Huamini kuwa UKAWA wameongeza mitaa/vitongoji/vijiji tofauti na ilivyokuwa awali? Huamini chama chako kimepoteza mitaa/ vitongoji/vijiji vingi tofauti na uchaguzi uliopita? Ningependa kujua msimamo wako. Kama hizo hypotheses hapo juu ni sahihi nani anapaswa kuitwa mshindi kwa maana ya kupiga hatua.? Unipe majibu baada ya kupata hayo ya rasmi unayoyasubiri
Ulitegemea kura zitapatikane wapi kwa mbinu kama hizi zilizopitwa na wakati.
Sisi tunangoja matokeo ya nchi nzima halafu tuwaone mtaingilia wapi.
Wala wasi hatuna tunawasoma viwanda vya uongo mkiwa kazini baada ya malipo ya viroba.
Ni yae yale kama Kalenga kama Chalinze kama chopa tatu kata tatu, mlikuwa mkibwabwaja
sana, matokeo rasmi yalipotoka, wote mkawa kimya. Naleo hakuna tofauti, wembe ni ule ule tu.
UKAWA? toka lini ukawa ikawa na awali? rudi tena kafanye homework yako.
Unafiki tu...
Bado hiyo ni trela picha 2015, halafu sasa hivi wananchi huwaambii kitu, wanapiga kura na kulinda kura.
Unafiki tu...
Kosa kubwa la CCM,kushindwa kujibu hoja na matatizo ya kiuchumi na kijamii.Leo hapa Lumumba hakukaliki.Hakusemeki jema. Hasira zimetanda. Nyaraka kalikali zinapita kutoka huku kwenda kule. Ofisi zetu hapa leo zinakuwa chungu.Kisa,UKAWA kushinda vijijini na kwenye ngome za CCM kama Monduli. Makada owanalaumiana,vikao visivyoisha.Lakini,ni vikao kwa kukalishwa na si kukaa.Kukalishwa na kusimangwa. Kukemewa. Kushambuliwa.
Inasemwa hapa kuwa lengo la CCM halijatimia.Iitakiwa CCM ishinde kwa asilimia 90. Hadi sasa,hali ni tete.Mikoa yetu tuliyokuwa tunaitegemea imetuangusha. Majimbo yetu yaliyokuwa imara,yamesambaratika. Wabunge wetu wanaojitutumua Bungeni kama majembe ya chama, hawajasaidia kupatikana asilimia 90. Mambo ni shaghalabaghala. Mchafukoge!
Kambi za Urais na Escrow zinatajwa kama sababu kuu. Ziara za Katibu Mkuu wa chama nazo zinapondwa kwa kukosa matunda ya maana. Hakuna pa kushika,hakuna wa kumtupia lawama za moja kwa moja. Lakini,wakuu wanamtafuta wa kumwangushia 'jumba bovu'.Mchawi wa matokeo haya.
Kwani ni dhambi wapinzani kushinda vijijini na kwenye ngome za CCM?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Haya ndio maneno yaliyobaki mdomoni mwako, pole sana tena mshukuru mbinu mliotumia ya uandikishaji wa siri na mapingamizi ya hovyo
wapi bibi yako FaizaFoxy aje akusaidie
View attachment 211142
Ndio maisha bora hayo mliyokuwa mnayaimba majukwaaan?
Nyambaffffff ndio mshahara wenu huooo
Hapa ukawa wanajifariji tu na ukweli wanashindwa kuusema, ngoja takwimu zitoke uone watakavyoingia mitini.
CCM imechukuwa tena ushindi wa kishindo Tanzania nzima.