CCM Kuchukua kiti cha Rais 2015 ni UHAKIKA 100%

CCM Kuchukua kiti cha Rais 2015 ni UHAKIKA 100%

ukweli ndo huo CCM itatwaa kiti cha Rais wa JMT tena kwa mwaka 2015-2020.
Japo wewe unaamini vinginevyo lakini Oktoba itakapowadia utayathibitisha haya,admin asipofuta hii nyuzi nitarudi hapa tena Oktoba ili kugongelea msumari.
Kwa jinsi wajinga walivyorundikana upinzani. CCM kitashinda 2020,2025,2030 na 2035.
 
Hivi wewe na ujinga wako unafikiri watanzania watavumilia tena ule utumbo we nu mliofanya 2010? Kwamba matokeo yanatangazwa jimboni ni tofauti na yanayotangazwa na mwenyeliti WA NEC. Jaribuni utumbo wenu muone moto utakavyowaka. Mukitaka musitake Slaa ndie raisi wa tano wa Tanzania. Mukitaka musitake.
Slaa will never be the 5th president of Tanzania....... Daily News 2010. Na hili ni gazeti makini. Utabiri wake Utabaki hivyo milele.
 
Slaa will never be the 5th president of Tanzania....... Daily News 2010. Na hili ni gazeti makini. Utabiri wake Utabaki hivyo milele.

Ni mjinga tu ndie anaeweza kusoma daily news.gazeti la kufungia vitumbua.
 
Kwa jinsi wajinga walivyorundikana upinzani. CCM kitashinda 2020,2025,2030 na 2035.

Hata UDP cha Nigeria kilisema hivyo hivyo baada ya wapinzani kuungana na kuunda APC. Lakini matokeo yalipotoka UDP mlalo wa chali kifo cha mende. Hivyo na nyinyi endeleeni tu kujipa moyo.
 
ukweli ndo huo CCM itatwaa kiti cha Rais wa JMT tena kwa mwaka 2015-2020.
Japo wewe unaamini vinginevyo lakini Oktoba itakapowadia utayathibitisha haya,admin asipofuta hii nyuzi nitarudi hapa tena Oktoba ili kugongelea msumari.
ndivyo ilivyo were yaache tu. Mimi ninachoyashauri afadhari yageacha hata kujishungurisha na mambo ya kampeni iliyajiandae na mipango ya maandano tu.kwa sababu ndo sisitim yao
 
ukweli ndo huo CCM itatwaa kiti cha Rais wa JMT tena kwa mwaka 2015-2020.
Japo wewe unaamini vinginevyo lakini Oktoba itakapowadia utayathibitisha haya,admin asipofuta hii nyuzi nitarudi hapa tena Oktoba ili kugongelea msumari.
Pole Nchi yangu Tanzania ,wewe unataka na inaonekana unafurahia ccm kuchukua kiti cha urais 2015-2020 ili ifanye nn ambacho haijafanya for 50 years.Angalia uongozi wa nchi ulivyomomonyoa uzalendo wa watanzania kwa nchi Yao because of wizi,watu wanakwepa kulipa kodi kadri wanavyoweza kwa kuamini tu hata wakilipa wapuzi ccm watazigawana,wewe unashabikia iendelee kuongoza nchi ili iweje?angalia katiba ya ccm na chenge inavyoligawa Taifa,nchi inaongozwa kwa mashindano utadhani chama kinachotawala kimeanzishwa Jana?aibu yako
 
Unajua kuwa wananchi wanajua kuwa ccm imeua mashirika yote ya umma, nina maana yoooote mpaka shirika lake (ccm) la uchumi SUKITA??!!!

Unajua kuwa wananchi wanajua kuwa ni ccm imefanya shirika lao la umma TTCL lisifanye biashara ya mtandao ili vodacom na aitel zifaidike na wingi wetu katika kujikusanyia fedha, na kuwa hao wenye ccm wanahisa kwenye hayo makampuni!!!!

Nitajie huyo mjinga atakayewapa tena kura ccm.
Mkuu watanzania wanajua pia ccm ni kichaka cha kufichia maovu na waovu. Ukiwa nje ya hicho kichaka na mambo yako yakiwa hayajakaa level seat unatakiwa ukae kimya ili uwe salama-otherwise du! Muulize Gwajima
 
ukweli ndo huo CCM itatwaa kiti cha Rais wa JMT tena kwa mwaka 2015-2020.
Japo wewe unaamini vinginevyo lakini Oktoba itakapowadia utayathibitisha haya,admin asipofuta hii nyuzi nitarudi hapa tena Oktoba ili kugongelea msumari.

Wenzako wa UKAWA wanasema watachukua nchi.
 
Back
Top Bottom