CCM Mafia warudia uchaguzi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Mafia warudia uchaguzi...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ex Spy, Aug 11, 2010.

 1. Ex Spy

  Ex Spy Senior Member

  #1
  Aug 11, 2010
  Joined: Jan 15, 2007
  Messages: 139
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Ingawa uchaguzi wa kura za maoni CCM umeshafanyika na mbunge anayeshikilia kiti hicho ndugu Abdulkarim Sha au BULJI alimshinda OMAR KIMBAU lakini katika kuonyesha kutoridhishwa kwa maamuzi ya Kidemokrasia yaliyofikiwa na wana-kisiwa cha Mafia, Omar Kimbau ameamua kukata rufaa kwa madai kuwa daftari la Kilindoni lilibadilishwa na pia kawalalamikia PCCB kuwa hawafanyi kazi zao kadiri inavyotakiwa huku akijisifia kuwa wajumbe wote wa CCM wa PWANI wako MFUKONI MWAKE.

  Haya ni baadhi ya maelezo niliyoyapata toka Mafia kwa wana-CCM:

  1. Ukweli ni kuwa PCCB makosa yaliyoyafanya ni kutomkamata Omar Kimbau ambaye amekuwa akijisifia kuwa PCCB hawana ubavu wa kumkamata

  2. Uchaguzi umekwisha salama na wana Mafia wametoa maamuzi kuwa Shah aendelee kuwa mbunge wao

  3. Uhusiano wa CUF na OMAR KIMBAU utapelekea CCM kukikosa kisiwa cha Mafia kwani kitendo cha mashabiki wa Omari ambao ni CUF kumpigia kura kinaweza kubackfire na CUF ikaingia madarakani kwa mgongo wa OMARI KIMBAU

  4. Kitendo cha DC wa Mafia bwana MANGOCHIE MANZIE kunyamaza kimya kwenye hili sakata ni kithibitisho rasmi kuwa kweli alikuwa anamshabikia mwana mama kwa jina la HAFSA ambaye anafanyakazi kwenye mooja ya jumuia za Umoja wa Mataifa jijini DAR

  5. Kwa sababu DC hayupo Mafia, Polisi wamekuwa wakikamata watu hovyo kwa amri ya Omari Kimbau kinyume na sheria

  6. Kitendo cha Katibu Mkuu CCM bwana YUSUF MAKAMBA kutoa amri uchaguzi ufanyike Mafia bila kufuata taratibu za Chama ni kithibitisho tosha kuwa sheria inapindwa ili kulazimisha Omari Kimbau ashinde.

  7. Kikao cha Chama wilayani kimeamua Uchaguzi usirudiwe sasa iweje MAKAMBA atoe amri tuu pasipo fuata taratibu? Na Kama hali ikiendelea hivi sisi tuko tayari kwa lolote lile INCLUDING kurudisha kadi za CCM na kuwapa CUF kura zetu.

  8. Mwisho ningependa kuwafahamisha wakuu wa Usalama kuwa kama hali ya uonevu haitoangaliwa ma makini damu itakuwja kumwagika kwani sisi tushachoka na hatuwezi kuendelea kuwa watumwa wao mwaka nenda rudi.

  9. Msimamo wetu wa kutopiga kura uko pale pale na tungeomba MAAMUZI YETU yaheshimiwe.

  10. Tunalaani vikali kitendo cha Katibu Mkuu Makamba kuingilia chaguzi zinazoendelea na tunapenda kumfahamisha kuwa ndiyo anakipeleka chama shimoni kabisa.
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kichwa cha habari na habari yenyewe kama vile haviendani
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,237
  Likes Received: 5,621
  Trophy Points: 280
  yaani upupu mtupu ama??
   
 4. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Uonevu ccm ni kama jadi
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  yaani hata JK na ujanja wake wote naye yuko mfukoni mwa kimbau maana naye antokea Pwani ati?
  Kwetu mkoani huyo hiyo tu hata kura yake haipati.
   
 6. f

  friendsofjeykey Senior Member

  #6
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Latest ni kuwa Omari Kimbau kashinda kwa kura tano baada ya mgomo wa kupiga kura uliofika saa 9 mchana jana. Uchaguzi ulimalizika kiasi cha saa 5 usiku huku watu kama 30 hivi hawakupata nafasi ya kupiga kura.

  YUSUF MAKAMBA amepata alichokitaka nacho ni FISADI huyu OMARI KIMBAU kupita kura za maoni. Lakini namuunga mkono aliyeleta hoja ya awali hpo juu hili jimbo linaenda CUF unless something dramatic kifanyike lakini ukweli ni kuwa CHADEMA nao mnatakiwa mje kuchangamka huku kisiwani kwani sisi wana Mafia hatuoni sababu ya kumpa kura huyu muuza Bwimbwi wakati waadilifu wapo
   
 7. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Du mwaka huu tutaona mengi! what a name??????????
   
 8. f

  friendsofjeykey Senior Member

  #8
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Infact Kimbau anasema si JK tuu kamweka Mfukoni bali CCM PWANI nzima iko kwenye payroll yake!

  Uchaguzi umerudiwa kwa AMRI YA MAKAMBA na si kufuata taratibu ambazo zilikuwa kama Omari alikuwa na pingamizi ilibidi alipeleke WILAYANI kwanza Kabla halijapelekwa MKOANI sasa baada ya kikao kufanyika siku ya jumamosi iliamuliwa kuwa Uchaguzi ufanyike Jumapili, ambako nako WILAYA walisema kuwa uamuzi wao ni final...kufika Jumatano uchaguzi umerudiwa kwa amri ya MAKAMBA ambaye aliamua ku over rule VIKAO VYA CHAMA na bila kuweka kifungu chochote kile cha sheria chenye kusupport amri yake

  MAKAMBA ambaye ana ujamaa na Mama yake OMARI kama aliweza kumtafutia mwanae jimbo huko Bumbuli kashinda vipi kumtautia huyu MUUZA UNGA Kimbau jimbo huko kwao Tanga?

  Narudia sisi kama maamuzi yetu hatoheshimiwa then tuko tayari kuwekewa vikwazo vya Kimaendeleo na serikali ya JK kwani afterall miaka yote se tulikuwa kwenye vikwazo vya kimaendeleo and if anything sioni ubaya tukajitenga kabisaaa kama hawa viongozi hawataki kuheshimu maoni yetu!
   
 9. f

  friendsofjeykey Senior Member

  #9
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana wewe huna habari na hao friends of JK? mbaona watu walisharegister kwa jina hilo humu ndani?
   
 10. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yea nilikuwa sina habari mkuu, good luck!!!!!
   
 11. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Hili jina la DC wa Mafia kiboko! "MANGOCHIE MANZIE"
   
 12. Iramusm

  Iramusm JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 424
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Naomba kuuliza jamani..Kimbau huyu na yule Kimbau muhuni promota wa ngumi aliyemvuta mguu bondia akiwa ulingoni na kumtoa nje wakati pambano linaendelea wana uhusiano gani..au ni mtu mmoja?
   
 13. f

  friendsofjeykey Senior Member

  #13
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Naam ndio huyo huyo FISADI na mhuni alikuwa na BAA aliyojenga kinyume cha Sheria pale Masaki, Haile Sellaise Road opposite na SHOPPERS PLAZA ile baa ilikuwa inaitwa MAFIAN FISH BAR.

  sasa mtu kashindwa kuendesha bar ndio atauweza Ubunge?

  Na balaa lote hili ndio tumeletewa na MAKAMBA ambaye kwa amri yake na fax za usiku wa manane kushinikiza Uchaguzi urudiwe KILINDONI ili MPWA wake apitishwe

  As we speak Kadi za CCM zaidi ya 200 zisharudishwa

  jamani CHADEMA mko wapi?
   
 14. f

  friendsofjeykey Senior Member

  #14
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu naye hapa anatuletea ma dha h ma tuu hamna cha zaidi.
   
 15. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2010
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Vipi yule mgombea mwanamke daktari wa UN ndio mmemtosa? Au hakuhonga vya kutosha?
   
 16. f

  friendsofjeykey Senior Member

  #16
  Aug 13, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo lake huyu mama alitegemea kuwa kumvulia chupi DC ndio angepata huo ubunge kumbe....ubunge unataka uwe na uhusiano na MAKAMBA bas!

  habari ndio hiyo na CUF haoooooooookiulainiiiiiiiiiiiii
   
Loading...