Mayday ni neno la redio linalotambulika kimataifa kuashiria dhiki. Inatumiwa zaidi na ndege na boti, .. Maana nyingine ni kuomba msaada kwenye kiashiria kikubwa cha ajali
Kuna chama kiko kwenye dhiki na hamaniko kubwa! Hakijiamini na kila kinachojaribu kufanya kinajiona kabisa hakitafanikiwa na kinaelekea mwisho wa enzi
Hakuna siku inapita bila kuja na kituko kipya
Wanambuzi wa mambo wametathmini hali ilivyo na kuja na jibu moja kwamba kwasasa kwa matendo na hulka zake hiki chama hakina tofauti na rubani aombaye msaada wa mayday..mayday
View attachment 3375253View attachment 3375254