CCM kujisafisha Juni 2016, mafisadi kutimuliwa

CCM kujisafisha Juni 2016, mafisadi kutimuliwa

M
Uchaguzi CCM ni 2017 acha kudanganya watu. Na isitoshe chama ni cha wote waliokubali kwa hiari yao kuwa wanachama, sera ya kufukuza kwa hisia au tuhuma zisizothibitishwa inatoka wapi?
mkuu fafanua hapo kwenye uchaguzi mwakani 2017 ina maana unatabiri kitu au kuna nini hapo? Fafanua vizuri
 
Lo
kuna watu wengine wanaongelea ushabiki humu kweli lowassa nani mwenye mabavu ya kumfukuza jamani????
lowasa hana kosa wala si Fisadi kwani Mmiliki wa Richmond ni Kikwete ukitaka kumfukuza lowasa lazima uanze na Jk kwanza.
 
N

Najua mna machngu ila kumbukeni si kila msemalo lazma litimie maana humu duniani hamuishi wenyewe. mmesema wenyewe ngoja tusubiri maana Juni si mbali kivile
We unasubiri juni kwa sababu ya udaku wenu au kwa kupata taarifa za chama? Mbona vijana wa siku hizi mnapotoka?
 
Naona mkuu umesahau kauli ya mtoto wa mkulima a.k.a mkulima wa nyuki kuwa mafisadi wakiendewa ovyo nchi itatikisika!

Yule mla nyuki alikuwa hajuwi nini akisemacho, yeye bado anaishi karne ya 19 kwa kujidanganya Tanzania ni nchi masikini na watanzania ni wajinga....hakuna mtanzania asiyejuwa kuwa mafisadi wote ni marais waliopita na mawaziri wao.....lazima sharia ipitishwe ya kuwafungulia mahakama ya ufisadi hawa watu ili raia tuwapige mawe na bunduki hadharani kwa wizi wao.
 
Safi sana...Rafiki zangu kina Lizaboni wakae chonjo...Tunataka CCM iwafukuze mafisadi wote

Jakay M Kikwenga,Maghufuli,Kinana,Chenge,Muhongo,Tibaijuka,Mkapa,Ridhwani, na wengine wote
Majina mengine yanawarusha roho eeh mmeyakomalia kana kama na nyie muwasafi.
 
Safi sana...Rafiki zangu kina Lizaboni wakae chonjo...Tunataka CCM iwafukuze mafisadi wote

Jakay M Kikwenga,Maghufuli,Kinana,Chenge,Muhongo,Tibaijuka,Mkapa,Ridhwani, na wengine wote
 
Attachments

  • 1452967868165.jpg
    1452967868165.jpg
    19.3 KB · Views: 22
Fisadi wa kwanza kutimuliwa awe yule aliyekuwa waziri wa ujenzi kwa kulisababishia hasara taifa kwa upotevu wa Tsh. Billion 262, na Rais ameshindwa kufuatilia Wizara ya Ujenzi na miundombinu yeye na TRA na Bandari anaogopa kujitumbua jipu lake.
 
hizi mbwembwe nadhani tulishazisikia tena mwaka 2011, au nimekosea? rostam akaondoka mwenyewe tena kwa hiyari yake,lowassa akabaki hadi 2015 akaondoka kwa hiyari yake pia, so kumtimua mtu sijui kama inawezekana kwa vitendo

Subiri mahakama ya mafisadi ianze kazi, watachujana huko na kazi ya chama itakuwa rahisi.
 
Fisadi wa kwanza kutimuliwa awe yule aliyekuwa waziri wa ujenzi kwa kulisababishia hasara taifa kwa upotevu wa Tsh. Billion 262, na Rais ameshindwa kufuatilia Wizara ya Ujenzi na miundombinu yeye na TRA na Bandari anaogopa kujitumbua jipu lake.

Umechoka nenda kalale
 
Back
Top Bottom