CCM kufanya press conference kesho

Hahahahahahahahahahhh

Ile picha ya ccm ikijikaanga kwa mafuta yake yenyewe iko wapi wakuu!!! Naona walidhani wanaweza kuyazuia mafuriko mwa Mikono kumbe wametegesha chekecheo..!!!

Haya sasa mzee kafunga Gufuri na Funguo kazitupa baharini... Wanaandamana..!!

BACK TANGANYIKA
 
wakijisafisha, atatoa tuhuma nzito zaidi za kuwamaliza na atatoa na vielelezo. ujue huyo alikuwa kwenye system na amejiandaa, wasimwendee kichwakichwa, anaweza kuwa amejiandaa kwa evidence nyingi kwa chochote atakachoongea na kwasababu yupo upinzani, anaweza kuweka wazi mambo mengi sana ambayo yatawakost. wawe na adabu tu kura zipigwe la sivyo tutajua mengi.
 
Ccm inamuombea kila la kheri lowassa, hatuna chuki nae na tunajua kuwa ni haki yake kuhama chama. Ila wanao shabikia kuwa ccm itaanguka na kushindwa uchaguzi basi hao wanaota ndoto ya mchana. Kama lowassa alikua na nguvu basi asinge chujwa.
 
Ngoja Lowassa awekwe wazi sasa ili ijulikane ubishi uishe maana analalamika sana kaonewa ili mahakama itende haki.
 
Ushauri kwa nape, mpe heshima yake huyu mzee, alikua muadilifu na mchapa kazi, ni kiongozi wa siku nyingi ndani ya ccm kwaiyo ni wajibu wetu wote tumpe heshima yake.
 
Nitawaona mazuzu kama wataongelea anything kuhusu haya yaliotokea leo.

Si kidogo.

na hata wakiongea uzuzu wao uishie kwenye kumshukuru kwa huduma na uanachama wake toka mwaka 77 na kumtakia safari njema huko aendako.

wakileta mipasho kama wako kwenye ngoma wataharibu...,
 
Mimi naomba sana viongozi wangu wa Ccm msiwe na mioyo migumu,jaribuni kuona ni jinsi gani tutakabiliana na changamoto hii maana siyo ya kubeza,lolote laweza tokea maana mawazo yetu siyo mawazo yao.
 
Hahahahahahahahahahhh

Ile picha ya ccm ikijikaanga kwa mafuta yake yenyewe iko wapi wakuu!!! Naona walidhani wanaweza kuyazuia mafuriko mwa Mikono kumbe wametegesha chekecheo..!!!

Haya sasa mzee kafunga Gufuri na Funguo kazitupa baharini... Wanaandamana..!!

BACK TANGANYIKA

ccm wanajua wanachokifanya usizani ni wajinga na kwa taarifa yako lowasa yuko chadema tangu mwaka 2013 wewe ndo unajua leo pole sana,
 
Mimi naomba sana viongozi wangu wa Ccm msiwe na mioyo migumu,jaribuni kuona ni jinsi gani tutakabiliana na changamoto hii maana siyo ya kubeza,lolote laweza tokea maana mawazo yetu siyo mawazo yao.

mkuu ccm ni chama kongwe sio walamba matapishi kwa billion 10,wanajua kilichokuwa kinapangwa na chadema na mengi na lowasa ,walimkata wanajua kitakachojiri,wewe tulia uone miamba inavyopasuana ,pesa na dora kipi ni shujaa,
 
Back
Top Bottom