kabla hauja post fikiria kuwa tunasoma watu wenye akiri zetu, kwani fujo ilianzishwa na nani bungeni? Au haukuangalia hata bunge umerukia tu,au unaleta masuala ya DARK MARKET HAPA NA WW tena sifuti kauri yangu. Kila siku kutengua kanuni tu asa waliziweka za nini?
na demokrasia ya kusikiliza ya mwenzio hata kama hupendi kusikia ndio itakayotufikisha katika mafanikio,CDM siasa sio vita wala chuki!hakuna haja ya matusi bali tujibu hoja kwa hoja
Walianza
CCM = Chama Cha Mapinduzi
CCM = Chukua Chako Mapema
CCM = Chama Cha Majambazi
CCM = Chama Cha Mafisadi
CCM = Chaka Chua Matokeo
And the latest CCM = Chama Cha Magamba
Tusubiri kabla ya 2015 watakuja na jina gani?!