Ni dhambi sana, kwanini wanawabeba kama ng'ombe wanaopelekwa mnadani? Wawakodishie mabasi yanayoenda mikoani tu. Ila kujitambua ni kuzuri sana, hawa wangejitambua wasingekubali huu ujinga. Wamepauka, wanapewa khanga, t-shirt imeongezeka baiskeli tayari wameuza haki yao ya miaka 5.
Chanjo ya mifugo na utambuzi, kudadeki😂😂Mayday ni neno la redio linalotambulika kimataifa kuashiria dhiki. Inatumiwa zaidi na ndege na boti, .. Maana nyingine ni kuomba msaada kwenye kiashiria kikubwa cha ajali
Kuna chama kiko kwenye dhiki na hamaniko kubwa! Hakijiamini na kila kinachojaribu kufanya kinajiona kabisa hakitafanikiwa na kinaelekea mwisho wa enzi
Hakuna siku inapita bila kuja na kituko kipya
Wanambuzi wa mambo wametathmini hali ilivyo na kuja na jibu moja kwamba kwasasa kwa matendo na hulka zake hiki chama hakina tofauti na rubani aombaye msaada wa mayday..maydayView attachment 3375253View attachment 3375254
Jana walipokufa Machawa wakawakana wakasema walitoka kwenye chanjo ya mifugo na utambuzi, imagine mtu kafa na sare ya kijani wanamkana😂Ni dhambi sana, kwanini wanawabeba kama ng'ombe wanaopelekwa mnadani? Wawakodishie mabasi yanayoenda mikoani tu. Ila kujitambua ni kuzuri sana, hawa wangejitambua wasingekubali huu ujinga. Wamepauka, wanapewa khanga, t-shirt imeongezeka baiskeli tayari wameuza haki yao ya miaka 5.
Inasikitisha sana, tena mtaji wao ni hawa wa vijijini ona wanavyobebwa kama mifugo. Hao mafisi unafikiri wana aibu? Mishipa ya aibu ilishakatika, wanawakataa vipi na wenzao majeruhi, wamesema walipokuwa wanapelekwa 😅😅😅 fisiem ni vichaa waliotoroka mirembe.Jana walipokufa Machawa wakawakana wakasema walitoka kwenye chanjo ya mifugo na utambuzi, imagine mtu kafa na sare ya kijani wanamkana😂
Raia hawajui kama wanaitwa mbuzi😂Inasikitisha sana, tena mtaji wao ni hawa wa vijijini ona wanavyobebwa kama mifugo. Hao mafisi unafikiri wana aibu? Mishipa ya aibu ilishakatika, wanawakataa vipi na wenzao majeruhi, wamesema walipokuwa wanapelekwa 😅😅😅 fisiem ni vichaa waliotoroka mirembe.
hauna picha zingine za zaman zaidi ya hiziMayday ni neno la redio linalotambulika kimataifa kuashiria dhiki. Inatumiwa zaidi na ndege na boti, .. Maana nyingine ni kuomba msaada kwenye kiashiria kikubwa cha ajali
Kuna chama kiko kwenye dhiki na hamaniko kubwa! Hakijiamini na kila kinachojaribu kufanya kinajiona kabisa hakitafanikiwa na kinaelekea mwisho wa enzi
Hakuna siku inapita bila kuja na kituko kipya
Wanambuzi wa mambo wametathmini hali ilivyo na kuja na jibu moja kwamba kwasasa kwa matendo na hulka zake hiki chama hakina tofauti na rubani aombaye msaada wa mayday..maydayView attachment 3375253View attachment 3375254
Natamani Na Naamini Mungu Akitujalia Afya Ya Mifupa,,,Damu Na Nyama Tuje Kuonana Hata Isipo Kuwa Hivyo...Una Utu Sana...Na Haki Bila Kuanza Na Utu Ni Upuuzi Na Ukiritimba Mtupu......✊✊###Utu Na Kazi Tunasonga Mbele###Inasikitisha sana, tena mtaji wao ni hawa wa vijijini ona wanavyobebwa kama mifugo. Hao mafisi unafikiri wana aibu? Mishipa ya aibu ilishakatika, wanawakataa vipi na wenzao majeruhi, wamesema walipokuwa wanapelekwa 😅😅😅 fisiem ni vichaa waliotoroka mirembe.
Phoenix 1947....
Wanaopelekwa Pugu MnadaniWamejazwa kama