CCM kujisafisha Juni 2016, mafisadi kutimuliwa

CCM kujisafisha Juni 2016, mafisadi kutimuliwa

Acha uongo nani alimuondoa Lowasa? Yeye aliondoka mwenyewe ndio maana vikao vilikuwa vinakaa usiku mzima kumjadili wapambane nae vipi!
Kweli alipitishwa na CCM ndo akajiondoa kwenda kununua CHADEMA. Mnajua wengine mmekaa ili kutetea huyu muovu mkuu.
 
Kweli alipitishwa na CCM ndo akajiondoa kwenda kununua CHADEMA. Mnajua wengine mmekaa ili kutetea huyu muovu mkuu.
Tumia akili, kutopitishwa na kuondolewa no vitu viwili tofauti. Chuki zenu za nini kwa ntu aliyeondoka kwenu? Kaondoka hajawatusi hata tusi moja lakini nyie mmekomaa nae kama luba kwa nini?
 
Tumia akili, kutopitishwa na kuondolewa no vitu viwili tofauti. Chuki zenu za nini kwa ntu aliyeondoka kwenu? Kaondoka hajawatusi hata tusi moja lakini nyie mmekomaa nae kama luba kwa nini?

Kwani mbona ndugu yangu ninyi mnajadili ya upande mwingine. Au ndo kusema hamna mapungufu????

Lowassa kila mtu anajua udhaifu wake ndo maana amekuwa kimya. Anajijua usanii aliokuwa anatumia zaidi ya waliompokea. Ila kwa sasa, amesababisha wengi kujificha. Wamebaki wa kwenye mtandao wachache kama ninyi.

Na ujue hakuna siku watu wanaoelewa watatulia juu ya kitu alichofanya Mbowe kuuza chama. Kwa hiyo mjadala huu utakuwa endelevu.
 
Acheni roho mbaya,mmeamua kukiua chama cha mapinduzi! Hawa kina MARIO waliojazana kwenye ofisi za kata wataishije?
 
Ccm ni ile ile kuna watu hawataki kuamin
Kwani juni mbali
Tusubiri
 
CCM wajanja sana, ukitafakar kwa makini walichomfanyia lowaxa, hakika walimfukuza, kwan wahenga hunena 'AKUFUKUZAE, HAKWAMBII TOKA, BALI UTAONA ISHARA NA VITENDO' hv unawezaje kukata jina la mgombea ambaye anaungwa mkono na zaiidi ya nusu ya wanachama?, hv huku c kumfukuza mtu?
 
Chama cha Mapinduzi kimedhamiria kujisafisha kwa kutimua mafisadi wote chamani kuanzia mwezi Juni mwaka huu. Nyaraka za ndani ya chama zinaonesha kuwa mwezi Juni ni mwezi unaotazamiwa kuwa mwezi wa 'mabadiliko makubwa chamani'. Rais Magufuli anatazamiwa kukabidhiwa Uenyekiti wa CCM mwezi huo wa Juni.

Nyaraka za kimaandalizi zinaonesha kuwa CCM imepania kujisafisha kwa kuwatimua mafisadi wote chamani ili kuendana na dhamira ya Rais na Mwenyekiti mtarajiwa wa CCM, Rais Magufuli, katika vita dhidi ya ufisadi. Nyaraka nzitonzito zinaendelea kuandaliwa na kuwabaini wanaofaa kutimuliwa chamani.

CCM inataka kuwa na sura mpya. CCM inataka kuwa mpya. Nyaraka za kichama zinaonesha kuwa huo utakuwa ni muendelezo wa Operesheni ya Kujivua Gamba, ambayo sasa itaitwa Operesheni ya Kutumbua Majipu,iliyoasisiwa wakati Mukama akiwa Katibu Mkuu wa CCM.

Safishasafisha hiyo ya kichama, kama ikifanyika kweli, itawakumba Wabunge na vigogo mbalimbali chamani ambao kwa miaka nenda rudi wamekuwa wakisemwa kuwa ni mafisadi. CCM isirudi nyuma. Ifanye kweli. Isije ikawa kama vile ambapo 'Gamba liliishia kiunoni'. Ukifika muda wa kutaja na kutoa ushahidi wa ufisadi, nitafutwe!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Kwahiyo baraza la mawaziri litavunjwa? Maana wamejaa humo
 
Nikitazama kwa mbali wapo wengi na hii itasaidia sana vijana wasomi kushika nafasi.
Weeeeee, kuna wwatu hawafukuziki wewee, labda waamue kusepa wenyewe baada ya kujiridhisha, sasa kama hujui ngoja nikupe mfano, mwambie Jpm amfute uanachama huyu nani hii huyu, eti nan tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! umeona ilivyo haiwezekani ee!!!!!!!!!!!!!!!
 
Usitupotoshe,alijiondoa CCM hakuna aliyekuwa na ubavu wa kumfukuza Lowassa.
kweli we shujaa, wasianze na visingizio eti walimfukuza mzee wetu Lowassa. Wakome tena Washindwe na walegee kwa jina la Jamhuri ya muungano feki wa Tanzagiza
 
Unajitahidi, vijana wenzako wengi maisha yamewapiga.
 
Weeeeee, kuna wwatu hawafukuziki wewee, labda waamue kusepa wenyewe baada ya kujiridhisha, sasa kama hujui ngoja nikupe mfano, mwambie Jpm amfute uanachama huyu nani hii huyu, eti nan tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! umeona ilivyo haiwezekani ee!!!!!!!!!!!!!!!
Sio kazi yake kufuta. Kila mwenye akili timamu anatambua amefukuzwa au hajafukuzwa. Uliza Lowassa alipojitambua alifanya nini.
 
Back
Top Bottom