CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

Ndugu wana jamvi,hatimaye siku na saa watanzania tulikuwa tunasubili kwa hamu ili kuweza kujua nani ataibuka kidedea katika kata nne zinazofanya uchaguzi leo jijini Arusha kwa maana ya kata ya Erelai, Kimandolu, Themi na Kaloleni.

Wana jamvi waswahili wanasema dalili ya mvua ni mawingu ,na hofu ni ishara ya woga wa kushindwa,ni wazi chadema wameingiwa na hofu kubwa baada yakuona kuna uwezekano mkubwa wakupoteza kata nne za jiji la Arusha mkoa ambao wamekuwa wakijinasibu kuwa ndiko kiliko kitovu cha chadema.

Hofu hiyo inatokana na kugundua kwamba wananchi wa Arusha wamechoka kuona mkoa wao ukigeuzwa kuwa uwanja wa mapambano na umwagaji damu kwa ajili ya maslahi ya watu wachache.

Hivyo basi ni wazi sasa chadema wamejichimbia kabuli wenyewe kwakutokujali misingi ya utawala bora inayosema kiongozi ni mali ya wananchi ila mwanachama ni mali ya chama wao wakakiuka misingi hiyo na kuamua kufukuza madiwani wao kwa maslahi ya watu wachache.

Ni wazi sasa CCM inaenda kuibuka kidedea na kushinda kwa kishindo katika kata zote nne kwa namna ilivyojipambanua kwa sera zake kipindi cha kampeni na wananchi hasa vijana kuanza kuelewa tofauti iliyopo kati ya chama maslahi jamii(CCM)na chama maslahi binafsi(chadema)

Viva ccm,umoja ni ushindi.

Unakoelekea wewe sio kwema kabisa, na unavyopenda kusikika wewe...!! sijui saivi utakuja na mpya gani..., kama hujabadili jinsia mwaka huu.. sijui..
 
hivi kumbe kulaå zimeishapigwa na kuhesabiwa na ccm kutangazwa kuwa ni washindi haina maana ya kuanda uchaguzi by jamariki
 
Ndugu wana jamvi,hatimaye siku na saa watanzania tulikuwa tunasubili kwa hamu ili kuweza kujua nani ataibuka kidedea katika kata nne zinazofanya uchaguzi leo jijini Arusha kwa maana ya kata ya Erelai, Kimandolu, Themi na Kaloleni.

Wana jamvi waswahili wanasema dalili ya mvua ni mawingu ,na hofu ni ishara ya woga wa kushindwa,ni wazi chadema wameingiwa na hofu kubwa baada yakuona kuna uwezekano mkubwa wakupoteza kata nne za jiji la Arusha mkoa ambao wamekuwa wakijinasibu kuwa ndiko kiliko kitovu cha chadema.

Hofu hiyo inatokana na kugundua kwamba wananchi wa Arusha wamechoka kuona mkoa wao ukigeuzwa kuwa uwanja wa mapambano na umwagaji damu kwa ajili ya maslahi ya watu wachache.

Hivyo basi ni wazi sasa chadema wamejichimbia kabuli wenyewe kwakutokujali misingi ya utawala bora inayosema kiongozi ni mali ya wananchi ila mwanachama ni mali ya chama wao wakakiuka misingi hiyo na kuamua kufukuza madiwani wao kwa maslahi ya watu wachache.

Ni wazi sasa CCM inaenda kuibuka kidedea na kushinda kwa kishindo katika kata zote nne kwa namna ilivyojipambanua kwa sera zake kipindi cha kampeni na wananchi hasa vijana kuanza kuelewa tofauti iliyopo kati ya chama maslahi jamii(CCM)na chama maslahi binafsi(chadema)

Viva ccm,umoja ni ushindi.
Asalaam Aleikum Juliana Shonza bila shaka umejua Arusha Chama cha Vijijini, Wachumia tumbo na wapumbavu (CCM) Hakikubaliki kabisa............
 
Last edited by a moderator:
Mimi si shabiki wa vyama lakini kuna kafuraha ndani ya mtima wangu!hongereni Arusha kwa kusema na masanduku ya kura!hiki ndicho kinatakiwa kufanyika popote.
 
Tatizo la kupigwa miti na wanasiasa wa vijijini na kudhani unaifahamu siasa ya Arusha!!
 
Duh hivi inawezekana kabomoka namna hii kwa shock umemuona wapi wa uKenyenge
1013165_548810871844995_387610025_n.jpg
 
juliiiiiiiiiiiiiieeeeeeeeeeeeeee nakuitaji julieeeee wangunjoaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanikupe nami unipe julianaaaaaaaaaaaa tuendeleze maisha bora kwa kila madanguliwaaa oooh juliiyyyyyyyyyy
 
ndugu wana jamvi,hatimaye siku na saa watanzania tulikuwa tunasubili kwa hamu ili kuweza kujua nani ataibuka kidedea katika kata nne zinazofanya uchaguzi leo jijini arusha kwa maana ya kata ya erelai, kimandolu, themi na kaloleni.

Wana jamvi waswahili wanasema dalili ya mvua ni mawingu ,na hofu ni ishara ya woga wa kushindwa,ni wazi chadema wameingiwa na hofu kubwa baada yakuona kuna uwezekano mkubwa wakupoteza kata nne za jiji la arusha mkoa ambao wamekuwa wakijinasibu kuwa ndiko kiliko kitovu cha chadema.

Hofu hiyo inatokana na kugundua kwamba wananchi wa arusha wamechoka kuona mkoa wao ukigeuzwa kuwa uwanja wa mapambano na umwagaji damu kwa ajili ya maslahi ya watu wachache.

Hivyo basi ni wazi sasa chadema wamejichimbia kabuli wenyewe kwakutokujali misingi ya utawala bora inayosema kiongozi ni mali ya wananchi ila mwanachama ni mali ya chama wao wakakiuka misingi hiyo na kuamua kufukuza madiwani wao kwa maslahi ya watu wachache.

Ni wazi sasa ccm inaenda kuibuka kidedea na kushinda kwa kishindo katika kata zote nne kwa namna ilivyojipambanua kwa sera zake kipindi cha kampeni na wananchi hasa vijana kuanza kuelewa tofauti iliyopo kati ya chama maslahi jamii(ccm)na chama maslahi binafsi(chadema)

viva ccm,umoja ni ushindi.

jichunguze mwenyewe na uchukue hatua
 
Arusha imekumbwa na kimbunga cha mageuzi magamba msitie mguu huko mtaendelea kuaibika, Juliana utabili wako umekuwa vise versa! aibu kwako-aibu kwa magamba yoooote!
 
Nahisi makina juliana yako mengi yamejazana jamiiforums sema yanasomanyakati kukurupuka haya na nyie majuliana mliokaa kimya endleeeni hivyo hivyo msikurupuke kama juliana letu hapa j wa lisonza lile
 
kabuli ndo nini?

Huna hoja msingi mr kelvin... suala ni je nani atashinda na kwa strategies zipi... kama yupo alikwenda tofaut na matarajio ya wananchi basi ni halali yake kushindwa.... Sera makini zitekelezeke... ccm tekelezen sera zenu!! Nasubir matokeo ya uchaguz huo
 
Ndugu wana jamvi,hatimaye siku na saa watanzania tulikuwa tunasubili kwa hamu ili kuweza kujua nani ataibuka kidedea katika kata nne zinazofanya uchaguzi leo jijini Arusha kwa maana ya kata ya Erelai, Kimandolu, Themi na Kaloleni.

Wana jamvi waswahili wanasema dalili ya mvua ni mawingu ,na hofu ni ishara ya woga wa kushindwa,ni wazi chadema wameingiwa na hofu kubwa baada yakuona kuna uwezekano mkubwa wakupoteza kata nne za jiji la Arusha mkoa ambao wamekuwa wakijinasibu kuwa ndiko kiliko kitovu cha chadema.

Hofu hiyo inatokana na kugundua kwamba wananchi wa Arusha wamechoka kuona mkoa wao ukigeuzwa kuwa uwanja wa mapambano na umwagaji damu kwa ajili ya maslahi ya watu wachache.

Hivyo basi ni wazi sasa chadema wamejichimbia kabuli wenyewe kwakutokujali misingi ya utawala bora inayosema kiongozi ni mali ya wananchi ila mwanachama ni mali ya chama wao wakakiuka misingi hiyo na kuamua kufukuza madiwani wao kwa maslahi ya watu wachache.

Ni wazi sasa CCM inaenda kuibuka kidedea na kushinda kwa kishindo katika kata zote nne kwa namna ilivyojipambanua kwa sera zake kipindi cha kampeni na wananchi hasa vijana kuanza kuelewa tofauti iliyopo kati ya chama maslahi jamii(CCM)na chama maslahi binafsi(chadema)

Viva ccm,umoja ni ushindi.
​Nimeisoma tena hii nikaishia kucheka tuu.
 
Mwenzangu kwanini ulitumika kiasi hiki? Usikubali kuwa mtumwa wa fikra
 
Kiukweli tulikuwa tunaidharau jf, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya, yamesaidia saidia, huwezi jua!. Zamani nilikuwa napitia mabandiko yako kwa dharau na kujibu kwa kejeli, lakini baada ya uteuzi, sasa napitia mabandiko yako yote kwa makini zaidi, heshima na adabu haswa kwa kuzingatia wewe sasa ndio bosi wangu kwenye tasnia ya habari.

Karibu Boss, Mheshimiwa saba, Bi Juliana Shonza.

Paskali.
 
Huku ni kujikomba
 
Back
Top Bottom