CCM Kuchukua kiti cha Rais 2015 ni UHAKIKA 100%

umeoteshwa au unatabiri??
wacheza vigodoro mna mambo nyie!!!
 
Tutakutana hapa Oktoba mkuu,opposition labda kwa uchaache majimbo na sio urais watanzania wanakiamini chama chenye dira inayoonekana dhahiri

Unajua kuwa wananchi wanajua kuwa ccm imeua mashirika yote ya umma, nina maana yoooote mpaka shirika lake (ccm) la uchumi SUKITA??!!!

Unajua kuwa wananchi wanajua kuwa ni ccm imefanya shirika lao la umma TTCL lisifanye biashara ya mtandao ili vodacom na aitel zifaidike na wingi wetu katika kujikusanyia fedha, na kuwa hao wenye ccm wanahisa kwenye hayo makampuni!!!!

Nitajie huyo mjinga atakayewapa tena kura ccm.
 
Ninachokiona hapa wengi wanaandika kishabiki na sio kiuhalisia.Kwa ujumla bila tume huru ya uchaguzi isiyopokea maagizo,ni ndoto kwa upinzani kutwaa urais.Pia mazingira huru ya demokrasia.
 
CCM haitashinda urais mwaka huu, unless ilazimishe ushindi lakini hili nalo ni gumu sana kwa sababu muungano wa Ukawa ni jumla ya watanzania Milioni 13 hadi 14.5. kumbuka kuna watu waliokuwa wanataka Muungano wa vyama nao ni kama Milioni 5 jumlisha wale wallotimiza umri na wamejiandikisha hao ni wengi zaidi, kumbuka kuwa mwaka huu watu tuna ari ya mabadiliko tupo wengi sana...sikushangai maana hata Nigeria walikuwepo watu kama ww ktk chama cha PDP lakini mpinzani wa Chama cha APC alishinda.

Mleta mada atakua ana sababu zake japo hajaziweka wazi.

Tatizo sio wapiga kura au wananchi kwa ujumla.

Tangu mfumo wa vyama vingi uanze na uchaguzi wa kwanza 1995 watanzania wanaonekana kupenda mabadiliko.

Ukitafakari kwa undani utagundua kuwa kikwazo Kikubwa ni Viongozi wa vyama vya upinzani.
Hawauziki kiukweli. Hawana mvuto kiukweli. Sio mahiri kiuongozi. Ni waropokaji wasio na uvumilivu.
Hawana sifa za kutosha kuwaangusha magwiji wa siasa toka CCM iliyochoka.
Wapinzani hawana mikakati ya kisayansi ya kuingia magogoni.
Ni viongozi wawili tu wenye uwezo wa kucheza na mchezo wa siasa ,Maalim seif na Zito Kabwe. Hasa Maalim Seif ni mwanasiasa halisi haijawahi kutokea. Ameajenga itikadi ya chama chake kuanzia juu mpaka chini kule Zanzibar.
Tatizo la Zito ni tamaa iliyopitiliza lakini anajua kuchaza mchezo wa siasa.
Hao wengine ni mawakala wa CCM wa kuchelewesha maendeleo na mikakati ya wapinzani kuingia Ikulu.

Mfano mtu akikuuliza mpaka sasa ivi ni mpinzani gani anayeweza kukubalika Tanzania kwa maana ya Tanganyika na Zanzibar.?Jibu ni hakuna.
Mpaka sasa hakuna mtu ndani ya Chama kikubwa kama Chadema aliyejitokeza iwe kisanii au kiukweli kuonyesha nia ya kugombea ili angalau kupima mwitikio wa wananchi ukoje.!!
Mwezi wa Tano sasa hakuna hata ushindani wa kisera kati ya wana UKAWA. Tulitegemea Wenye nia ndani ya UKAWA waanze kutuweka tumbo joto kwa ushindani mkubwa lakini hata wao wameweka masikio yao CCM kwamba ccm wakipitisha mtu bora basi watanzania wameshapata rais.Wanategemea wimbo wa ufisadi uwapeleke ikulu.

Tulitegemea wanapopanda majukwaani hawa viongozi wa UKAWA watoe matamko ya kuidhoofisha na kuipasua zaidi CCM badala yake wanatoa hotuba ya kuijenga CCM.

Angalia umahiri wa Zito kwenye siasa,ameanzisha chama juzi tu lakini ameshatengeneza mgogoro mpya ndani ya CCM pale aliposema ACT ipo tayari kumpokea Lowasa. Hapa anajenga mgongano na mpasuko ndani ya CCM ili waone kuwa Lowasa ni sehemu ya ACT. Hii ndio sayansi ya siasa.

Bila CCM kupasuka hakuna ushindi kwa wapinzani.
Ni lazima mgombea wa upinzani awe ni kati ya wale waliotajwa sana kule CCM kwani anaweza kukubalika nchi nzima .
Lazima pawe na mtu totauti na hawa wasio na mvuto.
Lipumba ,Slaa,Mbatia,Makaidi hawatoshi kupewa kura milioni nane za ushindi. Mvuto bado upo kwa Sumaye ,Membe,Lowasa,Sita,Mwigulu,Januari na Wasira.
CCM itaangushwa na makada wake wenyewe.
Hata Slaa na Lipumba walikua ni makada wa CCM lakini hawajawahi kuwa na mvuto wa kitaifa walipokuwa wanachama wa CCM.

Tatizo la wapinzani ni kukosa mtu wa kuingia ikulu kwa kupigiwa kura na watanzania wengi.
 
ukweli ndo huo CCM itatwaa kiti cha Rais wa JMT tena kwa mwaka 2015-2020.
Japo wewe unaamini vinginevyo lakini Oktoba itakapowadia utayathibitisha haya,admin asipofuta hii nyuzi nitarudi hapa tena Oktoba ili kugongelea msumari.

Unatumia vigezo gani?toa sababu japo kidogo.
 
Mawazo yako yanafanana na avatar yako
 
Mvuto gani unaoongelea hapa?
 
Mleta uzi inaonyesha aisha piga kura nazisha hesabiwa.Unapoongelea jambo kama hili toa na vigezo kwanini vinginevyo ni utabiri tu kama aliyesema 2005 rais atakuwa mwanamke na haikuwa.
 
Si Mnawaza Uizi Na Uchawi Kwamba Mtabadilisha A Itakuwa Z Zaid Mkimtegemea Kingunge, Lakini Niseme Tu, Mwisho Wenu Umefika.
 
ukweli ndo huo CCM itatwaa kiti cha Rais wa JMT tena kwa mwaka 2015-2020.
Japo wewe unaamini vinginevyo lakini Oktoba itakapowadia utayathibitisha haya,admin asipofuta hii nyuzi nitarudi hapa tena Oktoba ili kugongelea msumari.

Vigezo gani umetumia kufikia hitimisho lako?!
 
Wee aujaandika hoja afu unataka kujibiwa hoja kweli hamnazo wewe

Hujui maana ya hoja,kojoa ukalale kijana,ILA UKWELI NDO HUO HII NCHI wananchi hawaupi upinzani mtasubiri sana toeni mifano yote. mnayoijua nothing will pass muster,,,wewe mwenye nazo usiejua HATA maana ya hoja
 
Si Mnawaza Uizi Na Uchawi Kwamba Mtabadilisha A Itakuwa Z Zaid Mkimtegemea Kingunge, Lakini Niseme Tu, Mwisho Wenu Umefika.

Malafyale subiri matokeo Oktoba tutakapoendelea kuikalia dola ndipo utathibitisha kwamba Si ndumba wala nini ila ni mapenzi ya watanzania kwa chama kubwa CCM...CCM Hoiyeeee
 
Hujui maana ya hoja,kojoa ukalale kijana,ILA UKWELI NDO HUO HII NCHI wananchi hawaupi upinzani mtasubiri sana toeni mifano yote. mnayoijua nothing will pass muster,,,wewe mwenye nazo usiejua HATA maana ya hoja

Wewe umekua msemaji wa wananchi au
 
Unajua kuwa wananchi wanajua kuwa ccm imeua mashirika yote ya umma, nina maana yoooote mpaka shirika lake (ccm) la uchumi SUKITA??!!!

Unajua kuwa wananchi wanajua kuwa ni ccm imefanya shirika lao la umma TTCL lisifanye biashara ya mtandao ili vodacom na aitel zifaidike na wingi wetu katika kujikusanyia fedha, na kuwa hao wenye ccm wanahisa kwenye hayo makampuni!!!!

Nitajie huyo mjinga atakayewapa tena kura ccm.

Orodhesha na mazuri yaliyofikiwa kwa kadiri tunavyohusika mtandao mpana wa barabara za lami maeneo mengi ya nchi,miradi mikubwa ya maji kanda ya ziwa,Mbeya to mention a few,uboreshaji usafiri wa umma refer trl,dart nk,utekelezaji kivitendo sera ya uwekezaji wenye manufaa refer gesi,cement factories etc,ukuaji wa uchumi zaidi ya 6.5%...nakadhalika opposition mna lipi zaidi ya kukamiana ninyi kwa ninyi mnaogopa vivuli vyenu wenyewe,ninyi mwajifanya malaika hamkosei,ufisadi wa fedha za ruzuku ndani ya vyama,monopolism ndani ya vyama,kuhamasisha vurugu na maandamano yasiyo na tija,organisation structure za uongozi ndani ya vyama zisizozingatia usawa na weledi,,,yaani ninyi mna shiida hakuna mtanzania anaejitambua sawasawa akapiga kura ya Rais wa JMT kuupa upinzani only walio desperate na miisho yao!
 
Back
Top Bottom