Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 24,894
- 27,018
Ndiko chawa wametufikishaNever,
Ni kama raia wa Uganda walivyowapokea askari wetu kwa shangwe na kuwapa ushirikiano ili kuwakomboa
Ndiko chawa wametufikishaNever,
Ni kama raia wa Uganda walivyowapokea askari wetu kwa shangwe na kuwapa ushirikiano ili kuwakomboa
Mungu atusaidie sana.Tupo karibu sana.
Tufike Mara ngapi mkuu,Polis wamepata ajali wananchi wamegoma kuwasaidia kisa ni polisi kutumika na serikali kukandamiiza wananchi...UgandaView attachment 3322516
Ndio waone umuhimu wa Haki!Polis wamepata ajali wananchi wamegoma kuwasaidia kisa ni polisi kutumika na serikali kukandamiiza wananchi...UgandaView attachment 3322516