CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

Sikuisoma post yako hii na wala sihitaji kuisoma kwa kuwa najua fika kwamba Juliana Shonza una tabia sugu ya kuota ndoto za Alinacha mchana pamoja na kuwa na maruweruwe yasiyoeleweka.

Hebu nenda Mirembe, Dodoma, jipeleke mwenyewe, kabla hujajiumiza zaidi na ikashindikana kabisa kukurejesha kwenye mstari, kwani iko hatari utachanganyikiwa na kuanza kuokota makopo njiani muda si mrefu, japokuwa kuokota makopo siku hizi ni dili, wewe wala hutajua pa kuyapeleka. Usiwape shida ndugu zako; nenda Mirembe!

Umesikia wewe zuzu?
 
Last edited by a moderator:

Teh Teh Teh ! Ndugu yangu MAMLUKI July Shooozaaaa!
Sisi Tulianza na Mungu na Tumemaliza na Mungu. Peopleeees Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 

Nyie ndio mnaoitwa wenye degree za vichupi,ulishindwaje kuelewa kuwa chadema alishinda kabla ya uchaguzi?
 
Binti sikujua kama ni wa hovyo namna hii duh,
 

Uaonekana unawatumiakia mabwana zako kwa cheap, your so cheep kwa ahadi za Mwigulu na Nape kweli?
au huna kazi kama huna kazi hebu tuwasiliane.
 
Juliana Shonza unaitwa huku uje uufunge uzi wako! Mlidhani mkilipua watu, kuanzisha vurugu na kuishambulia CHADEMA ili kuwatisha wananchi ndio mtashinda uchaguzi? Mkajipange upya!
 
Last edited by a moderator:

Habari yako dada. mpaka sasa mmeshinda kata ngapi?
Nadhani habari ya mjini umeshaipata
 
 
Juliana nakusihi rudi kwa baba na mama yaani CDM, Kumbuka baba na mama hupokea bintiye aliyeolewa hata na mme wasiyempenda lakini yeye akang'ang'ana, Yamkini 2015 kumbuka Mwigulu hata kuwa na Nafasi ya kuja Arusha atakuwa Iramba akijaribu kujihami jimbo lisichukuliwe ingawa naye hana pa kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…