Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Kupeng'e tunakuheshimu, please acha huu uzushi na insinuations za kuugeuza huu msiba kuwa ni mtaji wa kisiasa.Baada ya Msiba wa Regia Mtema Delegation yote ya serikali (Rais, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na spika) picha zinajionesha
ilikimbilia msibani hii ilikuwa furusa nzuri serikali kujitakasa kwa wananchi ambao kwa sasa wana maisha magumu
Huu msiba umekuwa lulu kwa serikali kuepuka hasira za wananchi baada ya kuwalazimisha kulipa DENI la dowans bila kutaka kuanzania 15.1.2012.
Akiongea na wanahabari jana Spika wa Bunge Anna Makinda alisema Serikali (Ya CCM ) itaongoza mazishi ya Regia Mtema Mpaka Kilombero
:ballchain:
Katibu mwenezi wa Chadema JJ Mnyika naye akiongea na wanahabari alisema baada ya Regia Kuagwa kiselikali pale karimjee mwili utasafirishwa na chadema hadi kilombero
Sasa Hapa sijaelewa Kwanini wanagombania Maiti...??
Mheshimiwa marehemu Regia Mtema alikuwa mbunge wa kitaifa Tanzania toka CHADEMA wala si mbunge wa CCM. Wacha kuchanganya mambo wewe kama CCM wanapenda wabunge wa upinzani wampe David Kafulila aliyetemwa na NCCR ubunge kwenye CCM basi kieleweke!!!!!!!Sioni Tatizo kwa kuwa alikuwa ni mbunge wa w-TZ wote na serikali ni ya CCM.tuache kukuza kila jambo jamani.Tuwe tunashirikiana katika mambo ya kitaifa.
Kupeng'e tunakuheshimu, please acha huu uzushi na insinuations za kuugeuza huu msiba kuwa ni mtaji wa kisiasa.
Mgombea ndio huwa wa chama cha siasa, akishachaguliwa, anageuka ni mtumishi wa bunge hivyo serikali kuhusika moja kwa moja!.
Nakuomba usiisingizie CCM kama chama, bali serikali kama serikali ndio inahusika moja kwa moja kwa tukio la kesho pale Karimjee, kwa vile ni serikali ya CCM, uhusika wake sio wa kichama bali ni kiserekali!.
Kwa maoni yangu msiba huu umeleta upendo, mshikamano na ushirikiano wa karibu baina ya vyama hasimu kisiasa kwa viongozi waliosusiana muda mrefu kusalimiana na kukaa meza moja ambalo ni jambo jema kwa mustakabali wa siasa za nchi yetu!.
RIP Regia Mtema, asante kwa kutuachia upendo na mshikamano huu!.
Pasco.

CCM ni chama Tawala hivyo kina majukumu ya kuhakikisha kuwa MAREHEMU anapata maziko yanayostahili
Baada ya Msiba wa Regia Mtema Delegation yote ya serikali (Rais, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na spika) picha zinajionesha
ilikimbilia msibani hii ilikuwa furusa nzuri serikali kujitakasa kwa wananchi ambao kwa sasa wana maisha magumu
Huu msiba umekuwa lulu kwa serikali kuepuka hasira za wananchi baada ya kuwalazimisha kulipa DENI la dowans bila kutaka kuanzania 15.1.2012.
Akiongea na wanahabari jana Spika wa Bunge Anna Makinda alisema Serikali (Ya CCM ) itaongoza mazishi ya Regia Mtema Mpaka Kilombero
:ballchain:
Katibu mwenezi wa Chadema JJ Mnyika naye akiongea na wanahabari alisema baada ya Regia Kuagwa kiselikali pale karimjee mwili utasafirishwa na chadema hadi kilombero
Sasa Hapa sijaelewa Kwanini wanagombania Maiti...??
baada ya msiba wa regia mtema delegation yote ya serikali (rais, waziri mkuu, makamu wa rais na spika) picha zinajionesha
ilikimbilia msibani hii ilikuwa furusa nzuri serikali kujitakasa kwa wananchi ambao kwa sasa wana maisha magumu
huu msiba umekuwa lulu kwa serikali kuepuka hasira za wananchi baada ya kuwalazimisha kulipa deni la dowans bila kutaka kuanzania 15.1.2012.
Akiongea na wanahabari jana spika wa bunge anna makinda alisema serikali (ya ccm ) itaongoza mazishi ya regia mtema mpaka kilombero
:ballchain:
Katibu mwenezi wa chadema jj mnyika naye akiongea na wanahabari alisema baada ya regia kuagwa kiselikali pale karimjee mwili utasafirishwa na chadema hadi kilombero
sasa hapa sijaelewa kwanini wanagombania maiti...??