misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,046
- 13,171
Ujinga kumvisha rais kama mungu, ndio maana watu wanadai katiba mpya kupunguza huu ujinga.Hoja ya Polepole wakati akihojiwa na Jenerali Ulimwengu kuwa eti Mwenyekiti wa CCM ana nguvu kuliko Rais ni ya ajabu sana.
Pengine hajui kuwa Rais akiamua kukunjua makucha yake anaweza kumpoteza huyo Mwenyekiti kwa kesi ya uhujumu uchumi.
Eti makucha