Yawezekana!
Yawezekana!
kwani mtu akitoa kauli yenye mtazamo tofauti na chama chenu ni Bavicha?Pumbavu akili zenu za kibavicha msituletee humu.
Kuchoma kadi yako kwakua mtu mwingine kafanya hivyo tena yupo nje ya nchi na hivyo hana cha kupoteza Ni upumbavu wa kiwango cha lami.Mbona umechelewa sana ! Mwenzio Mange kalianzisha kitambo sana .
yaani mke wako anakusubiri urudi umuoneshe kadi yako ilipo?kwani kuna sehemu humo chumbani hagusi?Muda siyo mrefu nimefika nyumbani kwangu, nikamkuta mamangu ambaye, mke wangu ambaye pia ni mtumishi, mdogo wangu wa kike wote wakiwa wananisubiri. Baada ya salamu, wakaniomba kadi yangu ya CCM. Kwa vile nilikuwa sijui nini kinaendelea, na kwa nia nzuri wakati navua viatu, nikamwambia mke wangu kadi ilipo. Akaenda kuichukua, akatoka nje akalimwagia mafuta taa na kuliwasha moto.
Cha ajabu, wote hapa nyumbani na hata wake za majirani, zoezi ilikuwa ni kuchoma kadi za CCM. Madai yahoo hawataki udikteta wa CCM. Inasemekana hapa kinondoni wamechoma kadi 120. Mabazo ni za CCM. Kila mwanamke alihakikisha amechoma kadi ya mumewe
Bila kuficha, mimi ni kada mkubwa wa CCM ingawa sijabahatika kwenye teuzi, ila nimekipigania chama tangu mwaka 89. Leo nyumba yangu hakuna kadi ya CCM na mke wangu ananitishia kwamba akiniona na watu wa CCM ananiachia mji na watu wangu wa CCM. Hii inaweza kiawa na madhara makubwa sana, hasa chama dola ikiwa kwenye wakati kama huu, kwani wanawake ndio wapiga kura wakubwa wa CCM.
Mimi ni mana CCM aliyebakia bila kadi.
Unataka tomato au chili?Weka source
Mkuu kama wewe ni Kada wa CCM na umekipigania chama chako cha CCM tangu 89 na unaona kuna UDIKITETA ndani ya chama cha CCM si UTOKE kimya kimya?
Kuzichoma,
Kuzitafuna ama
Kuzitupa kadi za CCM za familia yako ni UAMUZI wako mwenyewe na familia yako na haimaanishi watanzania wote walio chama hicho watachoma zao.
Kumbuka demokrasia ni haki yako ya kuhamia chama chochote ili mradi hujavunja sheria!
Si lazima UPIGE MBIU!!!
Bavicha bana...kazi kweli kweliMuda siyo mrefu nimefika nyumbani kwangu, nikamkuta mamangu ambaye, mke wangu ambaye pia ni mtumishi, mdogo wangu wa kike wote wakiwa wananisubiri. Baada ya salamu, wakaniomba kadi yangu ya CCM. Kwa vile nilikuwa sijui nini kinaendelea, na kwa nia nzuri wakati navua viatu, nikamwambia mke wangu kadi ilipo. Akaenda kuichukua, akatoka nje akalimwagia mafuta taa na kuliwasha moto.
Cha ajabu, wote hapa nyumbani na hata wake za majirani, zoezi ilikuwa ni kuchoma kadi za CCM. Madai yahoo hawataki udikteta wa CCM. Inasemekana hapa kinondoni wamechoma kadi 120. Mabazo ni za CCM. Kila mwanamke alihakikisha amechoma kadi ya mumewe
Bila kuficha, mimi ni kada mkubwa wa CCM ingawa sijabahatika kwenye teuzi, ila nimekipigania chama tangu mwaka 89. Leo nyumba yangu hakuna kadi ya CCM na mke wangu ananitishia kwamba akiniona na watu wa CCM ananiachia mji na watu wangu wa CCM. Hii inaweza kiawa na madhara makubwa sana, hasa chama dola ikiwa kwenye wakati kama huu, kwani wanawake ndio wapiga kura wakubwa wa CCM.
Mimi ni mana CCM aliyebakia bila kadi.
Electronic una maanisha nini ? Hizi kama za wapiga kura ? Hivi moto unaujua vizuri ?Za electronic zitachomwa vip...
CCM wana akil sana
Ina maana chadema, bavicha na ukiwa kwa ujumla mmesalimu amri kwa ccm mpaka sasa mnategemea hiyo mwanamke? Sidhani kama mtaweza kuongoza nchi hii hata siku moja...Kampeni ya Mange italeta madhara kwa CCM.
Huo ndio ukweli.
Big lies go and have a nice dream UKAWA leading the Tanzania.