CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

Hahahahahahaha lol! hahahahahahah zumbemkuu na saudari njooni mcheke huku....hahahahahahah lol! leo wamenyimwa buku 7 wanatokwa povu kweli kweli hata wanachoongea hakiingii akilini hahahahahahah lol!


Leo Chadema wataiona Arusha kama motoni watu wamechoka kuwa mateka wa Lema.
 
Last edited by a moderator:

maskini JULIANA WEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE UNAJUTA KUHAMA CHADEMA SASA AIBU INAKUANGAKIA WEWE NA FAMILIA YAKO SIJUI UAJIFICHA CHINI YA MTI OH JULLY
ANYWAY BWANA AMETOA CHADEMA WAMECHUKUA BADO UNAKARIBISHWA KURUDI AIJALISHI UMETUMIWA NA NANI HUKO
 
alioteshwa hivyo,bahati mbaya mganga wake ni lukuvi.

kwetu mganga ni hawara tusaidi
hawara yake ama??loh buriani julliana si unyamaze tu kwenye chaguzi kama hizi unaiabisha famili sasa jamani
 
shonza aliniahidi kuwa arusha ikishinda ananipa......., sasa ajitokeze aniachie changu mie

ogopa ukimwi mkuu unajua alihamishiwa ccm na nani loh..nenda pale sinza africasana yakikuzidi kama unashida na bei nikupatie kwa mwaka wa fedha 2013
 
kumbe tume ya uchaguzi inaweza kufanya chaguzi za haki,kumbe polisi wanaweza kutekeleza wajibu wao bila ya kuipendelea ccm,july pole sana watanzania wa leo sio wa enzi hizo,propaganda aina tena nafasi
 
maskini JULIANA WEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE UNAJUTA KUHAMA CHADEMA SASA AIBU INAKUANGAKIA WEWE NA FAMILIA YAKO SIJUI UAJIFICHA CHINI YA MTI OH JULLY
ANYWAY BWANA AMETOA CHADEMA WAMECHUKUA BADO UNAKARIBISHWA KURUDI AIJALISHI UMETUMIWA NA NANI HUKO
Juliana ananikumbusha mashati ya juliana....


na asipoangalua, ataishia kuvaa juliana ndani ya ccm
 

Haya tupatie updates mama, maana naona umekua kisiasa kiasi kwamba unaweza kuzungumzia siasa a ARUSHA!! Najua unaganga dada na wewe upate chochote kitu, lakini bahati mbaya sana umeingia CCM wakati ndiyo inaaga dunia, ungeingia miaka ya tisini kweli sasa hivi ungeshasonga sana, bahati mbaya una mwaka mmoja tu na hautakuwa na matumizi tena, utakuwa used kila kitu...namaanisha utakuwa umeshatumika hasaa, maana hawa jamaa wanajua kutumia..baada ya hapo utaachwa solember huku chama kikiteketea wanajikita kwenye kujibinafsishia mali a chama wewe hauna chako, MUULIzE MEE MALICELA!
 
Unajisikiaje utabiri wako unapogeuka UWONGO...???
 
Kaimbe na walanguzi wa madawa na majangili huko na manguo yenu ya kijani....Arusha HATUDANGANYIKI!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
It hurts even more that UDSM today has products of Julianas caliber. A disgrace to our esteemed learning Institution.

Umeuaaaaaaaaa!
Hizi shahada ambazo tulikuwa tunaita ni za 'nguo za ndani' zinawakilishwa na watu kama huyu mleta thread.
 
Haya sasa!?
Nayahifadhi maneno ambayo unastahili kuambiwa, hapa itakuwa si busara.
 
Juliana, hebu rudi tena hapa utueleze hizo ndoto zako za mchana!!!! Hongera kwa CCM kushinda Arusha.

Tiba
 

Unanikumbusha haka kawimbo....

Juulieeee...eeee...nikupe nini uridhike,
Julie....Chakukupa siinaa, julie...unihurumiieee...mamaaaaa x2
Ufukara nilionaooeee mamaaaaa...
Ufukara umekuwa kashfa kwa mapenzi yaanguu...kwaakoo kwaakoo eeee...

 

Hakika tumeona namna CCM ilivyoibuka kidedea.
 

Dada habari za asubuhi? Naomba unijibu salam hii ili kuondoa mashaka kuwa hujapoteza uhai kwa pressure. Hii ndo arusha! Peoplesssssssssssssssssssssssssssss! Malizia tafadhali.
 
Unajisikiaje utabiri wako unapogeuka UWONGO...???

Kumbe hii kitu Ngalikihinja inaambukiza kama kale kaugonjwa.
Uchaguzi wa Arumeru Mwigulu Nchemba alitabiri na kujinasibu humu jukwaani kuwa
kuwa "CDM Kuishinda CCM ni sawa na Meru United kuifunga F.C.Barcelona".
Sasa wame-prove kuwa they are all poor and fake prophets
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…