CCM Mambo Yanaenda Vibaya. Tusijidanganye

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
1,111
2,752
Muda siyo mrefu nimefika nyumbani kwangu, nikamkuta mamangu ambaye, mke wangu ambaye pia ni mtumishi, mdogo wangu wa kike wote wakiwa wananisubiri. Baada ya salamu, wakaniomba kadi yangu ya CCM. Kwa vile nilikuwa sijui nini kinaendelea, na kwa nia nzuri wakati navua viatu, nikamwambia mke wangu kadi ilipo. Akaenda kuichukua, akatoka nje akalimwagia mafuta taa na kuliwasha moto.

Cha ajabu, wote hapa nyumbani na hata wake za majirani, zoezi ilikuwa ni kuchoma kadi za CCM. Madai yahoo hawataki udikteta wa CCM. Inasemekana hapa kinondoni wamechoma kadi 120. Mabazo ni za CCM. Kila mwanamke alihakikisha amechoma kadi ya mumewe

Bila kuficha, mimi ni kada mkubwa wa CCM ingawa sijabahatika kwenye teuzi, ila nimekipigania chama tangu mwaka 89. Leo nyumba yangu hakuna kadi ya CCM na mke wangu ananitishia kwamba akiniona na watu wa CCM ananiachia mji na watu wangu wa CCM. Hii inaweza kiawa na madhara makubwa sana, hasa chama dola ikiwa kwenye wakati kama huu, kwani wanawake ndio wapiga kura wakubwa wa CCM.

Mimi ni mana CCM aliyebakia bila kadi.
 
Weka source
 
Pumbavu akili zenu za kibavicha msituletee humu.
 
Bora umeamua ivyo, kuna wengne wanajifanya wanakufa kijeruman na tai shingon
 
Muda siyo mrefu nimefika nyumbani kwangu, nikamkuta mamangu ambaye, mke wangu ambaye pia ni mtumishi, mdogo wangu wa kike wote wakiwa wananisubiri. Baada ya salamu, wakaniomba kadi yangu ya CCM. Kwa vile nilikuwa sijui nini kinaendelea, na kwa nia nzuri wakati navua viatu, nikamwambia mke wangu kadi ilipo. Akaenda kuichukua, akatoka nje akalimwagia mafuta taa na kuliwasha moto.

Cha ajabu, wote hapa nyumbani na hata wake za majirani, zoezi ilikuwa ni kuchoma kadi za CCM. Madai yahoo hawataki udikteta wa CCM. Inasemekana hapa kinondoni wamechoma kadi 120. Mabazo ni za CCM. Kila mwanamke alihakikisha amechoma kadi ya mumewe

Bila kuficha, mimi ni kada mkubwa wa CCM ingawa sijabahatika kwenye teuzi, ila nimekipigania chama tangu mwaka 89. Leo nyumba yangu hakuna kadi ya CCM na mke wangu ananitishia kwamba akiniona na watu wa CCM ananiachia mji na watu wangu wa CCM. Hii inaweza kiawa na madhara makubwa sana, hasa chama dola ikiwa kwenye wakati kama huu, kwani wanawake ndio wapiga kura wakubwa wa CCM.

Mimi ni mana CCM aliyebakia bila kadi.
Mkuu kama wewe ni Kada wa CCM na umekipigania chama chako cha CCM tangu 89 na unaona kuna UDIKITETA ndani ya chama cha CCM si UTOKE kimya kimya?

Kuzichoma,
Kuzitafuna ama
Kuzitupa kadi za CCM za familia yako ni UAMUZI wako mwenyewe na familia yako na haimaanishi watanzania wote walio chama hicho watachoma zao.
Kumbuka demokrasia ni haki yako ya kuhamia chama chochote ili mradi hujavunja sheria!
Si lazima UPIGE MBIU!!!
 
Kama wewe ni Kada wa CCM na umekipigania chama chako cha CCM tangu 89 na unaona kuna UDIKITETA ndani ya chama cha CCM si UTOKE kimya kimya?

Kuzichoma,
Kuzitafuna ama
Kuzitupa kadi za CCM za familia yako ni UAMUZI wako mwenyewe na familia yako na haimaanishi watanzania wote walio chama hicho watachoma zao.
Kumbuka demokrasia ni haki yako ya kuhamia chama chochote ili mradi hujavunja sheria!
mange kimambi
 
Jitahidi kuelimishana na mjitahidi kutimiza ahadi mlizotoa ili mpendwe na wananchi.Kuchoma Kadi pekee haitoshi.
Hata Hivyo Hakuna Anayewahitaji Zaidi Kujipendekeza Na Kupigapiga Kelele Humu, Wewe Tupa Hata Chooni Hakuna Atakayekuuliza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom