lol.no commentHata wakijiita FUTUHI moto uko palepale.
Ila unaweza kuwa mkakati unaowafaa baadhi ya watu. Nakumbuka enzi za ujana wangu kule kijijini mtu mmoja alinyweshwa sumu kijinga hivi hivi. Chupa imeandikwa "sumu ya panya" na jamaa akamwambia kuwa anaweza kubadilisha sumu akibadiilsha label. Na kweli mbele ya macho yake akabadilisha label na kuondoa hiyo ya "sumu ya panya" na kuandika "Maziwa Bora". Kwa vile vyote vilivyopo mle ndani vilikuwa vya rangi nyeupe jamaa - msiniulize kwanini - aliamini kuwa sumu imekuwa maziwa. Akanywa masaa machache baadaye watu walianza kutoa rambirambi.
Wapo watu wanaoweza kuamini kabisa kuwa kubadilisha label kunaweza kubadili kilichomo kama watu vile wapo wanaoamini kuwa kiumbe kinaweza kujivua gamba halafu kikageuka kuwa kiumbe kingine.
So please, hii iwe ni burudani nzuri tu kwa siku ya Ijumaa. TGIF!
wajiite TANU
Wakuu msiichukulia hii ishu kwa jazba, muichukulia kama changamoto iwapo ya watabadili jina.
tushaona makampuni mengi na mashirika ya umma baada ya kubadili label yamefufuka rasmi na kuendelea kuongoza kama sio kulete upinzani mkubwa.
let's wait 9 Dec.
Tuko siriasi mkuu ebo! waambie wakiite Harakat-e Islami-yi watatupata wengi.Wakuu msiichukulia hii ishu kwa jazba, muichukulia kama changamoto iwapo ya watabadili jina.
tushaona makampuni mengi na mashirika ya umma baada ya kubadili label yamefufuka rasmi na kuendelea kuongoza kama sio kulete upinzani mkubwa.
let's wait 9 Dec.
Jaman jaman,kweli ccm wamepoteza kabisa, kujivua gamba hakijawatosha!ushauri wangu kwa kuwasaidia ccm wajiite NYERERE PARTY itawasaidia kuwakamata akina fulan japokuwa wamepungua cku hizi,yaani wale wanaosema Njomba,Mkapa kapata Unyerere.