Elections 2010 CCM kubariki ufisadi itaitumbukiza nchi vitani

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Ni kitu kisichopingika, kwani historia inaeleza bila kuficha: Kwamba ufisadi katika uongozi wa juu katika nchi huleta kulindana kwa hali ya juu na hivo kwa serikali husika kun'gang'ania madarakani kwa hofu ya kushughulikiwa na chama kipya.

Na kung'ang'ania madarakani maana yake chama tawala wako tayari kufanya kila hujuma kutimiza hilo. Tanzania ni nchi mojawapo ambayo kwa bahati mbaya inaelekea njia hiyo. Wimbo wa CCM kwamba inadumiosha amani ni hadaa kubwa -- kwani inachokifanya ni kuzidisha tu mazingira ya kuwepo vita.

Siombei vita, lakini CCM ndichoi inachokifanya -- inaipeleka nchi hii kama vile kipofu.
 
Umesema vyema! kitendo cha kusema eti lazima washinde kwa namna yoyote vile, wanatupa taarifa kuwa wamejiandaa hata kwa vita
 
ndiyo maana kwamfano ccm wana mgombea ambaye hatakiwi na katiba ya nchi lakini wanamng'ang'aniza ili awalindie maslahi yao kwani ni mgonjwa.......katiba ya nchi inataka rais awe mtu mwenye afya sio km hivi kiongozi mkuu wa nchi kuanguka kila mara majukwaani na wkt mwingine kukacha mikutano bila kuaga
 
Ni kitu kisichopingika, kwani historia inaeleza bila kuficha: Kwamba ufisadi katika uongozi wa juu katika nchi huleta kulindana kwa hali ya juu na hivo kwa serikali husika kun'gang'ania madarakani kwa hofu ya kushughulikiwa na chama kipya.

Na kung'ang'ania madarakani maana yake chama tawala wako tayari kufanya kila hujuma kutimiza hilo. Tanzania ni nchi mojawapo ambayo kwa bahati mbaya inaelekea njia hiyo. Wimbo wa CCM kwamba inadumiosha amani ni hadaa kubwa -- kwani inachokifanya ni kuzidisha tu mazingira ya kuwepo vita.

Siombei vita, lakini CCM ndichoi inachokifanya -- inaipeleka nchi hii kama vile kipofu.

Vita kamwe haitatokea mkuu na ukitaka kulijua hilo kaa na maafisa wahusika watakueleza bayana jinsi wanavyosubiri jua kutoka, ....they er totally tired of all dis bizzare trendi ov sh... ..#* govaning
 
Back
Top Bottom