CCM kujisafisha Juni 2016, mafisadi kutimuliwa

CCM kujisafisha Juni 2016, mafisadi kutimuliwa

Hahhaahhaaaa Samahani Mjomba, usinielewe vibaya ila nadhani utakua na tatizo kidooogo mahali, Lowasa hakuwahi kufukuzwa CCM, Lowasa alikatwa jina lake kwenye kugombea Urais sawa sawa na Membe, Jaji Ramadhani na wengine, je hawa nao wamefukuzwa CCM kwakua walikatwa majina yao?

Lowasa akaamua kuondoka na kujiunga Chadema ili awe mgombea kwa bendera ya UKAWA, Mjomba hicho ndicho kilichotokea na sio hicho ulichokiandika. kwahio Sumaye, Kingunge na wengine nao utasema walifukuzwa CCM? Ndio maana nakuomba ukubaliane na mimi kuwa inaonekana Mjomba uelewa wako ni mdogo sana na huenda unaongea mambo usiyoyajua, yaani unaongozwa na ushabiki zaii, hapana hapa si mahala pake.
Hivi kingunge alivuliwa uanachama au alihama chama kwa hiari na kwenda upinzani?
 
We unasubiri juni kwa sababu ya udaku wenu au kwa kupata taarifa za chama? Mbona vijana wa siku hizi mnapotoka?
Eti vijana wa leo??? kwani we mzee wa jana umenyoosha nini???? ccm ni ileile na wala hatutegemei chochote kipya ndani yake zaidi ya ubabe na uongozi usiofuata misingi ya sheria.
 
kama uliwadhurumu watanzania yote hayo hayana maana
 
Eti vijana wa leo??? kwani we mzee wa jana umenyoosha nini???? ccm ni ileile na wala hatutegemei chochote kipya ndani yake zaidi ya ubabe na uongozi usiofuata misingi ya sheria.
we subiri muda wako ili ubadilike. Maana wengine akili zimeduma kwa sababu ya siasa.
 
Chama cha Mapinduzi kimedhamiria kujisafisha kwa kutimua mafisadi wote chamani kuanzia mwezi

Safishasafisha hiyo ya kichama, kama ikifanyika kweli, itawakumba Wabunge na vigogo mbalimbali chamani ambao kwa miaka nenda rudi wamekuwa wakisemwa kuwa ni mafisadi. CCM isirudi nyuma. Ifanye kweli. Isije ikawa kama vile ambapo 'Gamba liliishia kiunoni'. Ukifika muda wa kutaja na kutoa ushahidi wa ufisadi, nitafutwe!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Una idefine vipi dhana ya "FISADI"? Fisadi ni yupi?
 
we subiri muda wako ili ubadilike. Maana wengine akili zimeduma kwa sababu ya siasa.

Hakika muda wangu ndo huu, utakaofuata utakua wa wanangu, akili yangi haijadumaa labda yenu iliyodumazwa na kile chama. Naona mengi na mengi yananchangamsha na hakuna chakunidumaza.
 
Back
Top Bottom