CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

Duh ndugu zangu mshaanza kuporomosha matusi tayali.kuweni wavumilivu kipindi hiki japo najua kitaenda kuwa kigumu sana kwenu.

Kuna uzi unaletwa humu muda si mrefu kwa ajili ya malalamiko,si unajua tena hawa jamaa ni watu wa kutafuta kinga mapema,na leo wamedhibitiwa hawataweza kulipua mabomu yao ili uchaguzi uhairishwe tena.
 
ni kwamba umekimbilia kuandika ili ukamilishe hesabu ya buku 7 au ndio upeo wako ulikofikia? Maana umeandika madudu tu hapo. Ndio maana watoto wetu wanafeli.

Kama wewe ulivyokimbilia kujibu ili ukamilishe hesabu ya buku 5 leo!
 
uyole 12; Hata mimi nimeshindwa kuelewa, labda vyuo vya Tanzania vinatoa mafunzo tofauti kuhusu maana ya 'BREAKING NEWS', 'HARD NEWS' na 'OPINION' kinyume na inavyoeleweka kwa ulimwengu mzima!
 
Last edited by a moderator:
Poor Shonza , endeleeni kutupa updates za Arusha , huyu demu lengo lake kututoa kwenye mstari .
 
usikute kuna njia nyingine inayotumika kuhitimu UDSM.?
 
Leo Chadema wataiona Arusha kama motoni watu wamechoka kuwa mateka wa Lema.
 
Duh ndugu zangu mshaanza kuporomosha matusi tayali.kuweni wavumilivu kipindi hiki japo najua kitaenda kuwa kigumu sana kwenu.

Hawa mamluki wa CDM wana kazi saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana,pia njaa ndio chanzo cha yote haya
 
Duh ndugu zangu mshaanza kuporomosha matusi tayali.kuweni wavumilivu kipindi hiki japo najua kitaenda kuwa kigumu sana kwenu.
Acha kuzalikisha degree yako ya sociology mtu unadegree unasindwa kujua nini maana ya breaking News
 
Naomba tuwasiliane Saa kumi na moja tupeane mahesabu maana "jioni maesabu"
 
Ha ha haa! vijana wa ccm hawa wanaotarajiwa kuwa viongozi wa nchi hii,halafu tunajiuliza kwa nini sisi ni masikini!!!!?..
 
pole sana binti minilijua matokeo yameanza kutolewa baadhi ya maeneo kumbe ni redio yako ndo imetoa hiyo breaking newz
katafute bwana uolewe .............
 
Back
Top Bottom