CCM msije mkatufikisha huku tafadhali

CCM msije mkatufikisha huku tafadhali

Jamani ,hivi Mbowe yupo ?
Hajaonekana hata kwa Padri Kitima.?

Kama yupo basi huyu jamaa ni zaidi ya Musolin .
Haijawahi kutokea kwenye ulimwengu huu wa sasa kwenye siasa za ushindani wa maneno ya mdomoni ?

Au kweli alipewa pesa za kuhonga wajumbe ndani ya Chadema sasa wanamdai au wameficha wapi huyu Mtu aliyekua anajulikana kama Mwamba .

Aisee ana roho ngumu na ya kikatili kama Swahiba wake ki7iwi.
Mbowe ametisha sana . Sio kwa Chuki hizo kwa kweli .Daah , Au chanjo ya Covodi ilikua na vimelea vya kishetani ,maana watanzania wamebadilika sana na kuwa na roho ya kinyama.

Yaani Jirani kama Mdude anavamiwa usiku na kupigwa kinyama halafu majirani wamelala majumbani kwao kimyaaa kama vile ni Kuku anapelekwa kuchinjwa na mfugaji .
Bora hata wale wanaopaza sauti mitandaoni maana wanaonyesha nia ya kukemea uovu na kuuchukia .

Hii nchi itapata adhabu ya Mungu kwa pigo baya sana litakalowaathiri wetu wengi kwa sababu wameridhia dhulma na umwagaji wa damu
 
Back
Top Bottom