GE2025 CCM kwanza na taifa baadae ya Humphrey Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2007
Posts
7,038
Reaction score
9,350
Na Dr Mutatis Mutandis

Nimefuatilia kiukaribu sana sakata hili linalomhusu ndugu Humphrey Polepole nilichoking'amua ni kuwa ndugu Polepole (wa leo) kwake CCM ndiye mzaliwa wa kwanza na Taifa ni mtoto wa kuasili (adopted child). Kwa hiyo mapenzi yake, roho yake, liwazo lake ni CCM kwanza, mengine baadae. Na hii ndiyo iliyotushtua baadhi yetu tunaoamini masalahi ya Taifa lazima yaje mbele kwanza, na haya ya vyama yaje baadae Nitaeleza:

1. Polepole Anatetea desturi anazodai ni za CCM ambazo kinsingi zipo kinyume cha katiba ya nchi.

Katika kujaribu kujenga hoja yake, ya kuonyesha kuwa kilichofanyika ndani ya chama chake siyo sawa, Bwana Polepole ameutangazia umma kuwa ni desturi ya chama cha mapinduzi watu walioshika nyadhifa za Spika, Waziri mkuu na Makamu wa Rais wa JMT kuwa hawapaswi kugombea Urais kupitia chama hicho kwa hoja kuwa kila baada ya awamu inahitajika mabadiliko ya uongozi ndani ya chama ili chama kije na upya mbele ya umma. Hata hivyo dhana hii ni KINYUME KABISA NA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ambayo msingi wake ni kuwa hakuna sheria ya mtu au taasisi yoyote au desturi ya taasisi hiyo itakayotungwa au kuenendwa itakayokwenda kinyume na katiba ya JMT. Masharti ya mtu kuwa rais kwa mujibu wa katiba ya nchi yako wazi. Hivyo nilitegemea Bwana Polepole asimame Upande wa Katiba ya nchi aitetee ndani ya CCM, aitake CCM iachane na utaratibu huo na badala yake ijitune kuendana na masharti ya katiba ya nchi. Na kimsingi kama angeitetea katiba ya nchi ndani ya chama ingekuwa ni uthibitisho kuwa anaweka Taifa mbele, lakini yeye anafunika kombe mwanaharamu apite, tena anatetea uvunjifu huu wa katiba wa wazi, tena unaonyima haki wana CCM haki yao ya msingi ya kikatiba ya kugombea uraia wa nchi eti simply wamewahi kuhudumu katika nafasi za Uspika, Uwaziri mkuu na hata umakamu wa rais. Naamini chama cha mapinduzi kitalitolea ufafanuzi mzuri suala hili.

2. Polepole alishiriki kuitengeneza CCM hii ya sasa na wala hakujali ingelitendea nini Taifa.

Polepole anajua vizuri kuwa hawezi kupanda mbaazi, akavuna mahindi, huwezi kupanda njegere ukavuna mchele. Hii CCM ya sasa kama ilivyo na kama inavyobehave kuna jasho la akina Polepole kuifanya hivi ilivyo, na wakati huo akina Polepole wanapanga mikakati ya kudhoofisha Upinzani "kihuni", wakigeuza siasa za nchi hii kuwa za kununua wapinzani, kama nyanya sokoni, Kuwakata wanaCCM wanaogombea nafasi mbalimbali kimagumashi, walidhani wanafanya kwa maslahi ya CCM bila kujali mustakabali wa Taifa. Sasa bwana Polepole alitaka CCM ya namna gani iliyo tofauti?.

3. Polepole angekuwa mtu wa kutetea haki, na katiba ya nchi angejiuzulu toka awamu ya Tano

Hili ni dhahiri na siyo siri, katika awamu zilizojipambanua wazi kutoheshimu katiba na hata haki za kikatiba za wananchi basi awamu ya tano ilijiwekea rekodi ua aina yake. Nani amesahau uchaguzi wa mwaka 2019?. Huyu Polepole alikuwa wapi kujiuzulu kwa maslahi ya Taifa kupinga hilo?. Au yeye anadhani uchaguzi unapaswa kuwa wa haki tu ndani ya chama lakini ule wa Taifa usipokuwa wa haki hiyo siyo ishu?.
Polepole alikuwa wapi kujiuzulu kwa matendo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambapo rekodi ya kuengua mawakala wa vyama vya upinzani iliwekwa?. Au kwa Polepole dhulma wakifanyiwa wananchi kwenye kuchagua viongozi wawatakao hiyo ni sawa tu ilimradi haikutokea ndani ya CCM?.

4. Polepole kama askari aliyekimbia mapambano wakati Taifa linamhitaji.

Polepole kaaminiwa na nchi, kapewa fursa aiwakilishe nchi, aitangaze nchi, aitendee kazi nchi matokeo yake kaiacha nchi solemba kwenye mapambano ya kidiplomasia kwa sababu tu hajapendezwa na siasa za nyumbani, kwa sababu eti hajaridhishwa na uongozi wa nyumbani, lakini na yeye kimsingi ni kiongozi, tena wa nafasi muhimu, tena anajiamini kuwa anaweza, Sasa anajiuzulu ili atuacheje sisi wananchi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, wakati alitoa ahadi ndani ya chama chake kuwa atatumia elimu yake na vipawa vyake kwa manufaa ya wote, Sasa mbona anatukimbia tena sisi wanyonge wananchi wa JMT?. Je kwa nini asipambane ndani humohumo ili atupambanie sisi wananchi?. Kwa nini anaquitt?, Kama anaquitt sisi wananchi tufanyeje?, mbona anatuacha yatima?. Anataka aende nani huko?.Kama askari anakimbia uwanja wa mapambano kwa sababu anadhani nyumbani mambo hayako sawa kwa hiyo anataka nchi ifanyeje sasa?. Je ni kweli anapinga mambo ya utekaji?, mbona yalikuwepo awamu ya tano na hakusema lolote, Je anapinga mambo ya kutoheshimu katiba mbona yalikuwepo sana tu awamu ya tano na hakusema lolote, Je anapinga taratibu kutofuatwa na CCM, mbona alipokatwa Lowasa mwaka 2015 "kimkakati" hakusema lolote?. Tunapata mashaka sana juu ya dhamira yake halisi kwenye kuquit na kutuacha wananchi wa JMT tuliomsomesha kwa kodi zetu akikataa kututmikia katika nafasi ambayo nchi ilimpa heshima.

5. CCM inasema nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko

Pamoja na udhahiri wa bwana Polepole kuipenda CCM zaidi kuliko Taifa, lakini katika maelezo yake mengi kapotosha sana umma, kapotosha kuwa ni desturi ndani ya chama kuwa Waziri mkuu, Makamu wa rais, Spika hawapewi nafasi ng'o ya kuwa wagombea kwa tiketi ya chama chao, Hii siyo kweli ndiyo maana akina Salim Ahmed Salim, Warioba, Lowasa wamewahi kugombea. Hawakupewa fursa si kwa sababu waliwahi kushika nyadhifa hizo bali hawakuweza tu kuwashinda washindani wengine ndani ya chama. Sasa sidhani kuwa Polepole anaijua CCM kuzidi Salim Ahmed Salim au Jaji Warioba. Kwenye ishu ya kusema kweli daima, hapo Polepole kapuyanga. Kwenye ishu ya Fitina, Kwa nini bwana Polepole hanyooshei kidole uteuzi wa wa Zanzibar lakini ananyooshea Kidole uteuzi wa mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya CCM wakati wote hao wawili walipitishwa na kikao kimoja cha mkutano mkuu?. Kwa nini hazungumzii hilo la Zanzibar, anakwepa nini?, Dhamira njema iko wapi hapa?.

Mwisho kabisa, nataka tu niseme kuwa Yapo mambo ya msingi ambayo ndugu Polepole ameyaraise, hasa yanayohusu kuheshimu taratibu za chama chake, lakini hayo ya CCM watajuana wenyewe, YA AKINA NGOSWE TUWAACHIE AKINA NGOSWE wenyewe, Wajuane wenyewe huko ndani ya chama chao, sisi wengine TAIFA KWANZA vyama baadae, tukiona katiba na haki za mtu zinasemwa ndivyo sivyo lazima tutoke tunyooshe msitari!.
 
Kwenye hili nakubaliana na wewe. Polepole ana tatizo kuu ambalo ni wachache sana tunaweza kuliona pamoja na kwamba anaweza kuwa sawa kuhusu kutaka taratibu zifuatwe.

Tatizo kuu la polepole ni kuiabudu CCM kuliko anavyohusudu Utaifa.

Siku zote Taifa na maslahi ya Taifa ndo yanapaswa kuwekwa mbele kuliko maslahi ya vyama na watu.
 
Huna akili
 
Eti Na wewe umemjibu Polepole
Pumba tupu!
Kwani kuna maswali gani ya msingi polepole kauliza?.Zile ni porojo za mtazamo wake kama za mtoa mada.Na ndo mana wote hakuna kifungu chochote cha sheria walichoainisha kimevunjwa.Baada ya muda utakuja kugundua hizo ni porojo kama zingine.
 
1753379835586.jpeg
 
Kwenye hili nakubaliana na wewe. Polepole ana tatizo kuu ambalo ni wachache sana tunaweza kuliona pamoja na kwamba anaweza kuwa sawa kuhusu kutaka taratibu zifuatwe.

Tatizo kuu la polepole ni kuiabudu CCM kuliko anavyohusudu Utaifa.

Siku zote Taifa na maslahi ya Taifa ndo yanapaswa kuwekwa mbele kuliko maslahi ya vyama na watu.
Pole pole kama zitto tu
 
Na Dr Mutatis Mutandis

Nimefuatilia kiukaribu sana sakata hili linalomhusu ndugu Humphrey Polepole nilichoking'amua ni kuwa ndugu Polepole (wa leo) kwake CCM ndiye mzaliwa wa kwanza na Taifa ni mtoto wa kuasili (adopted child). Kwa hiyo mapenzi yake, roho yake, liwazo lake ni CCM kwanza, mengine baadae. Na hii ndiyo iliyotushtua baadhi yetu tunaoamini masalahi ya Taifa lazima yaje mbele kwanza, na haya ya vyama yaje baadae Nitaeleza:

1. Polepole Anatetea desturi anazodai ni za CCM ambazo kinsingi zipo kinyume cha katiba ya nchi.

Katika kujaribu kujenga hoja yake, ya kuonyesha kuwa kilichofanyika ndani ya chama chake siyo sawa, Bwana Polepole ameutangazia umma kuwa ni desturi ya chama cha mapinduzi watu walioshika nyadhifa za Spika, Waziri mkuu na Makamu wa Rais wa JMT kuwa hawapaswi kugombea Urais kupitia chama hicho kwa hoja kuwa kila baada ya awamu inahitajika mabadiliko ya uongozi ndani ya chama ili chama kije na upya mbele ya umma. Hata hivyo dhana hii ni KINYUME KABISA NA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ambayo msingi wake ni kuwa hakuna sheria ya mtu au taasisi yoyote au desturi ya taasisi hiyo itakayotungwa au kuenendwa itakayokwenda kinyume na katiba ya JMT. Masharti ya mtu kuwa rais kwa mujibu wa katiba ya nchi yako wazi. Hivyo nilitegemea Bwana Polepole asimame Upande wa Katiba ya nchi aitetee ndani ya CCM, aitake CCM iachane na utaratibu huo na badala yake ijitune kuendana na masharti ya katiba ya nchi. Na kimsingi kama angeitetea katiba ya nchi ndani ya chama ingekuwa ni uthibitisho kuwa anaweka Taifa mbele, lakini yeye anafunika kombe mwanaharamu apite, tena anatetea uvunjifu huu wa katiba wa wazi, tena unaonyima haki wana CCM haki yao ya msingi ya kikatiba ya kugombea uraia wa nchi eti simply wamewahi kuhudumu katika nafasi za Uspika, Uwaziri mkuu na hata umakamu wa rais. Naamini chama cha mapinduzi kitalitolea ufafanuzi mzuri suala hili.

2. Polepole alishiriki kuitengeneza CCM hii ya sasa na wala hakujali ingelitendea nini Taifa.

Polepole anajua vizuri kuwa hawezi kupanda mbaazi, akavuna mahindi, huwezi kupanda njegere ukavuna mchele. Hii CCM ya sasa kama ilivyo na kama inavyobehave kuna jasho la akina Polepole kuifanya hivi ilivyo, na wakati huo akina Polepole wanapanga mikakati ya kudhoofisha Upinzani "kihuni", wakigeuza siasa za nchi hii kuwa za kununua wapinzani, kama nyanya sokoni, Kuwakata wanaCCM wanaogombea nafasi mbalimbali kimagumashi, walidhani wanafanya kwa maslahi ya CCM bila kujali mustakabali wa Taifa. Sasa bwana Polepole alitaka CCM ya namna gani iliyo tofauti?.

3. Polepole angekuwa mtu wa kutetea haki, na katiba ya nchi angejiuzulu toka awamu ya Tano

Hili ni dhahiri na siyo siri, katika awamu zilizojipambanua wazi kutoheshimu katiba na hata haki za kikatiba za wananchi basi awamu ya tano ilijiwekea rekodi ua aina yake. Nani amesahau uchaguzi wa mwaka 2019?. Huyu Polepole alikuwa wapi kujiuzulu kwa maslahi ya Taifa kupinga hilo?. Au yeye anadhani uchaguzi unapaswa kuwa wa haki tu ndani ya chama lakini ule wa Taifa usipokuwa wa haki hiyo siyo ishu?.
Polepole alikuwa wapi kujiuzulu kwa matendo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambapo rekodi ya kuengua mawakala wa vyama vya upinzani iliwekwa?. Au kwa Polepole dhulma wakifanyiwa wananchi kwenye kuchagua viongozi wawatakao hiyo ni sawa tu ilimradi haikutokea ndani ya CCM?.

4. Polepole kama askari aliyekimbia mapambano wakati Taifa linamhitaji.

Polepole kaaminiwa na nchi, kapewa fursa aiwakilishe nchi, aitangaze nchi, aitendee kazi nchi matokeo yake kaiacha nchi solemba kwenye mapambano ya kidiplomasia kwa sababu tu hajapendezwa na siasa za nyumbani, kwa sababu eti hajaridhishwa na uongozi wa nyumbani, lakini na yeye kimsingi ni kiongozi, tena wa nafasi muhimu, tena anajiamini kuwa anaweza, Sasa anajiuzulu ili atuacheje sisi wananchi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, wakati alitoa ahadi ndani ya chama chake kuwa atatumia elimu yake na vipawa vyake kwa manufaa ya wote, Sasa mbona anatukimbia tena sisi wanyonge wananchi wa JMT?. Je kwa nini asipambane ndani humohumo ili atupambanie sisi wananchi?. Kwa nini anaquitt?, Kama anaquitt sisi wananchi tufanyeje?, mbona anatuacha yatima?. Anataka aende nani huko?.Kama askari anakimbia uwanja wa mapambano kwa sababu anadhani nyumbani mambo hayako sawa kwa hiyo anataka nchi ifanyeje sasa?. Je ni kweli anapinga mambo ya utekaji?, mbona yalikuwepo awamu ya tano na hakusema lolote, Je anapinga mambo ya kutoheshimu katiba mbona yalikuwepo sana tu awamu ya tano na hakusema lolote, Je anapinga taratibu kutofuatwa na CCM, mbona alipokatwa Lowasa mwaka 2015 "kimkakati" hakusema lolote?. Tunapata mashaka sana juu ya dhamira yake halisi kwenye kuquit na kutuacha wananchi wa JMT tuliomsomesha kwa kodi zetu akikataa kututmikia katika nafasi ambayo nchi ilimpa heshima.

5. CCM inasema nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko

Pamoja na udhahiri wa bwana Polepole kuipenda CCM zaidi kuliko Taifa, lakini katika maelezo yake mengi kapotosha sana umma, kapotosha kuwa ni desturi ndani ya chama kuwa Waziri mkuu, Makamu wa rais, Spika hawapewi nafasi ng'o ya kuwa wagombea kwa tiketi ya chama chao, Hii siyo kweli ndiyo maana akina Salim Ahmed Salim, Warioba, Lowasa wamewahi kugombea. Hawakupewa fursa si kwa sababu waliwahi kushika nyadhifa hizo bali hawakuweza tu kuwashinda washindani wengine ndani ya chama. Sasa sidhani kuwa Polepole anaijua CCM kuzidi Salim Ahmed Salim au Jaji Warioba. Kwenye ishu ya kusema kweli daima, hapo Polepole kapuyanga. Kwenye ishu ya Fitina, Kwa nini bwana Polepole hanyooshei kidole uteuzi wa wa Zanzibar lakini ananyooshea Kidole uteuzi wa mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya CCM wakati wote hao wawili walipitishwa na kikao kimoja cha mkutano mkuu?. Kwa nini hazungumzii hilo la Zanzibar, anakwepa nini?, Dhamira njema iko wapi hapa?.

Mwisho kabisa, nataka tu niseme kuwa Yapo mambo ya msingi ambayo ndugu Polepole ameyaraise, hasa yanayohusu kuheshimu taratibu za chama chake, lakini hayo ya CCM watajuana wenyewe, YA AKINA NGOSWE TUWAACHIE AKINA NGOSWE wenyewe, Wajuane wenyewe huko ndani ya chama chao, sisi wengine TAIFA KWANZA vyama baadae, tukiona katiba na haki za mtu zinasemwa ndivyo sivyo lazima tutoke tunyooshe msitari!.
Huu ni ukweli mtupu
 
Kwenye para ya mwisho nikusahihishe , huwezi kusema ya CM tuwaachie CCM wakati wao ndio wanao leta raisi wa kukuongiza hata weww ,hivyo rais akiwa wa hovyo madhara si ya CCM pekee bali hadi kwa taifa lote hivyo tambua maamuzi ya Ccm yana madhara makubwa sana kwa Taifa
 
Hao CCM toka mwaka 1995 wanafanyiana umafya kwenye kumpata mgombea wa urais. Ni mara chache tu mambo yalienda smooth. Sijawahi kumsikia Polepole akilaani utaratibu wa jinsi Lowasa alivyokatwa mwaka 2015

Again, kuhusu hoja za taratibu za chama kufuatwa, Hivi Polepole alikuwa ashazaliwa pale Ghalib Bilal alivyopigwa changa la macho ili Amani Karume apete?
 
Hoja ya Polepole wakati akihojiwa na Jenerali Ulimwengu kuwa eti Mwenyekiti wa CCM ana nguvu kuliko Rais ni ya ajabu sana.
Pengine hajui kuwa Rais akiamua kukunjua makucha yake anaweza kumpoteza huyo Mwenyekiti kwa kesi ya uhujumu uchumi.
 
Kama ninaiona misokwe flani ilivyonuna humu saa hizi. Haiamini onachoshuhudia baada ya threads zao nyingiiiiiiiiiiii za kuwaaminisha ujinga wajinga wa humu jf......of course tubawaita nyumbu sababu ni nyumbu.
 
Back
Top Bottom