Ni vizuri Uje na hoja sio kutoa tu mapovu halafu hoja hutoi,,,hoja hujibiwa kwa hoja
Wewe mwenyewe hujaweka hoja zaidi ya mihemko kama nguruwe "on heat" halafu unatoka mapovu kudai hoja kwa wenzio!
Sio kosa lako, ni Elimu duni uliyopitia ndio inakufanya ushindwe kutambua nini unajadili!Kwani we ni 'observer' wa huu uzi,leta hoja zako kwanza tuone wewe unaejua hoja bavicha mnatokwa mapovu humu ukweli unayapeleka mapigo yenu ya moyo mbio,Subirini tuendeleze wembe pale Oktoba,leta hoja sio unahemea juu kaa umekalia kisiki cha mpingo eboo😕
Orodhesha na mazuri yaliyofikiwa kwa kadiri tunavyohusika mtandao mpana wa barabara za lami maeneo mengi ya nchi,miradi mikubwa ya maji kanda ya ziwa,Mbeya to mention a few,uboreshaji usafiri wa umma refer trl,dart nk,utekelezaji kivitendo sera ya uwekezaji wenye manufaa refer gesi,cement factories etc,ukuaji wa uchumi zaidi ya 6.5%...nakadhalika opposition mna lipi zaidi ya kukamiana ninyi kwa ninyi mnaogopa vivuli vyenu wenyewe,ninyi mwajifanya malaika hamkosei,ufisadi wa fedha za ruzuku ndani ya vyama,monopolism ndani ya vyama,kuhamasisha vurugu na maandamano yasiyo na tija,organisation structure za uongozi ndani ya vyama zisizozingatia usawa na weledi,,,yaani ninyi mna shiida hakuna mtanzania anaejitambua sawasawa akapiga kura ya Rais wa JMT kuupa upinzani only walio desperate na miisho yao!
Wasifu wako umeuanika mwenyewe kwa lugha yako hapa. Kila anayekusoma hapa hapati shida kujua wewe ni mtu gani. Pole sana kijana.Unaujua wasifu wangu wewe!! unababaika hata maana ya hoja hujui ndo hapo umejifafanua vizuri sana kwamba wewe ni BOGAS!
Mkuu Jogi, unapoteza muda kumuelewesha huyo pimbi, anauwezo mdogo sana wa kuelewa mambo makubwa kama haya! Anachokijua ni kusoma na kuandika tu!Utaje imetugharimu shilingi ngapi kubadili jina kutoka TRC kuwa TRL, ATC kuwa ATCL, Taja deni la taifa ni sh. Ngapi, halafu uandike wewe mwenyewe bei ya dollar ni sh. Ngapi vile!!!!
Unaweza kuandika % zozote tu hata 45 au 60 kabisaa lakini uhalisia ni kuwa uchumi huo umekua mifukoni mwa kina chenge, Lowasa, Tibaijuka, Sita, Makinda, Zitto n.k Ndio tunawasikia wakiwanunua "WATU"
Wananchi wa kawaida wanakula mlo mmoja kwa siku!!!!
Mmeishindwa sukita mtaiweza TANGANYIKA????
Mkuu Jogi, unapoteza muda kumuelewesha huyo pimbi, anauwezo mdogo sana wa kuelewa mambo makubwa kama haya! Anachokijua ni kusoma na kuandika tu!
Ulivyo pimbi unadhani kuchanganya lugha ndio kutakufanya uonekane msomi!Mtachonga sana 'the truth remains undisputed' hakuna upinzani wa kuishinda CCM Tanzania labda m-reform upinzani.We gwalihenzi hata kuongea hujui sembuse kutoa hoja!
ukweli ndo huo CCM itatwaa kiti cha Rais wa JMT tena kwa mwaka 2015-2020.
Japo wewe unaamini vinginevyo lakini Oktoba itakapowadia utayathibitisha haya,admin asipofuta hii nyuzi nitarudi hapa tena Oktoba ili kugongelea msumari.
CCM IPI? Maana sisi huku ukerewe tumeshasahau kirusi anaeitwa CCM. Huku mazungumzo ni UKAWA tu.
wewe hujatoa "hoja" yoyote lakini unataka kujibiwa kwa kwa hoja.ulichotoa ww ni maneno "matupu".hoja inatakiwa iwe na mantiki ndani yake na iwe na mtiririko mzuri wa maneno.ila wewe hapa ni kama umepiga "ramli"tu.weka hoja usijifanye hujaelewa!
wewe hujatoa "hoja" yoyote lakini unataka kujibiwa kwa kwa hoja.ulichotoa ww ni maneno "matupu".hoja inatakiwa iwe na mantiki ndani yake na iwe na mtiririko mzuri wa maneno.ila wewe hapa ni kama umepiga "ramli"tu.