Kigawo Kikubwa cha Shirika (KKS), Kigawo Kidogo cha Shirika (KDS)Kwa tuliosoma zamani na tuliopenda namba (hesabu), twajaribu kutafuta uwiano kati ya kitendo cha CCM kuvua gamba, je walitumia HCF (Highest Common Factor) au LCD (Lowest Common Denominator) ? Samahani wana JF kiswahili chake sikijui, nimesoma zamani.
Nadhani hizi picha mbili zitatusaida kujibu hiki kitendawili, Kazi kwenu !
Tangu hawa watu wawili wanadiwe na kupewa Ubunge hata mwaka bado. Cha ajabu walionadiwa eti wanatoswa kwa kuhusishwa na ufisadi lakini aliyewanadi na kusimamia uchakachuaji wa kura anaenziwa kama shujaa na asiye na na doa - CCM ni killer poke ?
Asante Mkuu Mnyinusura, si unajua tena kisomo chetu cha miaka ileee ambapo wazito wa kuelewa waliketishwa karibu na Mwalimu huku vipanga wakilinda benchi za nyuma.Kigawo Kikubwa cha Shirika (KKS), Kigawo Kidogo cha Shirika (KDS)
Asante Mkuu Mnyinusura, si unajua tena kisomo chetu cha miaka ileee ambapo wazito wa kuelewa waliketishwa karibu na Mwalimu huku vipanga wakilinda benchi za nyuma.
Hata hivyo kwa hizo picha mbili una maoni gani ? Naona kama vile mkuu anakula kivulini marugaruga juani huku wazalendo pamoja na njaa yao makofi kama kawa.
Suluba zikizidi hata punda anaweza kusema. CCM wamejaribu kuwaonea CDM katika kila nyanja wakitumia vibaya vyombo vya dola kama Usalama wa Taifa, Polisi, Mahakama hadi Bungeni. Kama mbunge huyo alitamka hivyo ni kutokana na hasira za kugandamizwa kulikopindukia kwa haki na Chama cha wezi na Mafisadi CCM. CCM kwa kutumia vyombo vinavyogharimiwa na wananchi wote (Wakiwemo wana CDM pia) kuwanyanyasa, kuwajeruhi, kuwaua na hata kuwaibia, sentensi yake hiyo inawakilisha si hasira zake tu, bali za watanzania wote waliochoka kugandamizwa na wababe hawa wanaoamini kuwa ni miungu ya Tanzania. Siyo siri kwamba badio tuna uchungu wa ndugu zetu waliofanywa vilema na polisi washabiki wa CCM kule Arusha na na unyanyasaji wa wawakilishi wetu na hizo Mahakama zenu zilizogeuka wakala wa CCM tunasubiri "Kichaa" yeyote kutuhamasisha tuingie mitaani mtuue kabisa kama si kuukomesha udhalimu wenu.sio siri chadema ndio chama kikuu cha upinzani kwasasa lakini kimekuwa kina kashfa nyingi sana kama vile swala la udini,ingawa walijaribu kumuita kundini prof safari ili kufuta dhana ya udini lakini bado swala la udini halijafutika mioyoni mwa watu,pia liko swala la kupewa fedha na mataifa ya nje,liko swala la ukabila,pia liko swala la vurugu,mfano hai ni pale mbunge machachari Godbless Lema alipotamka live bungeni kuwa milango ifungwe watu wapigane!(mwananchi ya leo) hivi kweli mtu aliyepewa dhamana na wananchi anaweza kutamka maneno kama hayo katika chombo kikuu cha maamuzi nchini?? sasa je chadema kuvua gamba na kuwa na sura mpya katika macho ya watu?
Kabla ya kuwaambia CDM wajivue gamba tuhakikishie kama wewe hauna gamba.sio siri chadema ndio chama kikuu cha upinzani kwasasa lakini kimekuwa kina kashfa nyingi sana kama vile swala la udini,ingawa walijaribu kumuita kundini prof safari ili kufuta dhana ya udini lakini bado swala la udini halijafutika mioyoni mwa watu,pia liko swala la kupewa fedha na mataifa ya nje,liko swala la ukabila,pia liko swala la vurugu,mfano hai ni pale mbunge machachari Godbless Lema alipotamka live bungeni kuwa milango ifungwe watu wapigane!(mwananchi ya leo) hivi kweli mtu aliyepewa dhamana na wananchi anaweza kutamka maneno kama hayo katika chombo kikuu cha maamuzi nchini?? sasa je chadema kuvua gamba na kuwa na sura mpya katika macho ya watu?
Kwa tuliosoma zamani na tuliopenda namba (hesabu), twajaribu kutafuta uwiano kati ya kitendo cha CCM kuvua gamba, je walitumia HCF (Highest Common Factor) au LCD (Lowest Common Denominator) ? Samahani wana JF kiswahili chake sikijui, nimesoma zamani.
Nadhani hizi picha mbili zitatusaida kujibu hiki kitendawili, Kazi kwenu !
Tangu hawa watu wawili wanadiwe na kupewa Ubunge hata mwaka bado. Cha ajabu walionadiwa eti wanatoswa kwa kuhusishwa na ufisadi lakini aliyewanadi na kusimamia uchakachuaji wa kura anaenziwa kama shujaa na asiye na na doa - CCM ni killer poke ?
chadema ni mtoto wa nyoka wajua mtoto wa nyoka ni nani..
Wala msijidanganye chadema itatuokoa wabunge wake wenyewe wapo kwa ulaji tu wa nafasi zao sasa mnaona jinsi vichwani hakuna kitu bado mnawatetea. Eti tu pigane hii mpya kwa siasa za bongo
udini unaujua wewe, ukabila unaujua wewe, kupewa fedha unajua wewe, Lema kusema milango ifungwe uanjua wewe... Kingine?
Jinsi ulivyoandika unaonekana kabisha wewe ni mgeni humu jamvini na si ajabu hii ni post yako ya kwanza. Unajitahidi karibu nawe utakuwa expert wa jf. Ila jaribu kuwa mbunifu sio unjweka mada ambazo watu wamezoea kuzisikia tangu mwaka jana. Be a great thinker!"!