DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,078
- 18,817
Kasheku kashaingia Sema anaPush Hoja kwa chini chini..Dr.kasheku ni mjanja hawezi kamatika kwenye hako kamtego....
ila huyo mwingine,
kisesa kwenyewe haeleweki, hasira za kutemwa baraza la mawaziri zinampoteza kwenye game kabisa, na at the end atajikuta kama vile hajawahi kua mbunge kabisa, kama mamliki wengine wakivyo hivi sasa mathalani wa huko tarime arusha iringa au mbeya......
tunaposema siasa ni sayansi hiyo ndio maana yake
Miongoni mwa hao Watu wapo Mawaziri na wengine sema aliyetusaliti Ni mmoja tu alikuw Kiungo Muhimu sana Makonda..
Sasa Ametusalitu halafu anataka Kutoa siri za Kambi...
Nakuhakikishia Kabla ya Uchaguzi wa Mtaa utagundua Mengi sana..
Hata wanaopush Ajenda ya Muungano sio Upinzani..
Upinzani ni Chombo tu cha Kutoa Sauti ila Mic haipo CHADEMA wala ACT