Si kidogo.
na hata wakiongea uzuzu wao uishie kwenye kumshukuru kwa huduma na uanachama wake toka mwaka 77 na kumtakia safari njema huko aendako.
wakileta mipasho kama wako kwenye ngoma wataharibu...,
dora ndio takataka gani wee m'bibi?
Lizaboni ulisema lowasa hawezi kuhamia ukawa maana kazuiwa na rafiki zake, VP bado ndiyo usahihi? Au umeeomba radhi?Kwani Lowasa katoa tuhuma gani zaidi ya kujiuma uma?
Kaka yangu Kimweri vpi acha tu kijana amwage mboga ili tufaidi.. Nani alipiga deal la Richmond? ni Kikwete au ni Lowassa? Siasa hizi leo hawa wawili wanavuana nguo hadharani...
kawambie walamba matapishi yao sio ccm ,hiki chama ni zaidi ya saccoss yenu iliyokosa mgombea urais tangu 2010 na kuishi maisha ya fisi,
Lizaboni ulisema lowasa hawezi kuhamia ukawa maana kazuiwa na rafiki zake, VP bado ndiyo usahihi? Au umeeomba radhi?
utajua tu maana unaupofu wa posho za mashetani,
Kwani Lowasa katoa tuhuma gani zaidi ya kujiuma uma?
kaa kimia kama hauji na siasa zako za msimu,
wenzio tunajua tunachokisema,
wewe ndo conection yako ya kichwa na mwili haviko sawa,
mkuu ccm ni chama kongwe sio walamba matapishi kwa billion 10,wanajua kilichokuwa kinapangwa na chadema na mengi na lowasa ,walimkata wanajua kitakachojiri,wewe tulia uone miamba inavyopasuana ,pesa na dora kipi ni shujaa,
kawambie walamba matapishi yao sio ccm ,hiki chama ni zaidi ya saccoss yenu iliyokosa mgombea urais tangu 2010 na kuishi maisha ya fisi,
kaa kimia kama hauji na siasa zako za msimu,
wenzio tunajua tunachokisema,
wewe ndo conection yako ya kichwa na mwili haviko sawa,
utajua tu maana unaupofu wa posho za mashetani,
tena wakatuambia ccm ni ile ile ilijaa ufisadi na wizi na hawajadhrumianamikutano ya nini tena wakati walishamaliza chimwaga
Ccm inamuombea kila la kheri lowassa, hatuna chuki nae na tunajua kuwa ni haki yake kuhama chama. Ila wanao shabikia kuwa ccm itaanguka na kushindwa uchaguzi basi hao wanaota ndoto ya mchana. Kama lowassa alikua na nguvu basi asinge chujwa.