nchi wanaishi ili wale.
 
Hizi ndizo tunazo sema ni husda za kisiasa, Chama kama kina uwezo si vibaya kuwawezesha wanachama wake. Mbona ww ukienda kikaoni unalipwa posho ? hapa baya ni lipi ? na je sheria ipi imekiukwa?. Sasa utofautiano wa uwezo wa vyama usizuie mwenye nacho kukitumia kwa wanachama wake. Kwa cdm kwa sasa uwezo huo hawana kwani hata miradi ya maana hawana , tofauti na ccm ambayo in a miradi lukuki, wana ruzuku yakutosha na wanachama wao wengi wanajitolea. Sasa nikuulize ww kwa hali km hiyo unategemea cdm washindane kweli na ccm?

Kama CCM ina miradi lukuki ni kwanini ilichota fedha za EPA toka benki kuu kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2005? Kwa kuwa CCM ni taasisi nayostahili kutunza mahesabu na kwa kuwa wewe uakiri kuwa CCM ilikuwa inawapatia wananchama wake Shs 5,000/= kwa ajili ya kuhudhuria mkutano Je ni wananchama wangapi walioweka sahihi zao kupokea fedha hizo kama hiyo sio rushwa?

Sio tunategemea CDM washindane na CCM kinachotkea hivi sasa kla kinachotamkwa na kutendwa na CDM CCM hukopi na kupesti; uanzie na hoja ya Katiba haikuwemo kwenye Ilani ya CCm ilikuwa katika ilani ya CDM mmeiiga na kuanza kuitekeleza. Chama tawala makini hakijishughulishi na mikutano walati kipo madarakani na kikiwa na kazi kubwa ya kutekelza yale yaliyoahidiwa, lakini kwa kuwa CDM wanafanya mikutano na CCM imeamua kuiga.
 
Hizi ndizo tunazo sema ni husda za kisiasa, Chama kama kina uwezo si vibaya kuwawezesha wanachama wake. Mbona ww ukienda kikaoni unalipwa posho ? hapa baya ni lipi ? na je sheria ipi imekiukwa?. Sasa utofautiano wa uwezo wa vyama usizuie mwenye nacho kukitumia kwa wanachama wake. Kwa cdm kwa sasa uwezo huo hawana kwani hata miradi ya maana hawana , tofauti na ccm ambayo in a miradi lukuki, wana ruzuku yakutosha na wanachama wao wengi wanajitolea. Sasa nikuulize ww kwa hali km hiyo unategemea cdm washindane kweli na ccm?
Acha ukilaza we gamba mkubwa CHADEMA imeshaishinda CCM mara nyingi sana nijuzi imewashinda CCM Arumeru, kirumba, kiwila, pamoja na Lizaboni we uko dunia gani?.
 
Siku ya jumamosi tarehe 09.06.2012 CCM (M) Dar es salaam ulifanya mkutano wake wa kihistoria ulio hudhuriwa na maelfu lukuki ya watu. Ila katika siku hiyo sikupendezewa na mambo yafuatayo ambayo naweza kusema siku nyingine wasirudie kufanya mkutano kama huo tena.

  • Ni ukweli usiopingika CC Mina jeshi kubwa na lenye vipaji , kwani mkutanoni waliletwa wanajeshi wachache tu i.e Wassira, Mwakyembe, Maghembe, Tibaijuka na Magufuli. Lakini cheche zake zilisambaa Tanzania nzima. Hii inadhihirisha kuwa wakitawanya jeshi lote, hata sisimizi hawezi kupona.
  • Kupendeza kwa uwanja, kwani siku hiyo Dar es salaam nzima ilikuwa kijani na njano. Na hapa ni kuwa uwezo wa vyama vingine kuwahudumia wanachama wao kwa kuwapa promotion material km T-shirt ni mdogo sana na hawawezi, ila wao wameweza. Kwani tumeshuhudia mashirika ya serikali na watu binafsi wakiwatengenezea wateja wao T- shirt kama njia yakujitangaza , CCM wamefanya hivyo , HUSDA ya CDM imejionyesha.
Kwa hayo machache nahitimisha kwa kusema , siku nyingine CCM msifanye hayo, wenzenu wali beep , nyie mmepiga kabisa, CCM hamtaniwi? Wenzenu walikuwa wanafanya utani tu.

Sheria kawasomeshe hawa hapa chini.

524244_375406335830513_189339031103912_956432_905966374_n.jpg
1._village_children_in_africa.jpg
Copy-2-of-Mr.-Simango-holding-baobab-shell-600x402.jpg

Na vile vile mkumbuke kuwa mnatakiwa kutimiza ahadi zenu siyo porojo za majukwaani maana nyie siyo wapinzani.

Ujinga na umasikini ndiyo mtaji wa CCM kuwepo madarakani, sehemu kama hizi ndiyo CCM inajizolea ushindi mnono, wakigawa kanga na pilau wamemaliza kazi. ILAANIWE CCM NA VIONGOZI WAKE WOOOOOOOOOOOOOOOTE MILELE NA MILELE, WOTE TUSEME AMINAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
  • Kutupatia Sh elfu tano tano wakati mwanzoni mlisema elfu kumi pamoja na wali nyama.
  • Kutorosha nyara za taifa na kuzileta jangwani.

kulikua na nyara za serikali pale???aaah mdau mi sikuangalia kaka,,,walileta wanayama kwa ajili ya maonyesho????NADHAN KAGASHEKI ALIWARUHUSU LABDA,au u mean wa-angry ndo nyara za serikali???
 
Mkuu Mestod,

Hizo Picha zinasikitisha sana...na sampuli ya watanzania hao wapo sana mikoa ya kati na kusini.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Zuzu ni zuzu 2! Hujielewi ndugu, hvy vjsent ndo vinakufanya ucjtambue kabisa. utakuja jitambua baada ya kufanywa vibaya na magamba. Pole sana!!!
 
Halafu hii tabia ya kurudisha kadi nayo ikome. Kurudisha maana yake ni kupeleka kitu sehemu uliyochukua. Haina maana kuchukua kadi ccm kisha ukairudisha cdm. tumechoka na hizi senema za kijinga
 
kulikua na nyara za serikali pale???aaah mdau mi sikuangalia kaka,,,walileta wanayama kwa ajili ya maonyesho????NADHAN KAGASHEKI ALIWARUHUSU LABDA,au u mean wa-angry ndo nyara za serikali???

hahaaa mkuu, jibu unalo!
 
Mkuu Mestod,

Hizo Picha zinasikitisha sana...na sampuli ya watanzania hao wapo sana mikoa ya kati na kusini.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Inaumiza sana halafu bado wapuuzi wanalevya na vi elfu tano na kusahau mamia ya watu wasiojua dakika moja baadaye itakuwaje!
 
Inaumiza sana halafu bado wapuuzi wanalevya na vi elfu tano na kusahau mamia ya watu wasiojua dakika moja baadaye itakuwaje!

Mbona inakuuma sana ww ulikosa nn ? acheni husda na roho mbaya cdm , mna roho za kwa nini, na watu wa hivyo hawawezi endelea
 
Ujinga na umasikini ndiyo mtaji wa CCM kuwepo madarakani, sehemu kama hizi ndiyo CCM inajizolea ushindi mnono, wakigawa kanga na pilau wamemaliza kazi. ILAANIWE CCM NA VIONGOZI WAKE WOOOOOOOOOOOOOOOTE MILELE NA MILELE, WOTE TUSEME AMINAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!.

Na walaaniwe wale wote walio chama cha kaskazini, ameeeeeeeeeeeen !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom