Shuleless
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 4,972
- 6,246
Teh sometimes UVCCM mnachekesha sana...Za electronic zitachomwa vip...
CCM wana akil sana
Teh sometimes UVCCM mnachekesha sana...Za electronic zitachomwa vip...
CCM wana akil sana
Bavicha mmeshindwa kabisa kuitikisa ccm sasa mnaamua kumsapoti huyo mwanamke? Aka kweli ccm noma, safari hii lazima mtage...tena mayai vizaMbona umechelewa sana ! Mwenzio Mange kalianzisha kitambo sana .
Source ni yeye mwenyewe kwani vpiWeka source
Au wanataka za kadi kielekronikiWeka source
Una kalili no ya kad tuElectronic una maanisha nini ? Hizi kama za wapiga kura ? Hivi moto unaujua vizuri ?
Kuna vitu hapa nahisi vinanisukuma kuona kuna jambo haliko sawa
-Mkuu huyu ni mwanaCCM aliyekipigania chama kwa mtazamo wake ila kakosa uteuzi hilo ni mosi.
-Pili mke wake alikua anamsubiri ili amuonyeshe kadi halafu aitie mafuta mumewe akimuangalia kisha akaichoma moto (huyu sio mwanaume wa Afrika hii na sio mwanachama kwa aina ya ya wanachama niwajuao huku Afrika)
-Tatu mkewe kamtishia nafikiri labda hii ndio habari kwamba akimuona na watu wa CCM atamuachia Mji, Nina mashaka na aina ya huyu mwanaume ni kweli huyu ni mwanaume wa kiafrika au amekua imported kutoka mahala flani.
Kama hii stori hujatunga jitizame upya uanaume wako huwezi kuimudu familia yako kiasi mke anatenda atakavyo kwavitisho.
Sijawahi kuwa mwanachama wa chama cha siasa ila kwa kua nawajua wanavyama wa vyama vya siasa na uumini wao mke ajaribu kuchoma kadi ya mwanachama wa CCM, CUF au CHADEMA nafikiri atakua anatafuta mauti.
Kwani hizi ambazo sio electronic hazina namba ya kadi ?Una kalili no ya kad tu
Usipanic mkuu.Pumbavu akili zenu za kibavicha msituletee humu.
Acha uzembe bas...kama passwordKwani hizi ambazo sio electronic hazina namba ya kadi ?
Mimi nitamshangaa mtu anajaribu kuishauri au kuitahadharisha CCM kwa sasa wanajichosha bure. CCM hawashauriki wao ni mbelekwambele tuu.Bavicha bana...kazi kweli kweli
Hata Hivyo Hakuna Anayewahitaji Zaidi Kujipendekeza Na Kupigapiga Kelele Humu, Wewe Tupa Hata Chooni Hakuna Atakayekuuliza
Kampeni ya Mange italeta madhara kwa CCM.
Huo ndio ukweli.
......Pumbavu akili zenu za kibavicha msituletee humu.
Chili au tomato?Weka source
ChikakaHata Hivyo Hakuna Anayewahitaji Zaidi Kujipendekeza Na Kupigapiga Kelele Humu, Wewe Tupa Hata Chooni Hakuna Atakayekuuliza
Tangu lini kigodoro kikachezwa kimyakimya,bila shamra shamra?Mkuu kama wewe ni Kada wa CCM na umekipigania chama chako cha CCM tangu 89 na unaona kuna UDIKITETA ndani ya chama cha CCM si UTOKE kimya kimya?
Kuzichoma,
Kuzitafuna ama
Kuzitupa kadi za CCM za familia yako ni UAMUZI wako mwenyewe na familia yako na haimaanishi watanzania wote walio chama hicho watachoma zao.
Kumbuka demokrasia ni haki yako ya kuhamia chama chochote ili mradi hujavunja sheria!
Si lazima UPIGE MBIU!!!