Aisee basi hizi ni shamra shamra za kigodoro!Tangu lini kigodoro kikachezwa kimyakimya,bila shamra shamra?
Hasa hasa kigodoro cha mwajuma ndala ndefu na asha bonge kilichoandaliwa maalum kuisuta lumumba!!
Kumbe utamu wa ngoma aujua mwenyewe!