Utapata tabu na kuwazungumzia watanzania kwa niaba lakini ukweli ndo huo CCM itatwaa kiti cha Rais wa JMT tena kwa mwaka 2015-2020.
Akili yako haina tofauti na avatar yako.ukweli ndo huo CCM itatwaa kiti cha Rais wa JMT tena kwa mwaka 2015-2020.
Japo wewe unaamini vinginevyo lakini Oktoba itakapowadia utayathibitisha haya,admin asipofuta hii nyuzi nitarudi hapa tena Oktoba ili kugongelea msumari.
Labda urais wa netbal au basketball ila kwa nchi hii ya Tanzania hakurudia ukosa sukweli ndo huo CCM itatwaa kiti cha Rais wa JMT tena kwa mwaka 2015-2020.
Japo wewe unaamini vinginevyo lakini Oktoba itakapowadia utayathibitisha haya,admin asipofuta hii nyuzi nitarudi hapa tena Oktoba ili kugongelea msumari.
Sikuyataja hayo majina soma tena thread Njoo ujibu hoja,hizo ni dalili za kutapatapa
Jakaya ndie Rais wa mwisho kwa ccm mkuu,namimi ntakuja hapa hapa kugongelea msumari October Mungu akitujalia,angalia tu usije ukajinyonga kwa kukwepa aibu ya Duniani
Labda urais wa netbal au basketball ila kwa nchi hii ya Tanzania hakurudia ukosa s
Jakaya ndie Rais wa mwisho kwa ccm mkuu,namimi ntakuja hapa hapa kugongelea msumari October Mungu akitujalia,angalia tu usije ukajinyonga kwa kukwepa aibu ya Duniani
yeyote atakae gombea ntampa kura yangu hata awe na skandal kias gan lakin siwez kumpa kura yangu mangi never.