CCM kujisafisha Juni 2016, mafisadi kutimuliwa

CCM kujisafisha Juni 2016, mafisadi kutimuliwa

Sioni mtu wa kumtimua Joka la makengeza,sioni mtu wa kumfukuza Mama fedha za Mboga sioni kwanza atatokea wapi ataanzia wapi na kumalizia wapi ?.
 
Kutokana na hali itakavyokua wataachia madaraka sio kuhama au kufukuzwa watabaki wanachama wa kawaida.na vijana watashika chama na kukibadirisha.napita
 
Anajidanganya Mwenyewe mwache afurahishe nafsi yake
 
Last edited by a moderator:
Sioni mtu wa kumtimua Joka la makengeza,sioni mtu wa kumfukuza Mama fedha za Mboga sioni kwanza atatokea wapi ataanzia wapi na kumalizia wapi ?.

Hata mtoto wa Mfalme hawezi kuguswa
 
Nape kila siku analalamika lowasa fisadi lakini walishindwa kumfukuza , watamweza joka la makengeza na mama pesa ya mboga??

Jinsi ambavyo hawataweza kufurukuta hata vuvuzela ataishia kumnanga Lowassa sababu ndiyo Mnyonge wake lakini athubutu kumtaja Chenge lazima arudi kwao akatambikie.

Pili yake hao wanaotuhumiwa kuwa mafisadi Mtumbua Majipu alienda akawapigia chapuo ati ndiyo watakuwa miavuli yake?Sasa atawezaje kutumbu miavuli yake???
 
Sitegemei kuiona ccm inawafukuza mafisadi kwanza wataanzia wap yan mbunge fisad karudishiwa ubunge then baada ya miez 6 afukuzwe Inamana uchaguz siutarudiwa? Kwann wasiwatoe Kipindi cha kura za maoni?
 
Hii naona imekaa vizuri lakini itakuwa vizuri zaidi kama wakiwafukuza na kuwakamata mafisadi wote kuanzia Mkapa, Mwinyi, Kikwete, Mzee wa Majungu Makamba. Inabidi wawakamate hawa watu na kuwafunga pamoja na bakora si chini ya 50 kila mmoja.
 
Kuna swali zuri linaulizwa nani atamfukuza nani, naona hakuna majibu.
 
CHADEMA ijiandae kuwapokea na kuwasafisha
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unatumia nguvu nyingi sehemu isiyo maana.

Tupe mapointi usipoteze muda na viziwi wa machoni.
 
Last edited by a moderator:
Kama kawaida CHADEMA wakae mkao wa kula. Wanachama wanakuja.

Tunatarajia wasafishwe mapema.

Mwambie Kubenea aandae maada za kuwapamba mashujaa wa ufisadi.
 
Last edited by a moderator:
...itakua jambo jema wakifanya hivyo....na watakapoanza basi waanze na Mkapa aliyejimilikisha mgodi wa kiwira wakati wa utawala wake...pia wasirudi nyuma washughulikie wale wezi wa escrow waliobeba pesa za mkombozi bank....na wale waliobeba pesa stanbic bank kwa sandarusi pia wajulikane na wafukuzwe...hata mawaziri waliotuhumiwa kwa escrow nao washughulikiwe kama ilivyokuwa kwa kina Mramba na Yona...

...ccm wakifanya mambo yao ya kupambana na wezi wa mali za umma wasibaguane......maana wanapofanya hivyo umma unajua kuwa ni fitna tu na magumashi...kwamba wengine wanapigwa wakati wengine wanakumbatiwa...hii ndio shida ya ccm.....
 
Kazi ya chama ni kuwafukuza. Hausiani na akina Mramba. Kitakachofanyika ni kuwaengua katika nafasi zao kama walivyomuondoa Lowassa kwamba hafai kuwa kiongozi.
 
LOWASSA ALIKATWA SABABU YA UFISADI. NDIO AKAKIMBILIA CDM. HAMJUI HILO? MTACHEKWA!!
 
CCM hi ya Tanzania au CCM nyingine? Yaani wamfukuze nanihii? Hahahaa au eti kabisa wamfukuze yule Jamaa? By the way, nani atamfukuza nani? Labda uniambie waamue kuondoka wote! Tunajua tumeamua kukaa kimya
Wasipoangalia watafukuzana wote na kubaki Mzee Pombe na Tupatupa. Hata mzee salama yake wasiguse mafaili ya ile wizara ya makatapila maana za chini ya kapeti zinasema naye alikuwa katika mshiko sio mchovu kabisa.
Dawa ni hicho chama kife tuu na kufufuliwa upya na wengine
 
Kazi ya chama ni kuwafukuza. Hausiani na akina Mramba. Kitakachofanyika ni kuwaengua katika nafasi zao kama walivyomuondoa Lowassa kwamba hafai kuwa kiongozi.
Acha uongo nani alimuondoa Lowasa? Yeye aliondoka mwenyewe ndio maana vikao vilikuwa vinakaa usiku mzima kumjadili wapambane nae vipi!
 
Back
Top Bottom