CCM msije mkatufikisha huku tafadhali

CCM msije mkatufikisha huku tafadhali

Kumbe
 

Attachments

  • FwMLmOmWYB0BiZR.jpeg
    FwMLmOmWYB0BiZR.jpeg
    86.4 KB · Views: 6
Polis wamepata ajali wananchi wamegoma kuwasaidia kisa ni polisi kutumika na serikali kukandamiiza wananchi...UgandaView attachment 3322516
Kuna polisi mmoja alikuwa mkuda kweli ,roho mbaya si akaja kustaafu...
Sahv anapitia magumu +ugonjwa ni kama watu wamemtupa hadi polisi wenzake
Tena yuko kibaha huko,
Ukiwa mkuda mkuda sana wananchi wanakuambia tutaonana uraiani 😄

Ova
 
Unajua muda mwingine hawa polisi ni watoto wanatoka ktk familia za kimasikini so wanajikuta wanatii kila wanachoambiwa .

Mfano hizi mission za kupiga raia na kuwabambikia kesi zipo catalysts na wanasiasa .

Mimi nimekaa pale Bukoba mjini Nyumba yetu na kota za police zimepeana mgongo so tulikuwa tunaingiliana .

Ila kipindi cha mkutano wa chadema hapa nazungumzia mwaka 2013 -2015 kipindi chadema ipo kwenye peak ya hali ya juu Sana nilikuwa nikiona wakiambiana maelezo wanayopewa kuwa wakifika wafanye nini na nini na walikuwa wakilazimishwa kubeba silaha nzito.

So police japokuwa wanaweza kuwa wana makosa Ila mifumo ya kisiasa Kama sisisemu inawaingilia just imagine mtoto wa kimasikini anaambiwa usipofanya hivi utakuwa fired au kupewa adhabu ya kulala rokapu.


Kuna jamaa yangu by that time kabla hajafariki kwaa ajali (RIP) alienda lindo akasahau kofia ile amefika Lindi msimamizi wake amefika akamwambia utalala ndani yaani lokapu so ilibidi akodi boda kufata kofia na ulikuwa mwisho wake alipata ajali .


So hii job kwa nchi zetu za Africa inachangamoto Kama hizo hata Kama wao watafanya ubaya Ila tukiwakuta wamepata ajali tuwasaidie
Pumbavu huna akili kwahiyo wasaidiwe waendelee kuua wananchi wasio na hatia shenzi sana wewe
 
Tunakoelekea ni kubaya sana, sina uhakika hadi kufikia October mambo yatakuwaje.
 
Back
Top Bottom