CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

Kiki ama amejichafulia? Yes marehemu amedhalilika kwakua amekua na tamaa. Na liwe funzo kwa wanaume wote muliobaki. Vipi kwa huyo hawara aliyebaki hai bado? Amejidhalilisha kiasi gani. Hivi unajua yule mke mstaarabu sana? Angekuja kwetu tumfurahishe japo kidogo. Mnatetea ujinga mukiacha watoto wanaumia.

Tumeona kabisa mtoto ndiye aliyemwambia mama yake pale kuhusu shada lile alaliondoe. Imagine kitoto kidogo vile. Ina maana wako aware na huyo kahaba aliyokya akiyafanyia familia yao na hasa mama yao. Mimi ningempa shoo kali. Ngoja nimiliki kwanza bastola. Halag tumia akili mkuu. Unanitia hasira
Tena nasema yule aziza ni mstaarab sana nampa heko,yule magige angekutana na kichwa kilicho resi hata hilo shada asingeweka
Pumbavu zake kabisa,eti kisa mbunge!napata picha ndo ningekua mimi mbona show angeifurahia huyo mbunge
 
Kwani serkali hairuhusu kutengana?
Haitambui ndoa za mitaala?

Kama una Ndoa ya Kanisani,na hujatoa talaka,Serikali haitambui mitala maana kisheria Ndoa ya Kanisani ni Ndoa ya Mke mmoja tu. Toa talaka Mahakamani hapo Serikali ndiyo itatambua Ndoa yako ya pili ambayo ni wazi utaifunga Kiserikali,maana Kanisani hutoruhusiwa.
 
Kama una Ndoa ya Kanisani,na hujatoa talaka,Serikali haitambui mitala maana kisheria Ndoa ya Kanisani ni Ndoa ya Mke mmoja tu. Toa talaka Mahakamani hapo Serikali ndiyo itatambua Ndoa yako ya pili ambayo ni wazi utaifunga Kiserikali,maana Kanisani hutoruhusiwa.
Lkn serkali inajua kutengana au ?
 
Tena nasema yule aziza ni mstaarab sana nampa heko,yule magige angekutana na kichwa kilicho resi hata hilo shada asingeweka
Pumbavu zake kabisa,eti kisa mbunge!napata picha ndo ningekua mimi mbona show angeifurahia huyo mbunge
Nadhani hukuona clip nakuwekea chini, binti alikuwa mnyenyekevu sana! Hakutumia ubabe
 
Hahahahaa. Kama si wosia basi akaunti yake itanona .
Wanawake wanakutesa halafu wanasubiri ufe wafaidi.
Huyo aliyekutunza sheria kama hazimuelewi nitamuelewa mimi

Hapo sawa,lkn kumweka kwenye Wosia Kimada kwa minajili ya kuwakomoa Mke na Watoto utakuwa umemwingiza cha Kike kama Jack alivyoingizwa cha Kike na Mzee Machache japokuwa alikuwa Mke halali,akashindwa kuona kuna makosa kwa kutowaingiza Watoto wa Marehemu.
 
Kafiwa na hawarayake
Mbona km hili mnalifanya geni?

lawama hizi apewe marehemu kuwa na mke na hawara
Cat mtalaumu bure tu

So wewe hawara unaona ni sifa na ananguvu kuliko huyo mkewe!!! Hivi dunia inaelekea wp sasa!!
 
Watanzania mnapenda udaku sana . Aliyefariki ni rafiki yangu anaitwa kuzula Madoda pamoja na kusoma naye Ilboru namjua toka tukiwa Primary Arusha. Huyu hakuwa mchumba ni mke wake na walikuwa wanakaa pamoja. Aliachana na mke wake wa zamani na kumuoa huyu mbunge na walikuwa wana kaa pamoja Dodoma sasa kufariki utamkatazaje mtu kama huyu kumwaga mpendwa wake! . Kuzula hakuamisha mali maana alikuwa na watoto lakini hakuna sababu ya kufungiwa gate kwa huyu mbunge kwasababu na maamuzi ya Kuzula mwenyewe. Alikuwa mtu mzima hivyo wajue maamuzi ni ya kuzula kumuoa huyu mbunge sasa Watanzania wanapenda drama kama vile alikuwa mchepuko!
Tumwache marehemu apumzike mahali pema peponi

We mjinga mwengine eti alikua mke wake
 
Nadhani hukuona clip nakuwekea chini, binti alikuwa mnyenyekevu sana! Hakutumia ubabe
Ndo nasema mimi ningetumia ubabe yan ningemrukia magige hapohapo🤣🤣🤣
 
Cheti cha ndoa makaratasi ya kisheria tu hasa katika mirathi si katika kuzika

Msiba nj swala ka kifamilia zaidi,unalazimishaje kwenda kwenye Msiba ambao wenye msiba hawataki? Tuliona kina Mzee Mandela walizikwa kifamilia zaidi na watu Wachache,mbona watu baki hawakuvunja mageti kwenda kuzika?
 
Pamoja na yote kuna kitu kinaitwa hekima
Nimejiridhisha pasi na shaka mbunge huyu HEKIMA hana tena hana kabisa!
 
Back
Top Bottom