CCM: Kutoka kuchekeana hadi kutishana

CCM: Kutoka kuchekeana hadi kutishana

Petro E. Mselewa nashangaa eti na wewe ni mwanasheria! mwanasheria gani asiyejua kumpeleka mtu mahakamani lazima uwe na evidence zinazokidhi mahitaji kisheria na sio kisiasa.
Ni kesi ngapi serikali imepeleka mahakamani na ikashindwa kwa sababu zinazofanana na hizo? ama kweli sio kila mwanasheria anayeelewa sheria.

duuh kwani we mgeni na nchi hii?Tatizo sio ushahidi kutokuwepo au kutokamilika,issue hapa ni ushahidi kutokamilishwa kwa makusudi hata kama upo peupe!Kuna namna nyingi za kulindana,we ulishaona wapi mpokea rushwa anashtakiwa ila mtoaji humsikii kabisa eti ushahidi haujakamilika wa kumfikisha mahakamani haujakamilika!Sasa umekamilikaje kwa aliyepokea?nchi hii ni shamba la bibi,usijitie upofu!
 
Last edited by a moderator:
Learned brother,

Amini nakwambia, hata nyoka mwenye makengeza ambaye wamekuwa wakimlinda na kumtetea, atakuja kuwatesa sana CCM.
kwa kiwango kidogo walichonacho wanaccm huyu atawaburuza sana !
 
Kidumu Chama cha Mapinduzi (lakini mioyoni wanajua kabisa safari hii hakitadumu!):flame:
 
Lakini inawezekana ccm wameamua kumtafuta mtu ambaye hana makundi ili awaunganishe wana ccm wote pamoja
 
Amina hawawez kumpatia kwa nchi tulipo ni miujiza tu inatakiwa. lakin yawezekana atakayepata kat ya hawa ataleta changes
 
hakuna ushahidi kukosekana, ni mawakili au waendesha mashtaka kugeuka na kuwa upande wa washtakiwa!
 
Nguli za utawala, siasa na sheria walipendekeza kwenye tume ya warioba kuwa wakati umafika wa kujenga taasisi katika uongozi wa taifa au chama badala ya kutegemea busara za mtu mmoja na kikundi kidogo. Kwa kauli mmoja watanzania tukapaza sauti zetu kuwa hakuna kupunguza madaraka ya mtu hapa. Sasa mtu anapokatwa ya nini kuanza kulalama? Miafrika ndivyo ilivyo mapaka yanapowakuta wao badala ya kuangalia mbele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom