miwani ya maisha
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,733
- 2,511
Hata R1 naye atafukuzwa ubunge?na mwenyekiti taifa atakuwa nani?NDOTO ZA ALINACHA HIZO..!!
Ccm hii ya Tanzania ilishafukuza fisadi medeye, mgeja ,sumaye ,lowasaCCM hi ya Tanzania au CCM nyingine? Yaani wamfukuze nanihii? Hahahaa au eti kabisa wamfukuze yule Jamaa? By the way, nani atamfukuza nani? Labda uniambie waamue kuondoka wote! Tunajua tumeamua kukaa kimya
Bahati mbaya ccm yetu imesau wengi sana kuliko hao kuna hawa jamaa wa escrow, pembe za ndovu,mabehewa feki,iptl,dowans na wengine wengi!!Ccm hii ya Tanzania ilishafukuza fisadi medeye, mgeja ,sumaye ,lowasa
Chama cha Mapinduzi kimedhamiria kujisafisha kwa kutimua mafisadi wote chamani kuanzia mwezi Juni mwaka huu. Nyaraka za ndani ya chama zinaonesha kuwa mwezi Juni ni mwezi unaotazamiwa kuwa mwezi wa 'mabadiliko makubwa chamani'. Rais Magufuli anatazamiwa kukabidhiwa Uenyekiti wa CCM mwezi huo wa Juni.
Nyaraka za kimaandalizi zinaonesha kuwa CCM imepania kujisafisha kwa kuwatimua mafisadi wote chamani ili kuendana na dhamira ya Rais na Mwenyekiti mtarajiwa wa CCM, Rais Magufuli, katika vita dhidi ya ufisadi. Nyaraka nzitonzito zinaendelea kuandaliwa na kuwabaini wanaofaa kutimuliwa chamani.
CCM inataka kuwa na sura mpya. CCM inataka kuwa mpya. Nyaraka za kichama zinaonesha kuwa huo utakuwa ni muendelezo wa Operesheni ya Kujivua Gamba, ambayo sasa itaitwa Operesheni ya Kutumbua Majipu,iliyoasisiwa wakati Mukama akiwa Katibu Mkuu wa CCM.
Safishasafisha hiyo ya kichama, kama ikifanyika kweli, itawakumba Wabunge na vigogo mbalimbali chamani ambao kwa miaka nenda rudi wamekuwa wakisemwa kuwa ni mafisadi. CCM isirudi nyuma. Ifanye kweli. Isije ikawa kama vile ambapo 'Gamba liliishia kiunoni'. Ukifika muda wa kutaja na kutoa ushahidi wa ufisadi, nitafutwe!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mkuu ebu funguka ulimaanisha nani?Weeeeee, kuna wwatu hawafukuziki wewee, labda waamue kusepa wenyewe baada ya kujiridhisha, sasa kama hujui ngoja nikupe mfano, mwambie Jpm amfute uanachama huyu nani hii huyu, eti nan tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! umeona ilivyo haiwezekani ee!!!!!!!!!!!!!!!
Chama cha Mapinduzi kimedhamiria kujisafisha kwa kutimua mafisadi wote chamani kuanzia mwezi Juni mwaka huu. Nyaraka za ndani ya chama zinaonesha kuwa mwezi Juni ni mwezi unaotazamiwa kuwa mwezi wa 'mabadiliko makubwa chamani'. Rais Magufuli anatazamiwa kukabidhiwa Uenyekiti wa CCM mwezi huo wa Juni.
Nyaraka za kimaandalizi zinaonesha kuwa CCM imepania kujisafisha kwa kuwatimua mafisadi wote chamani ili kuendana na dhamira ya Rais na Mwenyekiti mtarajiwa wa CCM, Rais Magufuli, katika vita dhidi ya ufisadi. Nyaraka nzitonzito zinaendelea kuandaliwa na kuwabaini wanaofaa kutimuliwa chamani.
CCM inataka kuwa na sura mpya. CCM inataka kuwa mpya. Nyaraka za kichama zinaonesha kuwa huo utakuwa ni muendelezo wa Operesheni ya Kujivua Gamba, ambayo sasa itaitwa Operesheni ya Kutumbua Majipu,iliyoasisiwa wakati Mukama akiwa Katibu Mkuu wa CCM.
Safishasafisha hiyo ya kichama, kama ikifanyika kweli, itawakumba Wabunge na vigogo mbalimbali chamani ambao kwa miaka nenda rudi wamekuwa wakisemwa kuwa ni mafisadi. CCM isirudi nyuma. Ifanye kweli. Isije ikawa kama vile ambapo 'Gamba liliishia kiunoni'. Ukifika muda wa kutaja na kutoa ushahidi wa ufisadi, nitafutwe!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
wamfukuze na JK,
Kama Mwenyekiti wa sasa atakuwepo katika list basi nitachukua kadi ya CCM.
hivi kuna mtu leo hii anaweza kuuonesha ufisadi wa Kikwete? hivi kweli kwa jinsi kubenea anavyomchukia si kila siku angekuwa front page? kuchafuliwa kwa Kikwete sio kwa sababu ni fisadi bali ni uhasama wa kisiasa na wanamtandao wenzake akina low-hasa, rosti-tamu na wengineo. ndo maana leo hii pamoja na kumchafua miaka yote hiyo huwezi kuonesha huo ufisadi wake wakati wa maswahiba zake walijichukulia hata ranchi za taifa, kuua viwanda kama vya general tire, maziwa na vinginevyo.Hili kamwe halitatokea.
Yaani CCM imfukuze mwenyekiti wake was sasa!!!
Never
CCM hi ya Tanzania au CCM nyingine? Yaani wamfukuze nanihii? Hahahaa au eti kabisa wamfukuze yule Jamaa? By the way, nani atamfukuza nani? Labda uniambie waamue kuondoka wote! Tunajua tumeamua kukaa kimya
Wote hao mwezi Wa sita watafukuzwa jiandaeni kuwapokea huko chadema maana ndio dampo la ccm.Bahati mbaya ccm yetu imesau wengi sana kuliko hao kuna hawa jamaa wa escrow, pembe za ndovu,mabehewa feki,iptl,dowans na wengine wengi!!
Wote hao mwezi Wa sita watafukuzwa jiandaeni kuwapokea huko chadema maana ndio dampo la ccm.
Wezi ,vibaka ,mafisadi wanafiki siku hizi wakifukuzwa ccm kimbilio lao ni chadema
Dampo la ccm ni chademaTunataka iwafukuze wote
Jakay M Kikwenga,Maghufuli,Kinana,Chenge,Muhongo,Tibaijuka,Mkapa,Ridhwani
So far CCM haijawahi kufukuza mafisadi....ni chama na chuo cha Mafisadi
kuwatosa wala rushwa na mafisadi toka nafasi ya uongozi na hata chama inawezekana chini ya uongozi wa magufuli.wala rushwa na mafisadi wanajua pa kwenda. chadema inawapokea na kuwaosha kama wakitoa hela.CCM hi ya Tanzania au CCM nyingine? Yaani wamfukuze nanihii? Hahahaa au eti kabisa wamfukuze yule Jamaa? By the way, nani atamfukuza nani? Labda uniambie waamue kuondoka wote! Tunajua tumeamua kukaa kimya
Dampo la ccm ni chadema
kuwatosa wala rushwa na mafisadi toka nafasi ya uongozi na hata chama imawezekana chini ya uongozi wa magufuli.wala rushwa na mafidadi wanajua pa kwenda. chadema inawapokea na kuwaosha kama wakitoa hela.
Yan huu usanii wa ccm ni kama wa bongofleva, unahit leo naIna maana na wale mawaziri wezi atawafanyaje?? CCM bana kwa usanii mnatisha
Mkuu ebu funguka ulimaanisha nani?
Ccm ni ndumilakuwili haoTumia akili, kutopitishwa na kuondolewa no vitu viwili tofauti. Chuki zenu za nini kwa ntu aliyeondoka kwenu? Kaondoka hajawatusi hata tusi moja lakini nyie mmekomaa nae kama luba kwa nini?
Umesomeka mkuu nafikiri mlrta uzi inabidi arudi tena awaulize kama wanataka kulivunja baraza la mawaziriYan huu usanii wa ccm ni kama wa bongofleva, unahit leo na
M
Mkuu ukichunguza kwenye mbuga zetu utabaini muuzaji mkuu wa wanyama wetu ambaye ndo alikuna mstari wa mbele kwenye kampeni za JPM NA NIKIONGOZI FLANI WA NGAZI FLANI NYEETI SANA HUKO ccm, huyo ni mmoja kati ya milioni moja ambao si rato, bali sururu, sasa kuwangoa ndo shughuli pevu maana dili walizokua wakipiga hawakua wenyewe, labda ccm wajifukuze takriban woote then waanze upya.