Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 246
Wewe unamatatizo, Tanzania kuna udini?watu wanaombana chumvi we unasema udini?CCM hawana jipya,nadhani hata wewe ni kada wao mana unajitaidi sana kuuficha ukwel kuhusu mustakabal wa taifa letu chini ya chama cha mafisadi!sio siri chadema ndio chama kikuu cha upinzani kwasasa lakini kimekuwa kina kashfa nyingi sana kama vile swala la udini,ingawa walijaribu kumuita kundini prof safari ili kufuta dhana ya udini lakini bado swala la udini halijafutika mioyoni mwa watu,pia liko swala la kupewa fedha na mataifa ya nje,liko swala la ukabila,pia liko swala la vurugu,mfano hai ni pale mbunge machachari Godbless Lema alipotamka live bungeni kuwa milango ifungwe watu wapigane!(mwananchi ya leo) hivi kweli mtu aliyepewa dhamana na wananchi anaweza kutamka maneno kama hayo katika chombo kikuu cha maamuzi nchini?? sasa je chadema kuvua gamba na kuwa na sura mpya katika macho ya watu?
hivi umejiunga lini tena JF?Think global, na usiongee issue usizozijua. Unaonekana ni old fassioned m2
sio siri chadema ndio chama kikuu cha upinzani kwasasa lakini kimekuwa kina kashfa nyingi sana kama vile swala la udini,ingawa walijaribu kumuita kundini prof safari ili kufuta dhana ya udini lakini bado swala la udini halijafutika mioyoni mwa watu,pia liko swala la kupewa fedha na mataifa ya nje,liko swala la ukabila,pia liko swala la vurugu,mfano hai ni pale mbunge machachari Godbless Lema alipotamka live bungeni kuwa milango ifungwe watu wapigane!(mwananchi ya leo) hivi kweli mtu aliyepewa dhamana na wananchi anaweza kutamka maneno kama hayo katika chombo kikuu cha maamuzi nchini?? sasa je chadema kuvua gamba na kuwa na sura mpya katika macho ya watu?

Kashaga umenifurahisha sana leo si kwa kazi nzuri uliyofanya bali siamini kama kuna watu kama ww na wanajiita great thinker...kwanza badala ujibu au utetee hoja unazoulizwa unaanza uliza muda wa aliyekuuliza inashangaza sana. Kuhusu post yako ni upupu mtupu.
Kwanza hilo gamba la CCM limevuliwa baada ya miaka zaidi na 40 ya upupu wao.
Pili hoja ya CDM na udini haina maana maana ni jana tu waislamu wametoa tamko kusifu kazi ya CDM na kuwaponda viongozi wa Bakwata kwa hoja za upupu kama yako.
Tatu hoja ya ukabila inashangaza sana maana viongozi hawa wa CDM kina Dr. Slaa, Zitto, Lissu, Mdee, Mnyika nk. na watanzania zaidi ya 40% waliopigia CDM kura ni kabila moja?
Suala la vurugu pia ni upupu maana mtu kudai haki yake kihalali sidhani kama ni vurugu. Ungekuwa waongelea vurugu kama za CCM kumwaga damu ZNZ, Mwembechai nk kwa ajili ya wizi wa kura hizo sasa ndo vurugu.
Jichunguze ujipange na ujikane mwenyewe kabla hujapita anga za CDM
Aiseee chali yangu yaani umeongea hoja mtori sana baba angu. Hivi uko wapi wewe? Nilipoona heading yako kikakurupuka kumbe ni kitu mavumbi namna hii bana, acha hizo aiseeee.sio siri chadema ndio chama kikuu cha upinzani kwasasa lakini kimekuwa kina kashfa nyingi sana kama vile swala la udini,ingawa walijaribu kumuita kundini prof safari ili kufuta dhana ya udini lakini bado swala la udini halijafutika mioyoni mwa watu,pia liko swala la kupewa fedha na mataifa ya nje,liko swala la ukabila,pia liko swala la vurugu,mfano hai ni pale mbunge machachari Godbless Lema alipotamka live bungeni kuwa milango ifungwe watu wapigane!(mwananchi ya leo) hivi kweli mtu aliyepewa dhamana na wananchi anaweza kutamka maneno kama hayo katika chombo kikuu cha maamuzi nchini?? sasa je chadema kuvua gamba na kuwa na sura mpya katika macho ya watu?
Basi baba umenisaidia,Kashaga umenifurahisha sana leo si kwa kazi nzuri uliyofanya bali siamini kama kuna watu kama ww na wanajiita great thinker...kwanza badala ujibu au utetee hoja unazoulizwa unaanza uliza muda wa aliyekuuliza inashangaza sana. Kuhusu post yako ni upupu mtupu.
Kwanza hilo gamba la CCM limevuliwa baada ya miaka zaidi na 40 ya upupu wao.
Pili hoja ya CDM na udini haina maana maana ni jana tu waislamu wametoa tamko kusifu kazi ya CDM na kuwaponda viongozi wa Bakwata kwa hoja za upupu kama yako.
Tatu hoja ya ukabila inashangaza sana maana viongozi hawa wa CDM kina Dr. Slaa, Zitto, Lissu, Mdee, Mnyika nk. na watanzania zaidi ya 40% waliopigia CDM kura ni kabila moja?
Suala la vurugu pia ni upupu maana mtu kudai haki yake kihalali sidhani kama ni vurugu. Ungekuwa waongelea vurugu kama za CCM kumwaga damu ZNZ, Mwembechai nk kwa ajili ya wizi wa kura hizo sasa ndo vurugu.
Jichunguze ujipange na ujikane mwenyewe kabla hujapita anga za CDM
sio siri chadema ndio chama kikuu cha upinzani kwasasa lakini kimekuwa kina kashfa nyingi sana kama vile swala la udini,ingawa walijaribu kumuita kundini prof safari ili kufuta dhana ya udini lakini bado swala la udini halijafutika mioyoni mwa watu,pia liko swala la kupewa fedha na mataifa ya nje,liko swala la ukabila,pia liko swala la vurugu,mfano hai ni pale mbunge machachari Godbless Lema alipotamka live bungeni kuwa milango ifungwe watu wapigane!(mwananchi ya leo) hivi kweli mtu aliyepewa dhamana na wananchi anaweza kutamka maneno kama hayo katika chombo kikuu cha maamuzi nchini?? sasa je chadema kuvua gamba na kuwa na sura mpya katika macho ya watu?
fool yourself
Bangi mbaya
sio siri chadema........ sasa je chadema kuvua gamba na kuwa na sura mpya katika macho ya watu?