CCM Kuchukua kiti cha Rais 2015 ni UHAKIKA 100%

CCM Kuchukua kiti cha Rais 2015 ni UHAKIKA 100%

Jakaya ndie Rais wa mwisho kwa ccm mkuu,namimi ntakuja hapa hapa kugongelea msumari October Mungu akitujalia,angalia tu usije ukajinyonga kwa kukwepa aibu ya Duniani

Tutakutana hapa Oktoba mkuu,opposition labda kwa uchaache majimbo na sio urais watanzania wanakiamini chama chenye dira inayoonekana dhahiri
 
ukweli ndo huo CCM itatwaa kiti cha Rais wa JMT tena kwa mwaka 2015-2020.
Japo wewe unaamini vinginevyo lakini Oktoba itakapowadia utayathibitisha haya,admin asipofuta hii nyuzi nitarudi hapa tena Oktoba ili kugongelea msumari.

Wapiga kura ni binadamu, iweje wewe useme 100% kama sio wizi wa ma-BVR yenu ni nini. Kutwaa mtatwaa kwa style ya 2010 ya kupitia pale Upanga.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Endeleeni kujipa moyo mapema hata mgonjwa anayekaribia kufa hujipa moyo anaweza kupona kumbe ndo anakaribia kufa.
 
CCM itaongoza hii nchi mpaka Yesu anarudi....lakni jambo hili litashindikana tu endapo wapinzani watabadili mtazamo wa fikra zao...hapo ndipo watapata mbinu sahihi za kuiondoa CCM...ila kwa fikra hzi za kupigana vijembe itabaki kutiana moyo kama mgonjwa wa ukimwi......huko Ruvuma kuna wapiga kura wengi hata hawajui UKAWA ni nini.....Ukiangalia takwimu za uchaguzi serikali za mitaa ndo utachoka kabisa na utaona UKAWA ni kama tone la maji baharini
 
Hilo halina ubishi.

CCM hata ikisimamisha mwanasesere atachukuwa Urais.
 
ukweli ndo huo CCM itatwaa kiti cha Rais wa JMT tena kwa mwaka 2015-2020.
Japo wewe unaamini vinginevyo lakini Oktoba itakapowadia utayathibitisha haya,admin asipofuta hii nyuzi nitarudi hapa tena Oktoba ili kugongelea msumari.

Tell us something we do not know. Unachokiandika wewe leo members wa JF walikiandika zaidi ya miaka 10 iliyopita, hapa hapa JF, tena wengine wameandika hata ni vipi watafanya hivyo.
 
ukweli ndo huo CCM itatwaa kiti cha Rais wa JMT tena kwa mwaka 2015-2020.
Japo wewe unaamini vinginevyo lakini Oktoba itakapowadia utayathibitisha haya,admin asipofuta hii nyuzi nitarudi hapa tena Oktoba ili kugongelea msumari.

October itafika pia itapita na bado utaendelea kuota wakati huko UKAWA umeshika kiti
 
ukweli ndo huo CCM itatwaa kiti cha Rais wa JMT tena kwa mwaka 2015-2020.
Japo wewe unaamini vinginevyo lakini Oktoba itakapowadia utayathibitisha haya,admin asipofuta hii nyuzi nitarudi hapa tena Oktoba ili kugongelea msumari.

Kwa kuiba kura itatwaa kiti hicho cha urais ila kiuhalali sahau
 
Hilo halina ubishi.

CCM hata ikisimamisha mwanasesere atachukuwa Urais.
Lakini Lissu alishatamka kuwa aliyezoea vya dhuluma, vya halali haviwezi.

Nyinyi magamba mnaendelea kujipa moyo kiasi hicho, kwa kukitegemea kile 'kitengo' chenu kilichopo pale Makumbusho, kiwafanyie kazi za kuchakachua kura, kwa kuwa hicho kitengo kina falsafa moja inayosema, KAMA KURA ZA URAIS ZA MGOMBEA WA SISIEM HAZITATOSHA, ZITALAZIMISHWA ZITOSHELEZE!
 
Hakia Mungu siku hizi ukizungumzia CCM mtaani unaonekana tahira. Watu hawakujibu ila watakuangalia Kwa hicho Fulani hivi halafu utaisoma namba taratibu.
 
Back
Top Bottom