CCM msije mkatufikisha huku tafadhali

CCM msije mkatufikisha huku tafadhali

Siku hz nikipanda daladala akaja polisi au jwtz akakaa pembeni yangu nahama seat, kama hamna seat tupu nashika bomba.
 
Kuna polisi mmoja alikuwa mkuda kweli ,roho mbaya si akaja kustaafu...
Sahv anapitia magumu +ugonjwa ni kama watu wamemtupa hadi polisi wenzake
Tena yuko kibaha huko,
Ukiwa mkuda mkuda sana wananchi wanakuambia tutaonana uraiani 😄

Ova
Nitajie jina kuna mmoja alikuwa police mji mdogo pale sijui ndio huyo?
 
Waraka mpya wa TEC.. utasomwa kwa wiki kumi (10) mfululizo
IMG-20250502-WA0054.jpg
IMG-20250502-WA0054.jpg
 

Attachments

  • IMG-20250502-WA0055.jpg
    IMG-20250502-WA0055.jpg
    148.4 KB · Views: 9
Back
Top Bottom