Mwambawetu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 25,385
- 34,369
Kumbe hiki sio chama cha wanachamaNi muda wa kiapo sasa,
Wajuba wameamua kama mbwai na iwe mbwai
Uhalisia wa ndani ni tofauti na mnavyoaminishwa huku nje husasan hapa JF😀
Kumbe hiki sio chama cha wanachamaNi muda wa kiapo sasa,
Wajuba wameamua kama mbwai na iwe mbwai
Uhalisia wa ndani ni tofauti na mnavyoaminishwa huku nje husasan hapa JF😀
Jisemee wewe ndugu yangu, kwanza si mmesusa? Hii thread haiwahusu😁😁😁Kuwa na adabu sisi hatupigii kura ni mgombea wenu siyo.wetu
Si mmesema Masoud amefungiwa? Mnapenda kujitekenya na kucheka wenyewe.Kutoka timu ganiView attachment 3419452
Kama upigi tutakupigia tuKuwa na adabu sisi hatupigii kura ni mgombea wenu siyo.wetu
Ila chama cha wazee mna jazba vibaya. Subiri watu wachakate maamuzi waje na mitazamo mbadala. Mkutano huo ulikuwa ni hotuba na sio kikao cha kujadiliana.Kama ninaiona misokwe flani ilivyonuna humu saa hizi. Haiamini onachoshuhudia baada ya threads zao nyingiiiiiiiiiiii za kuwaaminisha ujinga wajinga wa humu jf......of course tubawaita nyumbu sababu ni nyumbu.
Sasa mnafanya uchaguzi wa nini kama mnaweza kuwapigia watu? Nani anatembelea nyota ya Magu?Kama upigi tutakupigia tu
ata kwa rip JPM mligoma mkidai JPM nyampala
lkn tukawapigia kura.!! Leo mnatembelea nyota yake..
Sawa, karibuni. Kwakuwa hakuna kinachoendelea huko kwenu kwa maana tone tone imestukiwa na kususiwa na watu Huku nrne ipo huko korokoroni pamoja na yule raia wa ubelgiji, basi mnaweza kuungana katika jitihada zenu za kumharibia mama pengine mtafanikiwa........ila mnaweza kitafakari ni mangapi mnampangia huyu mama lakini M/Mungu anayayeyusha katika namna ya ajabu kabisa. Mnaweza kudharirika zaidi. Ni mtazamo tu lakini mnaweza kuendeleaIla chama cha wazee mna jazba vibaya. Subiri watu wachakate maamuzi waje na mitazamo mbadala. Mkutano huo ulikuwa ni hotuba na sio kikao cha kujadiliana.
Alisema julay kuna mtu anatiwa kwa sandarusi.
Sisi tuko gado, hadi taasisi za kimamlaka zimebidi ziwabebe maana dhoruba letu ni hatari, chama la wazee haliwezi mziki huo. Tonetone ipo, na kwa taarifa yako jana nimeweka mpunga huko kwenye tonetone. Hutaji jinyonge.Sawa, karibuni. Kwakuwa hakuna kinachoendelea huko kwenu kwa maana tone tone imestukiwa na kususiwa na watu Huku nrne ipo huko korokoroni pamoja na yule raia wa ubelgiji, basi mnaweza kuungana katika jitihada zenu za kumharibia mama pengine mtafanikiwa........ila mnaweza kitafakari ni mangapi mnampangia huyu mama lakini M/Mungu anayayeyusha katika namna ya ajabu kabisa. Mnaweza kudharirika zaidi. Ni mtazamo tu lakini mnaweza kuendelea
akikujibuNa hivyo ndivyo tunavyotaka....... mambo yanaenda muruaaaa kabisa.
Sasa kwanini mnahangaika kuleta uchuro huu na ule Kila dakika kwa Samia ikiwa nyie hampigi kura?!!
mama kakaba mpaka penatiLabda Mungu Aingilie kati au wajanja wam-magufulishe. Mi nasema mama tunaye mpaka 2035. Mama hoyeeee!
View attachment 3419477
🤣🤣🤣🤣Kwa nini Hadi Sasa Polepole hajamtaja muhuni hata mmoja? Au ametumwa kuchangamsha nchi.
Atutajie hata muhuni mmoja sio Kila point anaongea KWA ujumlajumla.🤣🤣🤣🤣
Atakuwa anajipanga mwenyewe kuongea na waandishi wa habari kesho au keshokutwa. Anajadiliana na mpina pamoja na gwajima Sasa hivi kuhusu nani aanze.
Ni muda wa kiapo sasa,
Wajuba wameamua kama mbwai na iwe mbwai
Uhalisia wa ndani ni tofauti na mnavyoaminishwa huku nje husasan hapa JF😀
🤣🤣🤣🤣🤣Atutajie hata muhuni mmoja sio Kila point anaongea KWA ujumlajumla.
Mama tunaye kama Mwenyekiti na Rais wa nchi, lakini sio hadi 2035 bali hadi 2030 kwa mujibu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo kila mwana CCM ameapa kuilinda!Labda Mungu Aingilie kati au wajanja wam-magufulishe. Mi nasema mama tunaye mpaka 2035. Mama hoyeeee!
View attachment 3419477
Jf hii wengine wanaitumia kuwahangaisha, kuwaibia na kuwapumbaza nyumbu. Ninaposema nyumbu, enyi wapendwa wanaJF, namaanisha hawa chadema wa lissu waliojaa humu na kuzusha matamanio yao ya kishetani dhidi ya Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania.Ni muda wa kiapo sasa,
Wajuba wameamua kama mbwai na iwe mbwai
Uhalisia wa ndani ni tofauti na mnavyoaminishwa huku nje husasan hapa JF😀
July haijaishaAlisema julay kuna mtu anatiwa kwa sandarusi.