CCM Kubadili Jina ili Kupata Mvuto.

CCM Kubadili Jina ili Kupata Mvuto.

CCM wamesahau kuwa Kuku ni kuku tu, jogoo jina..... Jina haliwezi kumfanya kuku kuwa bata.
 
Kwanza pongezi kwa wote mliochangia tangia mwanzo mmeonyesha ur +thinkers na mmetumia mifano mizuri sana. Kazi kwenu ccm kubadili tabia na sio jina japo nao ni too leit
 
Sasa si watapata tabu kukinad vijijin maana kitakuwa sio chama cha nyerere tena
 
,,,Ata kama ukijitoa gamba bado unabaki kuwa ni wewe tu! OTHERWISE ALLOW URSELF TO DIE!
 
Back
Top Bottom