Si kidogo.
na hata wakiongea uzuzu wao uishie kwenye kumshukuru kwa huduma na uanachama wake toka mwaka 77 na kumtakia safari njema huko aendako.
wakileta mipasho kama wako kwenye ngoma wataharibu...,
kawambie walamba matapishi yao sio ccm ,hiki chama ni zaidi ya saccoss yenu iliyokosa mgombea urais tangu 2010 na kuishi maisha ya fisi,